Kuhusu Mbowe, Bandari na Ubaguzi: Je, huwezi kufanya ukosoaji bila kuleta ubaguzi wa kikanda?


Kama unavyoona ni wachache na Mimi naona pia ni wachache.
Umesema wabunge au wawakilishi wapeleke hoja ,

Uchaguzi wote wa Hao wabunge na wawakilishi husimamiwa na wa Tanganyika.
Wewe huwezi ukagombea nafasi yoyote bila idhini ya mkoloni Tanganyika.

Sijawahi kusikia kuna jeshi la Zanzibar. Jeshi ni la Tanganyika
Polisi wanaosimamia ni wa Tanganyika , Usalama ni Tanganyika.
Uchaguzi wa 2015 Baada kuona wabunge na wawakilishi wa upinzani wameshinda , Kikwete akaleta jeshi kwenye ofisi Za Tume ya uchaguzi na akalazimisha kufutwa uchaguzi.

Ondoweni majeshi na mapolisi kutoka kila mtaa ndio utuambie maneno hayo
 
Kwa hiyo unangoja mpaka mtesi wako akuruhusu ndio udai haki yako? Mngekuwa mnauthamini sana huo "uhuru" wenu mngeingia mtaani ( sio kwa fujo) kuudai baada ya kuona wawakilishi wenu ( pamoja na wale wa ACT-WAZALENDO) wanakuwa mabubu. Fanyeni migomo mpaka msikiwe. Mkishindwa vyote hivyo kaeni kimya katika unafik wenu.

Amandla...
 

Bila mgomo karma inatosha kuwapiga
Mnaingizwa mkenge kistyle
 
We mjinga Ukiulizwa Tanganyika inafaidika vipi na Muungano utajibu vipi? Mwinyi si alinuwa Mzanzibar akauza Lolindo?

Mwinyi ni kijana wa Mkuranga au huelewi
 

Kwani wao wanataka kuolewa na wewe,usipoenda kuoa wataolewa nawengine case closed!
 
Muungano fake uvunjwe
 
Naona kamanda unashinikizwa uombe radhi, kwa kosa lipi?

Kwa state ya Tanzania kuingia mkataba na Emirate ya UAE ambayo sio state?

Hao masulutani kwa sababu walishasema watarudi kutawala Afrika ndio tukubali?

Umefanya kosa gani mpaka uombe radhi? Aombe radhi Rais Samia na Makame Mbarawa kwa kuuza ardhi ya Tanganyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…