Kuhusu Mbowe, Bandari na Ubaguzi: Je, huwezi kufanya ukosoaji bila kuleta ubaguzi wa kikanda?

H
Je hii ni sawa? Hongera kibajaji Kwa kuhoji huu Ubaguzi uliofanywa na Mbowe.m,si ajabu watu Huwa wanawashutumu Wachaga Kwa Ubaguzi na ukabila..

Hivi msimamo wa Chadema kuhusu Muungano ni upi? Akina Salum Mwalimu na yule anajiita Mwenyekiti wa Baraza la Wazee bila shaka wamepata ujumbe wao kutoka Kwa Mwenyekiti..

My Take
Tukemee Kwa Nguvu zetu zote Ubaguzi wa Kikanda na ukabila maana inaweza sambaratisha Taifa..

Hawataki kuambiwa ukweli, wanawatanguliza darasa la saba wajinga wajilipue
 
Je hii ni sawa? Hongera kibajaji Kwa kuhoji huu Ubaguzi uliofanywa na Mbowe.m,si ajabu watu Huwa wanawashutumu Wachaga Kwa Ubaguzi na ukabila..

Hivi msimamo wa Chadema kuhusu Muungano ni upi? Akina Salum Mwalimu na yule anajiita Mwenyekiti wa Baraza la Wazee bila shaka wamepata ujumbe wao kutoka Kwa Mwenyekiti..

My Take
Tukemee Kwa Nguvu zetu zote Ubaguzi wa Kikanda na ukabila maana inaweza sambaratisha Taifa..

Ukanda na ukabila hauwezi kuisha daima,siku moja huku facebook palikuwa na kundi la huko kaskazini limeandikwa "Wachaga vs wapare ".

Sasa ndani ya hilo group wanataniana naona kawaida sana baadhi ya post,Dah ! siku moja kuna jamaa akapost kanda ya pwani akisifia mabinti wa huko maana kaoa huko aisee palikuwa na maneno ya kudhalilisha haswa unaweza kuumia ,wakipondea watu wa pwani yaani naona kabisa watu hawapendani sijui kwa nn?

Binafsi yangu bora kanda zingegawanywa na nilikuwa nataka kuoa binti wa huko ili kuunganisha undugu ila kwa kweli chuki ni real sioni kama kuna ndoa tena ,siwezi kuoa hii inaonekana wanachukia ndugu na jamaa zangu.
 
Wenzetu Watanganyika washalitumbua jipu, sasa ni zamu yetu Wazanzibari kuukamua usaha mpaka tuufikie moyo wake na kuliponya moja kwa moja jeraha.
Ingefaa tuwaulize wenzetu, kama wao wameumia mno kwa kuona uhuru na rasilimali zao zimeingia hatarini kwa mkataba mmoja TU wa bandari, wanadhani wametuumiza kwa kiasi gani sisi wenzao kwa miaka 60 yote hii tangu walipoupora uhuru na mamlaka yetu YOTE na kutudumaza kiustawi kwa kutufungia njia kuu za kiuchumi.

Wanaumia kuona Mzanzibari anakuwa rais wa Tanzania hata kama ni kisheria na kikatiba, wakati wao wamejipa mamlaka ya kimabavu, kwa miaka yote hii ya kutupangia nani atuongoze Wazanzibari na kwa mipaka gani ya mamlaka!

Tuwathibitishie kwamba iwe iwavyo, sasa tumeshabaini bila chembe ya shaka, kwa yaliyotoka kwenye ndimi zao, kwamba wana chuki kubwa dhidi ya Uarabu na Uislamu na kwamba chuki hizo ndizo zilizochangia pia kutubana tusifurukute ndani ya 'muungano'; na ndio maana kina Lukuvi na Sitta hawakuulizwa chochote na yeyote waliponena waliyoyanena dhidi ya Uarabu na Uislamu, kwa sababu waliwasilisha na kuwakilisha mtazamo rasmi wa Tanganyika kuhusiana na Wazanzibari katika muungano.

Na kwa hapa tulipofika tukubaliane kwamba, kama ni kuuendeleza muungano, basi hakuna mbadala mwingine wa mahusiano yetu ya kisiasa na Watanganyika isipokuwa kufuta kwanza jina Tanzania na kurudi kwenye Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kuamua ama kuwa na muungano wa mkataba au wa serikali tatu. Ghairi ya hivyo ni kila nchi kurudi kwenye asili yake ya taifa na nchi kamili
Yaani watu wanalalamika bandari kuuzwa we unaleta mambo ya Waarabu na Uislamu. Hopeless.
 
Je hii ni sawa? Hongera kibajaji Kwa kuhoji huu Ubaguzi uliofanywa na Mbowe.m,si ajabu watu Huwa wanawashutumu Wachaga Kwa Ubaguzi na ukabila..

Hivi msimamo wa Chadema kuhusu Muungano ni upi? Akina Salum Mwalimu na yule anajiita Mwenyekiti wa Baraza la Wazee bila shaka wamepata ujumbe wao kutoka Kwa Mwenyekiti..

My Take
Tukemee Kwa Nguvu zetu zote Ubaguzi wa Kikanda na ukabila maana inaweza sambaratisha Taifa..

Kibajaji na Msukuma wote ni watu wa mshahara …sema Kibajaji yeye bei yake ni nafuuu Sana
 
Nilichogundua kuhusu sakata la bandari huyu Rais tuliyenaye huwa hasumbuki kusoma anacholetewa, ye ni mama wa muende mkalitazame!
Hata ktk sakata hili naye kwa sasa anashangaa tu kama sie hapa jf...yaani wale aliowaagiza waende kulitazama ndo kumbe walifanya hivi?! Ayaaa sa hizi ndo anapiga hesabu atapiga vp u turn.
Mama yetu anaonekana huwa hasomi anacholetewa mezani...yeye ni kusaini tuu!
Juzi kati kuna jina la mtu aliyetumbuliwa u katibu tawala siku za nyuma leo mama kaletewa mezani jina lile lile limegeuzwa kidogo tu ye kasaini tena az if ni mtu mpya!
Tatizo kubwa la huyu mama ni kutojiridhisha na kuamini ktk wasaidizi ambao bahati mbaya wameshamsoma mapungufu yake na sasa wana take advantage ya mapungufu hayo!.
 
Wenzetu Watanganyika washalitumbua jipu, sasa ni zamu yetu Wazanzibari kuukamua usaha mpaka tuufikie moyo wake na kuliponya moja kwa moja jeraha.
Ingefaa tuwaulize wenzetu, kama wao wameumia mno kwa kuona uhuru na rasilimali zao zimeingia hatarini kwa mkataba mmoja TU wa bandari, wanadhani wametuumiza kwa kiasi gani sisi wenzao kwa miaka 60 yote hii tangu walipoupora uhuru na mamlaka yetu YOTE na kutudumaza kiustawi kwa kutufungia njia kuu za kiuchumi.

Wanaumia kuona Mzanzibari anakuwa rais wa Tanzania hata kama ni kisheria na kikatiba, wakati wao wamejipa mamlaka ya kimabavu, kwa miaka yote hii ya kutupangia nani atuongoze Wazanzibari na kwa mipaka gani ya mamlaka!

Tuwathibitishie kwamba iwe iwavyo, sasa tumeshabaini bila chembe ya shaka, kwa yaliyotoka kwenye ndimi zao, kwamba wana chuki kubwa dhidi ya Uarabu na Uislamu na kwamba chuki hizo ndizo zilizochangia pia kutubana tusifurukute ndani ya 'muungano'; na ndio maana kina Lukuvi na Sitta hawakuulizwa chochote na yeyote waliponena waliyoyanena dhidi ya Uarabu na Uislamu, kwa sababu waliwasilisha na kuwakilisha mtazamo rasmi wa Tanganyika kuhusiana na Wazanzibari katika muungano.

Na kwa hapa tulipofika tukubaliane kwamba, kama ni kuuendeleza muungano, basi hakuna mbadala mwingine wa mahusiano yetu ya kisiasa na Watanganyika isipokuwa kufuta kwanza jina Tanzania na kurudi kwenye Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kuamua ama kuwa na muungano wa mkataba au wa serikali tatu. Ghairi ya hivyo ni kila nchi kurudi kwenye asili yake ya taifa na nchi kamili
Chuki zao zipo wazi
 
Lengo la serikali ya awamu ya 6 ni kutaka kuona mifumo ya TEHAMA kati ya TRA na TPA inasomana ili bandari zituingizie NUSU YA BAJETI YA NCHI KWA MWAKA.....

Hili nalo ni la kupinga?!!![emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]

Kweli inawezekana "MIREMBE" vitanda VIMEJAA....wengine wameachiwa kuzurura huku mitaani [emoji1787][emoji1787]
Naona unajitekenya halafu unacheka mwenyewe......, yaani uanzishe uzi kwa id yako halafu uanze kucomment kwa id nyingine ili iwe trending ila umeshindwa....

Watanzania kwa sasa wamewaelewa na wako tayari kuingia vitani kupambana na nyie mnaolipeleka taifa motoni kila uchwao.
 
Lengo la serikali ya awamu ya 6 ni kutaka kuona mifumo ya TEHAMA kati ya TRA na TPA inasomana ili bandari zituingizie NUSU YA BAJETI YA NCHI KWA MWAKA.....

Hili nalo ni la kupinga?!!![emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]

Kweli inawezekana "MIREMBE" vitanda VIMEJAA....wengine wameachiwa kuzurura huku mitaani [emoji1787][emoji1787]
Unaandika kama kuku aliyekatika kichwa.
 
Je hii ni sawa? Hongera kibajaji Kwa kuhoji huu Ubaguzi uliofanywa na Mbowe.m,si ajabu watu Huwa wanawashutumu Wachaga Kwa Ubaguzi na ukabila..

Hivi msimamo wa Chadema kuhusu Muungano ni upi? Akina Salum Mwalimu na yule anajiita Mwenyekiti wa Baraza la Wazee bila shaka wamepata ujumbe wao kutoka Kwa Mwenyekiti..

My Take
Tukemee Kwa Nguvu zetu zote Ubaguzi wa Kikanda na ukabila maana inaweza sambaratisha Taifa..

Tuanze kukemea ubaguzi ulioasisiwa na CCM
 
Huo mkataba wakaingie na bandari ya Malindi Zanzibar au ile ya Chakechake na Wete Pemba.
Huyo Kibajaji hana ajualo zaidi ya uchawa Mbowe amesema mbona bandari za Zanzibar haziingizwi kwenye mkataba au wao hawataki kunufaika na uwekezaji wa Mwarabu ubaguzi upo wapi?
Hatutaki undezi this time.
 
Wenzetu Watanganyika washalitumbua jipu, sasa ni zamu yetu Wazanzibari kuukamua usaha mpaka tuufikie moyo wake na kuliponya moja kwa moja jeraha.
Ingefaa tuwaulize wenzetu, kama wao wameumia mno kwa kuona uhuru na rasilimali zao zimeingia hatarini kwa mkataba mmoja TU wa bandari, wanadhani wametuumiza kwa kiasi gani sisi wenzao kwa miaka 60 yote hii tangu walipoupora uhuru na mamlaka yetu YOTE na kutudumaza kiustawi kwa kutufungia njia kuu za kiuchumi.

Wanaumia kuona Mzanzibari anakuwa rais wa Tanzania hata kama ni kisheria na kikatiba, wakati wao wamejipa mamlaka ya kimabavu, kwa miaka yote hii ya kutupangia nani atuongoze Wazanzibari na kwa mipaka gani ya mamlaka!

Tuwathibitishie kwamba iwe iwavyo, sasa tumeshabaini bila chembe ya shaka, kwa yaliyotoka kwenye ndimi zao, kwamba wana chuki kubwa dhidi ya Uarabu na Uislamu na kwamba chuki hizo ndizo zilizochangia pia kutubana tusifurukute ndani ya 'muungano'; na ndio maana kina Lukuvi na Sitta hawakuulizwa chochote na yeyote waliponena waliyoyanena dhidi ya Uarabu na Uislamu, kwa sababu waliwasilisha na kuwakilisha mtazamo rasmi wa Tanganyika kuhusiana na Wazanzibari katika muungano.

Na kwa hapa tulipofika tukubaliane kwamba, kama ni kuuendeleza muungano, basi hakuna mbadala mwingine wa mahusiano yetu ya kisiasa na Watanganyika isipokuwa kufuta kwanza jina Tanzania na kurudi kwenye Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kuamua ama kuwa na muungano wa mkataba au wa serikali tatu. Ghairi ya hivyo ni kila nchi kurudi kwenye asili yake ya taifa na nchi kamili
Mmeporwa kitu gani nyie?

- Mna majeshi.

- Serikali.

- Bunge.

- Mahakama.

- Katiba yenu.

Juzi tu Tanesco imewasamehe deni mliloshindwa kulipa mmetumia umeme wa bure tu, hapo nani aliyeporwa?

Nyie kitu pekee Mungu alichowanyima ni akili pekee, mpo mpo tu, hamjielewi, mnapenda mambo mepesi mepesi tu, hamko serious, hamfai kupewa nafasi nyeti za kuongoza hili taifa.
 
Wenzetu Watanganyika washalitumbua jipu, sasa ni zamu yetu Wazanzibari kuukamua usaha mpaka tuufikie moyo wake na kuliponya moja kwa moja jeraha.
Ingefaa tuwaulize wenzetu, kama wao wameumia mno kwa kuona uhuru na rasilimali zao zimeingia hatarini kwa mkataba mmoja TU wa bandari, wanadhani wametuumiza kwa kiasi gani sisi wenzao kwa miaka 60 yote hii tangu walipoupora uhuru na mamlaka yetu YOTE na kutudumaza kiustawi kwa kutufungia njia kuu za kiuchumi.

Wanaumia kuona Mzanzibari anakuwa rais wa Tanzania hata kama ni kisheria na kikatiba, wakati wao wamejipa mamlaka ya kimabavu, kwa miaka yote hii ya kutupangia nani atuongoze Wazanzibari na kwa mipaka gani ya mamlaka!

Tuwathibitishie kwamba iwe iwavyo, sasa tumeshabaini bila chembe ya shaka, kwa yaliyotoka kwenye ndimi zao, kwamba wana chuki kubwa dhidi ya Uarabu na Uislamu na kwamba chuki hizo ndizo zilizochangia pia kutubana tusifurukute ndani ya 'muungano'; na ndio maana kina Lukuvi na Sitta hawakuulizwa chochote na yeyote waliponena waliyoyanena dhidi ya Uarabu na Uislamu, kwa sababu waliwasilisha na kuwakilisha mtazamo rasmi wa Tanganyika kuhusiana na Wazanzibari katika muungano.

Na kwa hapa tulipofika tukubaliane kwamba, kama ni kuuendeleza muungano, basi hakuna mbadala mwingine wa mahusiano yetu ya kisiasa na Watanganyika isipokuwa kufuta kwanza jina Tanzania na kurudi kwenye Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kuamua ama kuwa na muungano wa mkataba au wa serikali tatu. Ghairi ya hivyo ni kila nchi kurudi kwenye asili yake ya taifa na nchi kamili
Upendo wenu kwetu mnaonyesha kwa kutuita machogo? Mbowe ameuliza kwa nini bandari za Zanzibar hazikuingizwa katika mkataba huu wenye manufaa makubwa wewe unaleta mambo ya uarabu na uislamu? Unataka tuogope kuwakosoa kwa sababu tu nyinyi ni waislamu wazanzibari? Mbowe amekosoa mkataba kwa kile alichoona ni mapungufu yake. Wewe nawe una haki ya kuutetea kwa mema yaliyomo na kutoa sababu kwa nini bandari za Zanzibar hazikujumuishwa ( k.m. suala la bandari si la Muungano).

Msipende kututishia kuhusu Muungano. Kwa taarifa yako huku wako wengi tu wangefurahi kama hii ndoa ingevunjika tu badala ya kufanya maigizo ya serikali tatu au ya mkataba ( nchi gani duniani zimeungana kwa mkataba? Hata EU na EAC ambazo sio nchi hazisemi kuwa uwepo wao utaangaliwa kila baada ya miaka kadhaa).

Semeni tu kuwa hamtaki Muungano halafu muone wangapi watawabembeleza mbaki.

Amandla....
 
Je hii ni sawa? Hongera kibajaji Kwa kuhoji huu Ubaguzi uliofanywa na Mbowe.m,si ajabu watu Huwa wanawashutumu Wachaga Kwa Ubaguzi na ukabila..

Hivi msimamo wa Chadema kuhusu Muungano ni upi? Akina Salum Mwalimu na yule anajiita Mwenyekiti wa Baraza la Wazee bila shaka wamepata ujumbe wao kutoka Kwa Mwenyekiti..

My Take
Tukemee Kwa Nguvu zetu zote Ubaguzi wa Kikanda na ukabila maana inaweza sambaratisha Taifa..

ccm inamapoyoyo sana inafikir watanzania wote ni wapumbavu kama ilivyo yenyewe mijingamijinga na mengi yako huko kwasababu yamezoea kujaza matumbo kwa ufisadi leo yameamua kuuza bandari kama huo mradi unafaida kwanin bandari ya zanzibar isiingizww kwenye huo mradi ili wazanzibar nao wanufaike wapuuz nyinyi.
 
Kweli Mbowe alikosea kuropoka kuhusu Zanzibar na Wazanzibar.

Saa zingine naona ACT hutumia akili kufikiri na kuchambua mambo kuliko Chadema
mafuas ya ccm mapumbavu yameuza bandari za tanganyika huku za zanzibar zikiachwa.
 
Kuwaza kuuza bandari zote za bara Kwa wageni ni kosa lisilosameheka.

Sa100 must go!!!!
 
Je hii ni sawa? Hongera kibajaji Kwa kuhoji huu Ubaguzi uliofanywa na Mbowe.m,si ajabu watu Huwa wanawashutumu Wachaga Kwa Ubaguzi na ukabila..

Hivi msimamo wa Chadema kuhusu Muungano ni upi? Akina Salum Mwalimu na yule anajiita Mwenyekiti wa Baraza la Wazee bila shaka wamepata ujumbe wao kutoka Kwa Mwenyekiti..

My Take
Tukemee Kwa Nguvu zetu zote Ubaguzi wa Kikanda na ukabila maana inaweza sambaratisha Taifa..

Ccm ni kundi dogo la wajinga linalotawala kundi kubwa la watu.
 
Tena hapo ndio patamu mpaka maccm na mapumbavu yao yalie meeeeee kama mbuzi.
Wazanzibari wakipigania haki zao ni sawa ila kwa mtanganyika kupigania haki zao si sawa...Mh. Mbowe na watanganyika kamatieni hapo hapo 'mliposhika ndio penyewe, pamewaumiza'
 
Back
Top Bottom