Hawataki kuambiwa ukweli, wanawatanguliza darasa la saba wajinga wajilipueJe hii ni sawa? Hongera kibajaji Kwa kuhoji huu Ubaguzi uliofanywa na Mbowe.m,si ajabu watu Huwa wanawashutumu Wachaga Kwa Ubaguzi na ukabila..
Hivi msimamo wa Chadema kuhusu Muungano ni upi? Akina Salum Mwalimu na yule anajiita Mwenyekiti wa Baraza la Wazee bila shaka wamepata ujumbe wao kutoka Kwa Mwenyekiti..
My Take
Tukemee Kwa Nguvu zetu zote Ubaguzi wa Kikanda na ukabila maana inaweza sambaratisha Taifa..
Ukanda na ukabila hauwezi kuisha daima,siku moja huku facebook palikuwa na kundi la huko kaskazini limeandikwa "Wachaga vs wapare ".Je hii ni sawa? Hongera kibajaji Kwa kuhoji huu Ubaguzi uliofanywa na Mbowe.m,si ajabu watu Huwa wanawashutumu Wachaga Kwa Ubaguzi na ukabila..
Hivi msimamo wa Chadema kuhusu Muungano ni upi? Akina Salum Mwalimu na yule anajiita Mwenyekiti wa Baraza la Wazee bila shaka wamepata ujumbe wao kutoka Kwa Mwenyekiti..
My Take
Tukemee Kwa Nguvu zetu zote Ubaguzi wa Kikanda na ukabila maana inaweza sambaratisha Taifa..
Yaani watu wanalalamika bandari kuuzwa we unaleta mambo ya Waarabu na Uislamu. Hopeless.Wenzetu Watanganyika washalitumbua jipu, sasa ni zamu yetu Wazanzibari kuukamua usaha mpaka tuufikie moyo wake na kuliponya moja kwa moja jeraha.
Ingefaa tuwaulize wenzetu, kama wao wameumia mno kwa kuona uhuru na rasilimali zao zimeingia hatarini kwa mkataba mmoja TU wa bandari, wanadhani wametuumiza kwa kiasi gani sisi wenzao kwa miaka 60 yote hii tangu walipoupora uhuru na mamlaka yetu YOTE na kutudumaza kiustawi kwa kutufungia njia kuu za kiuchumi.
Wanaumia kuona Mzanzibari anakuwa rais wa Tanzania hata kama ni kisheria na kikatiba, wakati wao wamejipa mamlaka ya kimabavu, kwa miaka yote hii ya kutupangia nani atuongoze Wazanzibari na kwa mipaka gani ya mamlaka!
Tuwathibitishie kwamba iwe iwavyo, sasa tumeshabaini bila chembe ya shaka, kwa yaliyotoka kwenye ndimi zao, kwamba wana chuki kubwa dhidi ya Uarabu na Uislamu na kwamba chuki hizo ndizo zilizochangia pia kutubana tusifurukute ndani ya 'muungano'; na ndio maana kina Lukuvi na Sitta hawakuulizwa chochote na yeyote waliponena waliyoyanena dhidi ya Uarabu na Uislamu, kwa sababu waliwasilisha na kuwakilisha mtazamo rasmi wa Tanganyika kuhusiana na Wazanzibari katika muungano.
Na kwa hapa tulipofika tukubaliane kwamba, kama ni kuuendeleza muungano, basi hakuna mbadala mwingine wa mahusiano yetu ya kisiasa na Watanganyika isipokuwa kufuta kwanza jina Tanzania na kurudi kwenye Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kuamua ama kuwa na muungano wa mkataba au wa serikali tatu. Ghairi ya hivyo ni kila nchi kurudi kwenye asili yake ya taifa na nchi kamili
Wazanzibari wengi hawaoni taabu kusema wao ni wazanzibari kwanza halafu watanzania. Sasa wanashangaa nini kuona "mtanganyika" anatetea upande wake?..Msimamo wa Chadema ni Muungano wa serikali tatu.
..Wakati umefika serikali ya TANGANYIKA irejeshwe.
Je hii ni sawa? Hongera kibajaji Kwa kuhoji huu Ubaguzi uliofanywa na Mbowe.m,si ajabu watu Huwa wanawashutumu Wachaga Kwa Ubaguzi na ukabila..
Hivi msimamo wa Chadema kuhusu Muungano ni upi? Akina Salum Mwalimu na yule anajiita Mwenyekiti wa Baraza la Wazee bila shaka wamepata ujumbe wao kutoka Kwa Mwenyekiti..
My Take
Tukemee Kwa Nguvu zetu zote Ubaguzi wa Kikanda na ukabila maana inaweza sambaratisha Taifa..
Chuki zao zipo waziWenzetu Watanganyika washalitumbua jipu, sasa ni zamu yetu Wazanzibari kuukamua usaha mpaka tuufikie moyo wake na kuliponya moja kwa moja jeraha.
Ingefaa tuwaulize wenzetu, kama wao wameumia mno kwa kuona uhuru na rasilimali zao zimeingia hatarini kwa mkataba mmoja TU wa bandari, wanadhani wametuumiza kwa kiasi gani sisi wenzao kwa miaka 60 yote hii tangu walipoupora uhuru na mamlaka yetu YOTE na kutudumaza kiustawi kwa kutufungia njia kuu za kiuchumi.
Wanaumia kuona Mzanzibari anakuwa rais wa Tanzania hata kama ni kisheria na kikatiba, wakati wao wamejipa mamlaka ya kimabavu, kwa miaka yote hii ya kutupangia nani atuongoze Wazanzibari na kwa mipaka gani ya mamlaka!
Tuwathibitishie kwamba iwe iwavyo, sasa tumeshabaini bila chembe ya shaka, kwa yaliyotoka kwenye ndimi zao, kwamba wana chuki kubwa dhidi ya Uarabu na Uislamu na kwamba chuki hizo ndizo zilizochangia pia kutubana tusifurukute ndani ya 'muungano'; na ndio maana kina Lukuvi na Sitta hawakuulizwa chochote na yeyote waliponena waliyoyanena dhidi ya Uarabu na Uislamu, kwa sababu waliwasilisha na kuwakilisha mtazamo rasmi wa Tanganyika kuhusiana na Wazanzibari katika muungano.
Na kwa hapa tulipofika tukubaliane kwamba, kama ni kuuendeleza muungano, basi hakuna mbadala mwingine wa mahusiano yetu ya kisiasa na Watanganyika isipokuwa kufuta kwanza jina Tanzania na kurudi kwenye Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kuamua ama kuwa na muungano wa mkataba au wa serikali tatu. Ghairi ya hivyo ni kila nchi kurudi kwenye asili yake ya taifa na nchi kamili
Naona unajitekenya halafu unacheka mwenyewe......, yaani uanzishe uzi kwa id yako halafu uanze kucomment kwa id nyingine ili iwe trending ila umeshindwa....Lengo la serikali ya awamu ya 6 ni kutaka kuona mifumo ya TEHAMA kati ya TRA na TPA inasomana ili bandari zituingizie NUSU YA BAJETI YA NCHI KWA MWAKA.....
Hili nalo ni la kupinga?!!![emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]
Kweli inawezekana "MIREMBE" vitanda VIMEJAA....wengine wameachiwa kuzurura huku mitaani [emoji1787][emoji1787]
Unaandika kama kuku aliyekatika kichwa.Lengo la serikali ya awamu ya 6 ni kutaka kuona mifumo ya TEHAMA kati ya TRA na TPA inasomana ili bandari zituingizie NUSU YA BAJETI YA NCHI KWA MWAKA.....
Hili nalo ni la kupinga?!!![emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]
Kweli inawezekana "MIREMBE" vitanda VIMEJAA....wengine wameachiwa kuzurura huku mitaani [emoji1787][emoji1787]
Tuanze kukemea ubaguzi ulioasisiwa na CCMJe hii ni sawa? Hongera kibajaji Kwa kuhoji huu Ubaguzi uliofanywa na Mbowe.m,si ajabu watu Huwa wanawashutumu Wachaga Kwa Ubaguzi na ukabila..
Hivi msimamo wa Chadema kuhusu Muungano ni upi? Akina Salum Mwalimu na yule anajiita Mwenyekiti wa Baraza la Wazee bila shaka wamepata ujumbe wao kutoka Kwa Mwenyekiti..
My Take
Tukemee Kwa Nguvu zetu zote Ubaguzi wa Kikanda na ukabila maana inaweza sambaratisha Taifa..
Mmeporwa kitu gani nyie?Wenzetu Watanganyika washalitumbua jipu, sasa ni zamu yetu Wazanzibari kuukamua usaha mpaka tuufikie moyo wake na kuliponya moja kwa moja jeraha.
Ingefaa tuwaulize wenzetu, kama wao wameumia mno kwa kuona uhuru na rasilimali zao zimeingia hatarini kwa mkataba mmoja TU wa bandari, wanadhani wametuumiza kwa kiasi gani sisi wenzao kwa miaka 60 yote hii tangu walipoupora uhuru na mamlaka yetu YOTE na kutudumaza kiustawi kwa kutufungia njia kuu za kiuchumi.
Wanaumia kuona Mzanzibari anakuwa rais wa Tanzania hata kama ni kisheria na kikatiba, wakati wao wamejipa mamlaka ya kimabavu, kwa miaka yote hii ya kutupangia nani atuongoze Wazanzibari na kwa mipaka gani ya mamlaka!
Tuwathibitishie kwamba iwe iwavyo, sasa tumeshabaini bila chembe ya shaka, kwa yaliyotoka kwenye ndimi zao, kwamba wana chuki kubwa dhidi ya Uarabu na Uislamu na kwamba chuki hizo ndizo zilizochangia pia kutubana tusifurukute ndani ya 'muungano'; na ndio maana kina Lukuvi na Sitta hawakuulizwa chochote na yeyote waliponena waliyoyanena dhidi ya Uarabu na Uislamu, kwa sababu waliwasilisha na kuwakilisha mtazamo rasmi wa Tanganyika kuhusiana na Wazanzibari katika muungano.
Na kwa hapa tulipofika tukubaliane kwamba, kama ni kuuendeleza muungano, basi hakuna mbadala mwingine wa mahusiano yetu ya kisiasa na Watanganyika isipokuwa kufuta kwanza jina Tanzania na kurudi kwenye Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kuamua ama kuwa na muungano wa mkataba au wa serikali tatu. Ghairi ya hivyo ni kila nchi kurudi kwenye asili yake ya taifa na nchi kamili
Upendo wenu kwetu mnaonyesha kwa kutuita machogo? Mbowe ameuliza kwa nini bandari za Zanzibar hazikuingizwa katika mkataba huu wenye manufaa makubwa wewe unaleta mambo ya uarabu na uislamu? Unataka tuogope kuwakosoa kwa sababu tu nyinyi ni waislamu wazanzibari? Mbowe amekosoa mkataba kwa kile alichoona ni mapungufu yake. Wewe nawe una haki ya kuutetea kwa mema yaliyomo na kutoa sababu kwa nini bandari za Zanzibar hazikujumuishwa ( k.m. suala la bandari si la Muungano).Wenzetu Watanganyika washalitumbua jipu, sasa ni zamu yetu Wazanzibari kuukamua usaha mpaka tuufikie moyo wake na kuliponya moja kwa moja jeraha.
Ingefaa tuwaulize wenzetu, kama wao wameumia mno kwa kuona uhuru na rasilimali zao zimeingia hatarini kwa mkataba mmoja TU wa bandari, wanadhani wametuumiza kwa kiasi gani sisi wenzao kwa miaka 60 yote hii tangu walipoupora uhuru na mamlaka yetu YOTE na kutudumaza kiustawi kwa kutufungia njia kuu za kiuchumi.
Wanaumia kuona Mzanzibari anakuwa rais wa Tanzania hata kama ni kisheria na kikatiba, wakati wao wamejipa mamlaka ya kimabavu, kwa miaka yote hii ya kutupangia nani atuongoze Wazanzibari na kwa mipaka gani ya mamlaka!
Tuwathibitishie kwamba iwe iwavyo, sasa tumeshabaini bila chembe ya shaka, kwa yaliyotoka kwenye ndimi zao, kwamba wana chuki kubwa dhidi ya Uarabu na Uislamu na kwamba chuki hizo ndizo zilizochangia pia kutubana tusifurukute ndani ya 'muungano'; na ndio maana kina Lukuvi na Sitta hawakuulizwa chochote na yeyote waliponena waliyoyanena dhidi ya Uarabu na Uislamu, kwa sababu waliwasilisha na kuwakilisha mtazamo rasmi wa Tanganyika kuhusiana na Wazanzibari katika muungano.
Na kwa hapa tulipofika tukubaliane kwamba, kama ni kuuendeleza muungano, basi hakuna mbadala mwingine wa mahusiano yetu ya kisiasa na Watanganyika isipokuwa kufuta kwanza jina Tanzania na kurudi kwenye Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kuamua ama kuwa na muungano wa mkataba au wa serikali tatu. Ghairi ya hivyo ni kila nchi kurudi kwenye asili yake ya taifa na nchi kamili
ccm inamapoyoyo sana inafikir watanzania wote ni wapumbavu kama ilivyo yenyewe mijingamijinga na mengi yako huko kwasababu yamezoea kujaza matumbo kwa ufisadi leo yameamua kuuza bandari kama huo mradi unafaida kwanin bandari ya zanzibar isiingizww kwenye huo mradi ili wazanzibar nao wanufaike wapuuz nyinyi.Je hii ni sawa? Hongera kibajaji Kwa kuhoji huu Ubaguzi uliofanywa na Mbowe.m,si ajabu watu Huwa wanawashutumu Wachaga Kwa Ubaguzi na ukabila..
Hivi msimamo wa Chadema kuhusu Muungano ni upi? Akina Salum Mwalimu na yule anajiita Mwenyekiti wa Baraza la Wazee bila shaka wamepata ujumbe wao kutoka Kwa Mwenyekiti..
My Take
Tukemee Kwa Nguvu zetu zote Ubaguzi wa Kikanda na ukabila maana inaweza sambaratisha Taifa..
mafuas ya ccm mapumbavu yameuza bandari za tanganyika huku za zanzibar zikiachwa.Kweli Mbowe alikosea kuropoka kuhusu Zanzibar na Wazanzibar.
Saa zingine naona ACT hutumia akili kufikiri na kuchambua mambo kuliko Chadema
Ccm ni kundi dogo la wajinga linalotawala kundi kubwa la watu.Je hii ni sawa? Hongera kibajaji Kwa kuhoji huu Ubaguzi uliofanywa na Mbowe.m,si ajabu watu Huwa wanawashutumu Wachaga Kwa Ubaguzi na ukabila..
Hivi msimamo wa Chadema kuhusu Muungano ni upi? Akina Salum Mwalimu na yule anajiita Mwenyekiti wa Baraza la Wazee bila shaka wamepata ujumbe wao kutoka Kwa Mwenyekiti..
My Take
Tukemee Kwa Nguvu zetu zote Ubaguzi wa Kikanda na ukabila maana inaweza sambaratisha Taifa..
Wazanzibari wakipigania haki zao ni sawa ila kwa mtanganyika kupigania haki zao si sawa...Mh. Mbowe na watanganyika kamatieni hapo hapo 'mliposhika ndio penyewe, pamewaumiza'
maccm ni mapumbavu mengi yapo huko kwa kujaza matumbo na kwenda kujisaidia vyooni tu kichwani empty.Kuitwa mzanzibar ni ubaguzi!?? Kama ndivyo acha iwe