ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
..Msimamo wa Chadema ni Muungano wa serikali tatu.
..Wakati umefika serikali ya TANGANYIKA irejeshwe.
Unajiita vipi mtanzania halafu unafanya mambo ya kijinga kama yale kwenye ule mkataba?Kweli Mbowe alikosea kuropoka kuhusu Zanzibar na Wazanzibar.
Saa zingine naona ACT hutumia akili kufikiri na kuchambua mambo kuliko Chadema
Wazanzibari wakipigania haki zao ni sawa ila kwa mtanganyika kupigania haki zao si sawa...Mh. Mbowe na watanganyika kamatieni hapo hapo 'mliposhika ndio penyewe, pamewaumiza'Je hii ni sawa? Hongera kibajaji Kwa kuhoji huu Ubaguzi uliofanywa na Mbowe.m,si ajabu watu Huwa wanawashutumu Wachaga Kwa Ubaguzi na ukabila..
Hivi msimamo wa Chadema kuhusu Muungano ni upi? Akina Salum Mwalimu na yule anajiita Mwenyekiti wa Baraza la Wazee bila shaka wamepata ujumbe wao kutoka Kwa Mwenyekiti..
My Take
Tukemee Kwa Nguvu zetu zote Ubaguzi wa Kikanda na ukabila maana inaweza sambaratisha Taifa..
Nyie wapuuzi sasa mnatafuta mlango wa kutokea kwa ule ujinga wenu, mmeshindwa kuja na majibu kwanini mkataba umejaa terms za hovyo, za kinyonyaji, sasa mnaamua kuokoteza kila alichosema Mbowe ili ku-divert attention, poor you.
Samia ni mtanzania mwenye asili ya Zanzibari, Mbarawa waziri husika nae ni hivyo hivyo, hawa wawili wanashirikiana kuitoa sadaka bandari yetu, kwanini wasiende kule kwao wakaitoe sadaka ya kwao?
Haiwezekani Rais aliyepewa mamlaka ya kulinda rasilimali zetu kisheria, na kuapa kufanya hivyo wakati alipoapishwa, leo ashuhudie mtendaji wake anaingia terms za hovyo kwenye mkataba wa muhimu kama ule, halafu hamfanyi chochote, bado yupo ofisini mpaka leo! hivi hii nchi ina Rais kweli?!
Hizo nguvu za Rais kuvumilia mambo ya kijinga kama hayo anazitoa wapi? mtu akisema anazitoa kwasababu ya "undugu" wao atakuwa anakosea vipi? tuna Rais incompetent sana, nchi inatolewa sadaka kwa mwarabu, mjinga unahangaika kuokoteza kila alichosema Mbowe, kawachezee akili wajinga tu.
Muungano Tokhaaaaa!, wapemba wenyewe ndiyo wanaongoza Kwa ubaguzi.Je hii ni sawa? Hongera kibajaji Kwa kuhoji huu Ubaguzi uliofanywa na Mbowe.m,si ajabu watu Huwa wanawashutumu Wachaga Kwa Ubaguzi na ukabila..
Hivi msimamo wa Chadema kuhusu Muungano ni upi? Akina Salum Mwalimu na yule anajiita Mwenyekiti wa Baraza la Wazee bila shaka wamepata ujumbe wao kutoka Kwa Mwenyekiti..
My Take
Tukemee Kwa Nguvu zetu zote Ubaguzi wa Kikanda na ukabila maana inaweza sambaratisha Taifa..
InashsngazaWazanzibari wakipigania haki zao ni sawa ila kwa mtanganyika kupigania haki zao si sawa...Mh. Mbowe na watanganyika kamatieni hapo hapo 'mliposhika ndio penyewe, pamewaumiza'
Nilipomuona msukuma anaonyesha gari mpya aliyonunua nikagundua tumekwishaJe hii ni sawa? Hongera kibajaji Kwa kuhoji huu Ubaguzi uliofanywa na Mbowe.m,si ajabu watu Huwa wanawashutumu Wachaga Kwa Ubaguzi na ukabila..
Hivi msimamo wa Chadema kuhusu Muungano ni upi? Akina Salum Mwalimu na yule anajiita Mwenyekiti wa Baraza la Wazee bila shaka wamepata ujumbe wao kutoka Kwa Mwenyekiti..
My Take
Tukemee Kwa Nguvu zetu zote Ubaguzi wa Kikanda na ukabila maana inaweza sambaratisha Taifa..
Kibajaji si huyu huyu aliye fanya press na kuwatusi Kinana, Makamba snr na Membe wakati wa MwendazakeJe hii ni sawa? Hongera kibajaji Kwa kuhoji huu Ubaguzi uliofanywa na Mbowe.m,si ajabu watu Huwa wanawashutumu Wachaga Kwa Ubaguzi na ukabila..
Hivi msimamo wa Chadema kuhusu Muungano ni upi? Akina Salum Mwalimu na yule anajiita Mwenyekiti wa Baraza la Wazee bila shaka wamepata ujumbe wao kutoka Kwa Mwenyekiti..
My Take
Tukemee Kwa Nguvu zetu zote Ubaguzi wa Kikanda na ukabila maana inaweza sambaratisha Taifa..
Argument zake kibajaji ni za kijinga mnoKuitwa mzanzibar ni ubaguzi!?? Kama ndivyo acha iwe