Kuhusu Mbowe, Bandari na Ubaguzi: Je, huwezi kufanya ukosoaji bila kuleta ubaguzi wa kikanda?

Umejitahidi kutafuta matusi lakini umeshindwa. Ni wachache sana ( kama wapo) wanaotumia hayo maneno.

Nyie mna bunge lenu, jeshi lenu na Rais wenu kwa nini msipeleke hoja katika bunge lenu kudai Muungano uvunjwe? Lakini kama ilivyo siku zote, mnataka mtanganyika awafanyie hii kazi ili baadae mjidai kuwa hamkutaka Muungano uvunjwe.

Watanganyika hawana serikali yao, nyie wenye serikali ndio mnatakiwa kulianzisha. Au mnaogopa kuwa mkifanya hivyo kweli utavunjika? Na mambo ya " changu changu na chako chetu" yatakoma.

Amandla...

Kama unavyoona ni wachache na Mimi naona pia ni wachache.
Umesema wabunge au wawakilishi wapeleke hoja ,

Uchaguzi wote wa Hao wabunge na wawakilishi husimamiwa na wa Tanganyika.
Wewe huwezi ukagombea nafasi yoyote bila idhini ya mkoloni Tanganyika.

Sijawahi kusikia kuna jeshi la Zanzibar. Jeshi ni la Tanganyika
Polisi wanaosimamia ni wa Tanganyika , Usalama ni Tanganyika.
Uchaguzi wa 2015 Baada kuona wabunge na wawakilishi wa upinzani wameshinda , Kikwete akaleta jeshi kwenye ofisi Za Tume ya uchaguzi na akalazimisha kufutwa uchaguzi.

Ondoweni majeshi na mapolisi kutoka kila mtaa ndio utuambie maneno hayo
 
Kwa hiyo unangoja mpaka mtesi wako akuruhusu ndio udai haki yako? Mngekuwa mnauthamini sana huo "uhuru" wenu mngeingia mtaani ( sio kwa fujo) kuudai baada ya kuona wawakilishi wenu ( pamoja na wale wa ACT-WAZALENDO) wanakuwa mabubu. Fanyeni migomo mpaka msikiwe. Mkishindwa vyote hivyo kaeni kimya katika unafik wenu.

Bila mgomo karma inatosha kuwapiga
Mnaingizwa mkenge kistyle
 
We mjinga Ukiulizwa Tanganyika inafaidika vipi na Muungano utajibu vipi? Mwinyi si alinuwa Mzanzibar akauza Lolindo?

Mwinyi ni kijana wa Mkuranga au huelewi
 
Ukanda na ukabila hauwezi kuisha daima,siku moja huku facebook palikuwa na kundi la huko kaskazini limeandikwa "Wachaga vs wapare ".

Sasa ndani ya hilo group wanataniana naona kawaida sana baadhi ya post,Dah ! siku moja kuna jamaa akapost kanda ya pwani akisifia mabinti wa huko maana kaoa huko aisee palikuwa na maneno ya kudhalilisha haswa unaweza kuumia ,wakipondea watu wa pwani yaani naona kabisa watu hawapendani sijui kwa nn?

Binafsi yangu bora kanda zingegawanywa na nilikuwa nataka kuoa binti wa huko ili kuunganisha undugu ila kwa kweli chuki ni real sioni kama kuna ndoa tena ,siwezi kuoa hii inaonekana wanachukia ndugu na jamaa zangu.

Kwani wao wanataka kuolewa na wewe,usipoenda kuoa wataolewa nawengine case closed!
 
Umejitahidi kutafuta matusi lakini umeshindwa. Ni wachache sana ( kama wapo) wanaotumia hayo maneno.

Nyie mna bunge lenu, jeshi lenu na Rais wenu kwa nini msipeleke hoja katika bunge lenu kudai Muungano uvunjwe? Lakini kama ilivyo siku zote, mnataka mtanganyika awafanyie hii kazi ili baadae mjidai kuwa hamkutaka Muungano uvunjwe.

Watanganyika hawana serikali yao, nyie wenye serikali ndio mnatakiwa kulianzisha. Au mnaogopa kuwa mkifanya hivyo kweli utavunjika? Na mambo ya " changu changu na chako chetu" yatakoma.

Amandla...
Muungano fake uvunjwe
 
Naona kamanda unashinikizwa uombe radhi, kwa kosa lipi?

Kwa state ya Tanzania kuingia mkataba na Emirate ya UAE ambayo sio state?

Hao masulutani kwa sababu walishasema watarudi kutawala Afrika ndio tukubali?

Umefanya kosa gani mpaka uombe radhi? Aombe radhi Rais Samia na Makame Mbarawa kwa kuuza ardhi ya Tanganyika.
 
Back
Top Bottom