Kuhusu Mbowe, Bandari na Ubaguzi: Je, huwezi kufanya ukosoaji bila kuleta ubaguzi wa kikanda?

Kuhusu Mbowe, Bandari na Ubaguzi: Je, huwezi kufanya ukosoaji bila kuleta ubaguzi wa kikanda?

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Je, hii ni sawa? Hongera kibajaji Kwa kuhoji huu Ubaguzi uliofanywa na Mbowe. Si ajabu watu Huwa wanawashutumu Wachaga Kwa Ubaguzi na ukabila.

Hivi msimamo wa Chadema kuhusu Muungano ni upi? Akina Salum Mwalimu na yule anajiita Mwenyekiti wa Baraza la Wazee bila shaka wamepata ujumbe wao kutoka Kwa Mwenyekiti.

My Take: Tukemee Kwa Nguvu zetu zote Ubaguzi wa Kikanda na ukabila maana inaweza sambaratisha Taifa..
 
Lengo la serikali ya awamu ya 6 ni kutaka kuona mifumo ya TEHAMA kati ya TRA na TPA inasomana ili bandari zituingizie NUSU YA BAJETI YA NCHI KWA MWAKA.

Hili nalo ni la kupinga?!!![emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]

Kweli inawezekana "MIREMBE" vitanda VIMEJAA....wengine wameachiwa kuzurura huku mitaani [emoji1787][emoji1787]
 
Nyie sasa mnatafuta mlango wa kutokea kwa ule ujinga wenu, mmeshindwa kuja na majibu kwanini mkataba umejaa terms za hovyo, za kinyonyaji, sasa mnaamua kuokoteza kila alichosema Mbowe ili ku-divert attention, poor you.

Samia ni mtanzania mwenye asili ya Zanzibari, Mbarawa waziri husika nae ni hivyo hivyo, hawa wawili wanashirikiana kuitoa sadaka bandari yetu, kwanini wasiende kule kwao wakaitoe sadaka ya kwao?

Haiwezekani Rais aliyepewa mamlaka ya kulinda rasilimali zetu kisheria, na kuapa kufanya hivyo wakati alipoapishwa, leo ashuhudie mtendaji wake anaingia terms za hovyo kwenye mkataba wa muhimu kama ule, halafu hamfanyi chochote, bado yupo ofisini mpaka leo! hivi hii nchi ina Rais kweli?!

Hizo nguvu za Rais kuvumilia mambo ya kijinga kama hayo anazitoa wapi? mtu akisema anazitoa kwasababu ya "undugu" wao atakuwa anakosea vipi? tuna Rais incompetent sana, nchi inatolewa sadaka kwa mwarabu, huku mjinga unahangaika kuokoteza kila alichosema Mbowe, kawachezee akili wajinga tu.
 
Kweli Mbowe alikosea kuropoka kuhusu Zanzibar na Wazanzibar.

Saa zingine naona ACT hutumia akili kufikiri na kuchambua mambo kuliko Chadema
Unajiita vipi mtanzania halafu unafanya mambo ya kijinga kama yale kwenye ule mkataba?

Huo uzalendo wenu mnaolazimisha mnauonesha kwenye nini kama hamna uchungu na rasimali za taifa letu, hasa upande wa Bara?

Tambua, huyo mnayemuona amekosea ndie mwenye uchungu na rasilimali zetu, hao mnaowaona wamekosewa, ndio wajinga wanaosababisha machungu kwa wengine, nanyi kwa ujinga wenu hata hamuoni hilo.

Siku zote heshima ya mtu huipoteza mwenyewe, pale anapopewa na kushindwa kuilinda, na kwa zile terms za ule mkataba, Samia na Mbarawa hawastahili heshima yoyote, Mbowe yuko sahihi.

Akili zenu ndogo siku zote ndio mtaji wa CCM, kadri mnavyozidi kuokolewa shimoni, nyie ndio kwanza mko busy mnazidi kutafuta kona za kujificha ili msionekane humo ndani ya shimo!
 
Je hii ni sawa? Hongera kibajaji Kwa kuhoji huu Ubaguzi uliofanywa na Mbowe.m,si ajabu watu Huwa wanawashutumu Wachaga Kwa Ubaguzi na ukabila..

Hivi msimamo wa Chadema kuhusu Muungano ni upi? Akina Salum Mwalimu na yule anajiita Mwenyekiti wa Baraza la Wazee bila shaka wamepata ujumbe wao kutoka Kwa Mwenyekiti..

My Take
Tukemee Kwa Nguvu zetu zote Ubaguzi wa Kikanda na ukabila maana inaweza sambaratisha Taifa..

Wazanzibari wakipigania haki zao ni sawa ila kwa mtanganyika kupigania haki zao si sawa...Mh. Mbowe na watanganyika kamatieni hapo hapo 'mliposhika ndio penyewe, pamewaumiza'
 
Nyie wapuuzi sasa mnatafuta mlango wa kutokea kwa ule ujinga wenu, mmeshindwa kuja na majibu kwanini mkataba umejaa terms za hovyo, za kinyonyaji, sasa mnaamua kuokoteza kila alichosema Mbowe ili ku-divert attention, poor you.

Samia ni mtanzania mwenye asili ya Zanzibari, Mbarawa waziri husika nae ni hivyo hivyo, hawa wawili wanashirikiana kuitoa sadaka bandari yetu, kwanini wasiende kule kwao wakaitoe sadaka ya kwao?

Haiwezekani Rais aliyepewa mamlaka ya kulinda rasilimali zetu kisheria, na kuapa kufanya hivyo wakati alipoapishwa, leo ashuhudie mtendaji wake anaingia terms za hovyo kwenye mkataba wa muhimu kama ule, halafu hamfanyi chochote, bado yupo ofisini mpaka leo! hivi hii nchi ina Rais kweli?!

Hizo nguvu za Rais kuvumilia mambo ya kijinga kama hayo anazitoa wapi? mtu akisema anazitoa kwasababu ya "undugu" wao atakuwa anakosea vipi? tuna Rais incompetent sana, nchi inatolewa sadaka kwa mwarabu, mjinga unahangaika kuokoteza kila alichosema Mbowe, kawachezee akili wajinga tu.

Wenzetu Watanganyika washalitumbua jipu, sasa ni zamu yetu Wazanzibari kuukamua usaha mpaka tuufikie moyo wake na kuliponya moja kwa moja jeraha.
Ingefaa tuwaulize wenzetu, kama wao wameumia mno kwa kuona uhuru na rasilimali zao zimeingia hatarini kwa mkataba mmoja TU wa bandari, wanadhani wametuumiza kwa kiasi gani sisi wenzao kwa miaka 60 yote hii tangu walipoupora uhuru na mamlaka yetu YOTE na kutudumaza kiustawi kwa kutufungia njia kuu za kiuchumi.

Wanaumia kuona Mzanzibari anakuwa rais wa Tanzania hata kama ni kisheria na kikatiba, wakati wao wamejipa mamlaka ya kimabavu, kwa miaka yote hii ya kutupangia nani atuongoze Wazanzibari na kwa mipaka gani ya mamlaka!

Tuwathibitishie kwamba iwe iwavyo, sasa tumeshabaini bila chembe ya shaka, kwa yaliyotoka kwenye ndimi zao, kwamba wana chuki kubwa dhidi ya Uarabu na Uislamu na kwamba chuki hizo ndizo zilizochangia pia kutubana tusifurukute ndani ya 'muungano'; na ndio maana kina Lukuvi na Sitta hawakuulizwa chochote na yeyote waliponena waliyoyanena dhidi ya Uarabu na Uislamu, kwa sababu waliwasilisha na kuwakilisha mtazamo rasmi wa Tanganyika kuhusiana na Wazanzibari katika muungano.

Na kwa hapa tulipofika tukubaliane kwamba, kama ni kuuendeleza muungano, basi hakuna mbadala mwingine wa mahusiano yetu ya kisiasa na Watanganyika isipokuwa kufuta kwanza jina Tanzania na kurudi kwenye Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kuamua ama kuwa na muungano wa mkataba au wa serikali tatu. Ghairi ya hivyo ni kila nchi kurudi kwenye asili yake ya taifa na nchi kamili
 
Je hii ni sawa? Hongera kibajaji Kwa kuhoji huu Ubaguzi uliofanywa na Mbowe.m,si ajabu watu Huwa wanawashutumu Wachaga Kwa Ubaguzi na ukabila..

Hivi msimamo wa Chadema kuhusu Muungano ni upi? Akina Salum Mwalimu na yule anajiita Mwenyekiti wa Baraza la Wazee bila shaka wamepata ujumbe wao kutoka Kwa Mwenyekiti..

My Take
Tukemee Kwa Nguvu zetu zote Ubaguzi wa Kikanda na ukabila maana inaweza sambaratisha Taifa..

Muungano Tokhaaaaa!, wapemba wenyewe ndiyo wanaongoza Kwa ubaguzi.

Msiuze bandari yetu Kwa kisingizio cha muungano
 
Je hii ni sawa? Hongera kibajaji Kwa kuhoji huu Ubaguzi uliofanywa na Mbowe.m,si ajabu watu Huwa wanawashutumu Wachaga Kwa Ubaguzi na ukabila..

Hivi msimamo wa Chadema kuhusu Muungano ni upi? Akina Salum Mwalimu na yule anajiita Mwenyekiti wa Baraza la Wazee bila shaka wamepata ujumbe wao kutoka Kwa Mwenyekiti..

My Take
Tukemee Kwa Nguvu zetu zote Ubaguzi wa Kikanda na ukabila maana inaweza sambaratisha Taifa..

Nilipomuona msukuma anaonyesha gari mpya aliyonunua nikagundua tumekwisha
 
Je hii ni sawa? Hongera kibajaji Kwa kuhoji huu Ubaguzi uliofanywa na Mbowe.m,si ajabu watu Huwa wanawashutumu Wachaga Kwa Ubaguzi na ukabila..

Hivi msimamo wa Chadema kuhusu Muungano ni upi? Akina Salum Mwalimu na yule anajiita Mwenyekiti wa Baraza la Wazee bila shaka wamepata ujumbe wao kutoka Kwa Mwenyekiti..

My Take
Tukemee Kwa Nguvu zetu zote Ubaguzi wa Kikanda na ukabila maana inaweza sambaratisha Taifa..

Kibajaji si huyu huyu aliye fanya press na kuwatusi Kinana, Makamba snr na Membe wakati wa Mwendazake
Mtu asiye na elimu yoyote leo anakuwa ni authority ya ukabila na ukanda? 🙄
 
Back
Top Bottom