Kuhusu Mbowe, Bandari na Ubaguzi: Je, huwezi kufanya ukosoaji bila kuleta ubaguzi wa kikanda?

Kuhusu Mbowe, Bandari na Ubaguzi: Je, huwezi kufanya ukosoaji bila kuleta ubaguzi wa kikanda?

Je hii ni sawa? Hongera kibajaji Kwa kuhoji huu Ubaguzi uliofanywa na Mbowe.m,si ajabu watu Huwa wanawashutumu Wachaga Kwa Ubaguzi na ukabila..

Hivi msimamo wa Chadema kuhusu Muungano ni upi? Akina Salum Mwalimu na yule anajiita Mwenyekiti wa Baraza la Wazee bila shaka wamepata ujumbe wao kutoka Kwa Mwenyekiti..

My Take
Tukemee Kwa Nguvu zetu zote Ubaguzi wa Kikanda na ukabila maana inaweza sambaratisha Taifa..

Hakuna ubaguzi hapo ni ukweli tupu, kwanini nyie Zanzibar mnatubagua? shame on you ondokeni
 
Msijifiche kwenye kichaka cha uislam kwani huku Tanganyika hakuna Waislam? Huu muungano uvunjike mutawaliwe tena na sultan kwani ndiyo matamanio yenu. Tanganyika kuna Waislam zaidi ya milioni 30 na Zanzibar mko milioni mbili tu mnajiona mna thamani zaidi ya hawa milioni 30 wa Tanganyika?
Eti Tanganyika wapo Wakristo M 30 na M 30 ni Waisalmu na Zanzibar M 2, kwa mujibu wa sensa ya mwaka gani?

Je Wapagani, Wahindi, Wachina, Waarabu weusi wanaoishi hapa TZ takwimu zao zikwapi?

Kwa akili hizi kweli Bongo bahati mbaya..[emoji124]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Je hii ni sawa? Hongera kibajaji Kwa kuhoji huu Ubaguzi uliofanywa na Mbowe.m,si ajabu watu Huwa wanawashutumu Wachaga Kwa Ubaguzi na ukabila..

Hivi msimamo wa Chadema kuhusu Muungano ni upi? Akina Salum Mwalimu na yule anajiita Mwenyekiti wa Baraza la Wazee bila shaka wamepata ujumbe wao kutoka Kwa Mwenyekiti..

My Take
Tukemee Kwa Nguvu zetu zote Ubaguzi wa Kikanda na ukabila maana inaweza sambaratisha Taifa..
Nasimama na Mbowe

Wazanzibar watupishe

Sent from my CPH2217 using JamiiForums mobile app
 
Msijifiche kwenye kichaka cha uislam kwani huku Tanganyika hakuna Waislam? Huu muungano uvunjike mutawaliwe tena na sultan kwani ndiyo matamanio yenu. Tanganyika kuna Waislam zaidi ya milioni 30 na Zanzibar mko milioni mbili tu mnajiona mna thamani zaidi ya hawa milioni 30 wa Tanganyika?

Kamwambie Lukuvi maneno hayo
 
Upendo wenu kwetu mnaonyesha kwa kutuita machogo? Mbowe ameuliza kwa nini bandari za Zanzibar hazikuingizwa katika mkataba huu wenye manufaa makubwa wewe unaleta mambo ya uarabu na uislamu? Unataka tuogope kuwakosoa kwa sababu tu nyinyi ni waislamu wazanzibari? Mbowe amekosoa mkataba kwa kile alichoona ni mapungufu yake. Wewe nawe una haki ya kuutetea kwa mema yaliyomo na kutoa sababu kwa nini bandari za Zanzibar hazikujumuishwa ( k.m. suala la bandari si la Muungano).

Msipende kututishia kuhusu Muungano. Kwa taarifa yako huku wako wengi tu wangefurahi kama hii ndoa ingevunjika tu badala ya kufanya maigizo ya serikali tatu au ya mkataba ( nchi gani duniani zimeungana kwa mkataba? Hata EU na EAC ambazo sio nchi hazisemi kuwa uwepo wao utaangaliwa kila baada ya miaka kadhaa).

Semeni tu kuwa hamtaki Muungano halafu muone wangapi watawabembeleza mbaki.

Amandla....

Kwani nyinyi Si mnatuita wavaa,kobazi, , wala urojo,

Kuhusu muungano mbona tumesema sana

Kama huko wako wengi hawataki muungano hili jeshi na hawa TISS mlilolijaza kila mtaa ni la kazi gani ? Na kwa nini mnakuja kuuwa watu kil uchaguzi ili kuwaweka vibaraka wenu ??
 
Mmeporwa kitu gani nyie?

- Mna majeshi.

- Serikali.

- Bunge.

- Mahakama.

- Katiba yenu.

Juzi tu Tanesco imewasamehe deni mliloshindwa kulipa mmetumia umeme wa bure tu, hapo nani aliyeporwa?

Nyie kitu pekee Mungu alichowanyima ni akili pekee, mpo mpo tu, hamjielewi, mnapenda mambo mepesi mepesi tu, hamko serious, hamfai kupewa nafasi nyeti za kuongoza hili taifa.

Ni kweli huku Zanzibar watu wanapewa umeme wa bure na ndiyo Watanganyika wakajazana wengine wanalala mpaka juu ya mapaa ya Nyumba Za Michenzani
 
Haiwezekani Rais aliyepewa mamlaka ya kuzilinda rasilimali zetu kisheria, na kuapa kufanya hivyo wakati alipoapishwa, leo ashuhudie mtendaji wake anaingia terms za hovyohovyo kwenye mkataba wa muhimu kama ule, halafu hamfanyi chochote! bado yupo ofisini mpaka leo! hivi sisi Waafrika tulirogwa na nani?!

Hali ilivyo sasa Wazanzibari wakipigania haki zao ni sawa ila kwa mtanganyika kuzipigania haki zao si sawa... Bwana Mbowe na watanganyika kamatieni hapo hapo 'mliposhika ndio penyewe, pamewaumiza' Ingawa na nyinyi Wachaga na wengine kutoka Kaskazini ni washenzi sana! Na mna madudu yenu mengi mno! Ukabila, ubaguzi na unyanyasaji dhidi ya wasiokuwa ndugu zenu/kabila moja na nyinyi.

Siku zote heshima ya mtu huipoteza mwenyewe, pale anapopewa na kushindwa kuilinda, na kwa zile terms za ule mkataba, Samia na Mbarawa hawastahili heshima yoyote, Mbowe yuko sahihi kusema cha ukweli.

Kwanza huyo mbarawa anakaaga Ulaya na familia yake ipo huku... haoni hasara kuwauza 😂👍🏾
 
Kwani nyinyi Si mnatuita wavaa,kobazi, , wala urojo,

Kuhusu muungano mbona tumesema sana

Kama huko wako wengi hawataki muungano hili jeshi na hawa TISS mlilolijaza kila mtaa ni la kazi gani ? Na kwa nini mnakuja kuuwa watu kil uchaguzi ili kuwaweka vibaraka wenu ??
Umejitahidi kutafuta matusi lakini umeshindwa. Ni wachache sana ( kama wapo) wanaotumia hayo maneno.

Nyie mna bunge lenu, jeshi lenu na Rais wenu kwa nini msipeleke hoja katika bunge lenu kudai Muungano uvunjwe? Lakini kama ilivyo siku zote, mnataka mtanganyika awafanyie hii kazi ili baadae mjidai kuwa hamkutaka Muungano uvunjwe.

Watanganyika hawana serikali yao, nyie wenye serikali ndio mnatakiwa kulianzisha. Au mnaogopa kuwa mkifanya hivyo kweli utavunjika? Na mambo ya " changu changu na chako chetu" yatakoma.

Amandla...
 
Je hii ni sawa? Hongera kibajaji Kwa kuhoji huu Ubaguzi uliofanywa na Mbowe.m,si ajabu watu Huwa wanawashutumu Wachaga Kwa Ubaguzi na ukabila..

Hivi msimamo wa Chadema kuhusu Muungano ni upi? Akina Salum Mwalimu na yule anajiita Mwenyekiti wa Baraza la Wazee bila shaka wamepata ujumbe wao kutoka Kwa Mwenyekiti..

My Take
Tukemee Kwa Nguvu zetu zote Ubaguzi wa Kikanda na ukabila maana inaweza sambaratisha Taifa..

Hivi unadhani kama si ukabila mpuuzi kama yule nyumbu aliekimbilia CANADA angekuwa kiongozi pale CDM?
 
Zanzibar ni nchi wakati Kilimanjaro siyo nchi ...kibajaji na mazwazwa wenzie wanaomsifu wote ubungo wao kisoda hawana wuelewa zaidi kupiga domo!
Watu kutoka upande mmoja wa nchi wanakuja kutuletea waarabu kujinufaisha na bandari ni uchuro mkubwa serikali hii haina chakujivunia kukiendesha zaidi ya bandari!!!
Suala la Muungano linapaswa kuwekwa vyema na hapo ndipo point ya Mbowe inapokuja, kwanini miundombinu yetu Tanganyika ijengwe na mtu kutoka nchi ya Zanzibar?? Sisi hatuna profesa? Je anauchungu na yatayojiri bara kuliko kwao alikogombea urais?
TUJIFINZE KWA WALIOTUTANGULIA. JEE, INAWEZEKANA KIONGOZI MKUU ENGLAND AKATOKEA SCOTLAND?? AU MAWAZIRI SEKTA NYETI AWE TOKA SCOTLAND?
KATIBA MPYA NI JAMBO MUHIMU SAAANA,TUJIFIKIRISHE DEEP SIO KUISHIA USHABIKI WA MANENO YA MBOWE NA KIBAJAJI KUONGELEA UBAGUZI UTADHANI UPANDE MMOJA NI WARABU MWINGINE WAAFRIKA!!
 
Back
Top Bottom