Kuhusu Kusafiri Usiku; Waziri Mkuu awaagiza ama RC, DC

Kuhusu Kusafiri Usiku; Waziri Mkuu awaagiza ama RC, DC

Hizo safari zikianza abiria wapewe na condoms za bure, watu watakulana kimasihara sana, Yani saa nane usiku abiria washuke kuchimba dawa😂....usiku sijui huwa una nini!
Kule kwa balozi bus lisipo jaa abiria watakuwa wanabadilishana kula tunda kimasihara
 
Watu watahama kusafiri mchana na kila mtu atataka asafiri usiku
 
1. Tengenezeni terms nzuri kwa bus drivers na bus owner
2. Rudini mezani tizameni hii biashara ya mabasi ni kitega uchumi kwa watoa hizi huduma na wanataka kukua pia kibiashara
3. Tengenezeni fair regulations ambazo haziwaathiri ikiwemo kwenda mwendo mdogo mno kama haya mamisafara yaliyopo sasa hivi hata kwa route ndefu za safari yanayotumia muda mwingi kwenda sehemu moja hadi nyingine
4. Wapeni madereva attestation forms wajaze kama agreement ya kuzingatia usalama wa safari zao
5. Rudini mezani tizameni kama hizi regulations zinampa thamani mteja anayekwenda na shughuli zake kisafari kwa kutumia muda mwingi kwenda safari fupi. Mfano Dar-Dodoma kuanzia 2015 kurudi nyuma 2005 ilikuwa ni mwendo wa masaa sita tu lakini 2016-2020 ikawa hadi saa 9-10 kwa mabasi tena ya kisasa zaidi kuliko ya zamani na model za kizzmani. Na hii 2021 today imeongezeka hadi zaidi ya masaa kumi umbali huo huo. Huku dunia imepiga hatua za maendeleo kuliko kipindi cha nyuma.
 
safi sana haswa kwa mabasi yanayo toka Dar kuelekea Mkoa wa Kigoma ni shida......yaani safari siku 2, watu wanalala njiani kisa hakuna Askari wa ku escort!!
hili halikubaliki, nashuri kauli hii ya Waziri Mkuu utekelezaji wake uanzie kwa mabasi yaendayo Mkoa wa Kigoma kuna chngamoto kubwa sana.
Kule kiusalama haitakiwi kusafiri usiku
 
Swala la usalama siyo shida
Mfano bukoba

Gari inaanza safari ubungo saa 4 usiku hivyo kunakucha bado iko mazingira salama. Inakuja kufika mazingira hatarishi mchana saa 6 hivyo inakuwa haina tatizo

Kurudi

Gari inaanza safari asubuhi kuja kufika usiku iko mazingira ya dodoma hivyo inatembea bila shida
Sawa, uko sawa
 
safi sana haswa kwa mabasi yanayo toka Dar kuelekea Mkoa wa Kigoma ni shida......yaani safari siku 2, watu wanalala njiani kisa hakuna Askari wa ku escort!!
hili halikubaliki, nashuri kauli hii ya Waziri Mkuu utekelezaji wake uanzie kwa mabasi yaendayo Mkoa wa Kigoma kuna chngamoto kubwa sana.
We endelea kushabikia mabasi yaende kigoma usiku wakat usalama ni 0 watu waje wapakwe mafuta Kwanza onyo wanalo litoaga majambazi wa huko ni Ak 45 inapigwa hapo mbele rejeta inamwaga maji yote hyo ni Salam tu kwa dereva aweke chuma pembeni, au wanashusha kioo Cha mbele wanaua mmoja
 
Kigoma, mwanza nk.
Safari za usiku zilianza tangu mangi lugola mkuu
 
Huu ni ukweli usiopingika, hakuna anayependa watu wasafiri siku mbili lakini kiusalama hakuna atakayeruhusu wapige usiku.

Yawezekana kwa sasa panaonekana hali ni shwari Ila kuna mambo yanaendelea na itakapotolewa ruhusa ya mabasi ya abiria kusafiri usiku majangili wataona fursa imerudi.

So hayo maeneo ambako yapo mbele ya Kahama kuelekea BK au KG wawe wapole tu wakubaliane na hali halisi.
Tutakimbia wahalifu hadi karne ngapi.badala useme ulinzi uimarishwe wewe unasema watu wajifiche.Kwa hali hiyo hayo maeneo hayatakuja kufunguka.Kuna mambo lazima yalazimishwe.Kama wenye magari private wanapita hayo maeneo usiku ata gari ya abiria inawezekana.ni kiasi cha wahusika kuweka mikakati yakulifanya hilo liwezekane.Tusipende kuwapa wahalifu kiburi.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
We endelea kushabikia mabasi yaende kigoma usiku wakat usalama ni 0 watu waje wapakwe mafuta Kwanza onyo wanalo litoaga majambazi wa huko ni Ak 45 inapigwa hapo mbele rejeta inamwaga maji yote hyo ni Salam tu kwa dereva aweke chuma pembeni, au wanashusha kioo Cha mbele wanaua mmoja
Acha kuogopesha watu.hizi akili zetu zilizozubaa ndo maana tunakua waoga waoga.kuna nchi zina vita na bado watu wanasafiri na shughuli zingine zinaendelea lakini sisi tunaogopa vijambazi viwili vitatu vinavyosumbuliwa na njaa.Hao vibaka wataogopwa mpaka lini?

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Hivi kwa mfano kina shida gani basi linaloenda Dar ..Dodoma safari ikaanza saa 12 Jioni au saa 3 !
Njia Haina mistu yoyote!
Basi la mwisho kwa Dodoma lipo saa kumi nad
Tutakimbia wahalifu hadi karne ngapi.badala useme ulinzi uimarishwe wewe unasema watu wajifiche.Kwa hali hiyo hayo maeneo hayatakuja kufunguka.Kuna mambo lazima yalazimishwe.Kama wenye magari private wanapita hayo maeneo usiku ata gari ya abiria inawezekana.ni kiasi cha wahusika kuweka mikakati yakulifanya hilo liwezekane.Tusipende kuwapa wahalifu kiburi.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Haya piteni. Polisi gani mlionao wa kuwapitisha hayo mapori? Watawafirisha wote mbele ya mama zenu Kama zamani. Anyway labda mnapenda
 
Acha kuogopesha watu.hizi akili zetu zilizozubaa ndo maana tunakua waoga waoga.kuna nchi zina vita na bado watu wanasafiri na shughuli zingine zinaendelea lakini sisi tunaogopa vijambazi viwili vitatu vinavyosumbuliwa na njaa.Hao vibaka wataogopwa mpaka lini?

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Una kichaa weww huko uulizia huko haipiti mwezi matukio ya utekaji bado sema hayapati airtime.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Una kichaa weww huko uulizia huko haipiti mwezi matukio ya utekaji bado sema hayapati airtime.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Nilichoona sidhani hata anajua mbwai zinazotokeaga kwenye hayo mapori au anadhani ni panya road wa manzese midizini .

Anadhani polisi wanaolinda Yale maeneo ni wa kawaida wakati kwenye zile operation za mapori ya biharamulo, nyakanazi na kwingine huwa inaendeshwa kijeshi ni Vita kabisa wale jamaa ni hatari.

Sasa pakishakuwa shwari watu watarudishiwa polisi wa kawaida Ila inakuwa hatari sana wale majangili wakija wanaanza na askari, juzi juzi tumeona askari wamerushiana risasi wakaua wawili na kuokoa silaha kibao .

Huko wanaume wakitokea msituni wanawasachi kila kitu, wanakula kila demu na wanawaambia mlane wenyewe kwa wenyewe hawajali ni mamako au mkweo.

Sasa nimeangalia jinsi alivyoandika nikaona ni mtoto sana na hajui chochote kuhusu mapori ya huko na balaa za huko za warundi.
 
Kwani wakati Ule wa Lugola si aliruhusu safari kufanyika usiku na mchana? Nani alitengua lile agizo?
 
Kwani wakati Ule wa Lugola si aliruhusu safari kufanyika usiku na mchana? Nani alitengua lile agizo?
Aliruhusu Ila nani alikuwa tayari kupeleka gari yake ivuke Yale mapori usiku mzee? Ukifika Kahama pale kabla ya Masumbwe mpakani unakuta barrier askari wanakwambia huendi kokote hata ufanyaje maana wanajua mtiti wa Yale mapori usiku.

Tumeshawahi kulazimisha kupita Ila tulibeba konyagi na misosi tikakutana na majamaa wameweka mawe utadhani ni barrier ya kwao wakasimamisha gari warundi kabisa Wana mashine wapo vizuri, jamaa anapiga nao lugha tukawaachia bapa kadhaa na chips na kuku tukasepa Ila ndio ilikuwa bahati maana tulikuwa na maiti.

Baadhi ya maeneo yasiruhusiwe kabisa usiku. Kiulizi bado Ile miji haijakua na imezungukwa na mapori mkubwa ambayo kiukweli wahalifu wamejificha yani hii Tanzania ukiingia huko Katavi kuelekea maeneo ya mpakani na Zambia kuna sehemu hata ukiua hapa mjini ukienda kujjficha hakuna anayekujua na utaishi utalima mpaka ufe hakina polisi Wala serikali huko wanajuana wenyewe tu.
 
Licha ya usalama wa kuvamiwa na majambazi vile vile serikali izingatie sana kipengere cha speed maana usiku gari zinakimbizwa sana hasa malori , usiku askari hawapigi tochi madereva wanajiachia tu.
 
Acha kuogopesha watu.hizi akili zetu zilizozubaa ndo maana tunakua waoga waoga.kuna nchi zina vita na bado watu wanasafiri na shughuli zingine zinaendelea lakini sisi tunaogopa vijambazi viwili vitatu vinavyosumbuliwa na njaa.Hao vibaka wataogopwa mpaka lini?

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Tulia we mtoto mchelemchele hujawahi kukutana na majambazi wanao tumia silaha kuteka magari endelea kucheza ma game ya GTA tu
 
Back
Top Bottom