Tambala mbovu
Member
- Sep 9, 2014
- 84
- 97
Yanga 1-1 SimbaNi swali Zuri.
Moses phili si MCHEZAJI mzuri kihivyo mnavyo fikilia.
Nitaweka hoja chache useze kunielewa Moses Phili.,
1. Kwanza kabisa haendani na Falsafa ya Robertinho, kimo,kutokukaba, KUPOTEZA MIPIRA.
2. Moses phili ni mchezaji anayependa kucheza No 10.
Namba kumi Simba Kuna Chama, Saido na sasa ongezeko la Ngoma ambaye AMECHEZA kwenye no 10 kwa Muda mrefu, vita, raja.
3. Moses phili Hana uwezo wa kukabia juu, anapoteza sana MIPIRA, featness level yake IPO CHINI ukilinganisha na Onana, KIBU na Baleke
Hili haliitaji hata kulielez.
Uwezo wa phili kukaa na mpira ni mdogo sana.
4. Hana madhara Nje ya 18.
Ni kama Kagere anafunga ndani ya 18 ni potcher mzuri mno
5. Si MCHEZAJI WA Michezo mikubwa.
JARIBU kufuatilia mchezo WA Simba na yanga ulioisha kwa goli 1-1 Azizi ki na Okra. Moses alipoteana kabisa uwanjani alicheza Dakika 80 hakupiga shuti hata Moja muda worte aliocheza
6. MAKOCHA wawili WA Simba kutomuelewa.
Zoran mark na Robertinho wote hawana Imani na phili, Zoran maki ALIWAHI kumtumia kyombo kwenye Mechi ya Simba na yanga Ngao ya Jamii dk 80 na KUMUACHA BENCHI PHILI.
Magoli ya Sakho na Mayele 2-1
BINAFSI NIMESIKITIKA SANA KUONA SIMBA INA MAWINGA 10
NIMESHANGAZWA SANA KUMUONA BANDA.
😂😂😂 Wachambuzi hao rafiki.Tuchambue na kutoa maoni kwa staha,hii ya kuitana huna akili,mpumbavu ,sio Good
Aseee! Ile sio mechi ya kulalamika hivyo, ni ya kirafiki tu. Hivyo wageni wa ligi Yetu yaani walitakiwa wapimwe kiwango na tuwaone. Wengine kama Moses P., Hao ni wataalamu ilikuwa ni halali tu watulie maana moto wao tunauju. Ingekuwa ni ligi imeanza alafu wanaachwa bench malalamiko yako yalikuwa sahihi.View attachment 2710614
View attachment 2710617
Haya mambo ya kuzunguka zunguka hayafai kwa sababu muda unaenda kasi sana.
Siwezi kujifanya sijashtuka Phiri kukalia bench dakika 90. Ni uongo. Kila mtu kaona kikosi cha kwanza huku majembe mengine yakiwa pale bench. Baadae wakapewa nafasi wachezaji wa kawaida na wakali kama kina Ngoma. Halafu uone ni sawa tu Phiri kukalia bench. Kuna Wachezaji walishindwa kuonyesha kiwango toka robo ya kwanza ya kikosi lakini kocha hakumuona Phiri.
Tunasemaje..Phiri ndio aliyetupeleka makundi CAFCC msimu uliopita. Usiniambie kuhusu kiwango chake cha sasa kwa sababu ile ilikuwa mechi ya kutest mitambo. Sijasema ni bora kuliko wengine lakini anao uwezo wa kushindana na kushindania timu. Mambo ya hovyo kama haya ndio yanayosababisha kocha apangiwe kikosi. Kumbania mchezaji mpaka watu wanashtuka.
Kocha afikishiwe habari. Asituone mafala, awaulize waliotangulia. Tuna uwezo wa kumkataa mpaka akashangaa.
Aisee ,wachambuzi wa humu wana hasira hao balaa, 😂😂😂😂😂 Wachambuzi hao rafiki.
Umemaliza ,means Phiri ana miss mambo mengi ,kuliko SaidooUna kataa kubwa sio namba kumi ila una sema ni second striker au maana ya second striker ni ipi.
Mchezaji anae cheza nyuma ya ushambuliajia kimsingi ni namba kumi.
Nafasi anayo cheza Saido pale Simba na ndio aneo ambalo Phiri ana yakiwa kucheza.
Ugumukwa kocha upo hapa Saido ndio mchezaji ambaye amechangia magoli mengi kuliko mchey mwingine ndani ya Simba msimu uliopita.
Sasa mchezaji huyo ni ngumu mno kumweka benchi.
Kwaiyo Phiri ni mzuri ila Saidoo amekuwa bora mno kwa sasa na hata mechi ya Power Dynamo ametoa assist 2 hii ni moja ya kazi zake nzuri.
Tutaelewana nini? Acha uchocheziNaona furaha inaanza kidogo kidogo kutoweka, huku malalamiko yakianza kutawala. Tutaelewana tu.
Kuumia kwa kipa? Aliumia?Alitakiwa kuachwa, kuumia kwa kipa mbrazil kumembakisha.
Hapo sasa daktari..tunataka hoja chanya kama hiziKwakweli mchezaji kama haitajiki ni vyema kutendewa haki atafute changamoto kwingine.
Ni sawa na Yanga wangemng'ang'ania Yanick Bangala wana mkataba naye halafu unamuweka benchi siyo uungwana, waliopewa thank you Ndio hawana sifa za kucheza kwenye timu.
Halafu tamasha tu ambalo ni bonanza unamyima vipi airtime mchezaji ambaye wenye timu wanampenda?
Mbrazil, wanasema hivyo.Kuumia kwa kipa? Aliumia?
Kwahiyo we ukisikia second striker unajua ni namba kumi?Una kataa kubwa sio namba kumi ila una sema ni second striker au maana ya second striker ni ipi.
Mchezaji anae cheza nyuma ya ushambuliajia kimsingi ni namba kumi.
Nafasi anayo cheza Saido pale Simba na ndio aneo ambalo Phiri ana yakiwa kucheza.
Ugumukwa kocha upo hapa Saido ndio mchezaji ambaye amechangia magoli mengi kuliko mchey mwingine ndani ya Simba msimu uliopita.
Sasa mchezaji huyo ni ngumu mno kumweka benchi.
Kwaiyo Phiri ni mzuri ila Saidoo amekuwa bora mno kwa sasa na hata mechi ya Power Dynamo ametoa assist 2 hii ni moja ya kazi zake nzuri.
Hapo kwa ntiba msimguse...maana moto wake sio mdogo..ndo aliefanya zile assist mbili..hapo angetolewa kibu apumzike aingie Phiri..Boss, unamtetea kocha....umeongea sawa kabisaa logically true ila kocha anazingua yule...aya ntibanzokiza pia mnatuambia nini? Kapewa airtime kubwa kafanya nini? Ni kweli kibu na bocco ni bora kuliko phiri? Mnasema juhudi mazoezini
Nimetoka kuongea na kocha muda si mrefu, amesema Moses Phiri ni majeruhi. Hivyo mashabiki kuweni na subira. Muda si mrefu ataanza kuonekana uwanjani. 😇Tutaelewana nini? Acha uchochezi
Ndio tunataka Phiri acheze...
Kipa Mbrazil hakuumia. Zile ni propaganda za kuficha aibu kwa makosa yaliyofanyika kwenye huo usajili usio na umakini.Mbrazil, wanasema hivyo.
Kabisa...ila Saidoo ana mchango mkubwa sana Simba..anapiga mipira ya kona na adhabu inayoona..asibezwe...Sio Phiri hsts Baanda hapewi nafasi halafu anawapa nafasi wachezaji wazee kina Bocco Na Saidoo wakati muda wao wa kucheza umeisha. Huyu kocha ajifunze kwa makocha wengine kwanza anachelewa kufanya sub, ile mechi sielewi kwanini alikaa na kipa mmoja mpaka mwisho ndio maana Maura alipata majeraha kwenye mechi ambayo msaidizi wake angeweza kucheza.
Naungana na mtoa mada kwa sababu sisi washabiki hata kama hatujasomea mpira tunaona kile kilichotokea kuhusu kina Kibu sio kila mechi inahitaji mchezaji kutumia nguvu. Hata Chama kama sio mashabiki kupiga kelele alishataka kumtoa kisa haendani na falsafa yake ila mashabiki walisimama naye tukaona jinsi alivyocheza.
Binafsi nilifurahi Sakho alivyoondoka kwani kocha alikuwa anaua kipaji chake. Kama kocha angekuwa anafanya rotation sidhani kama Wydad wangetutoa maana tulishawadhibiti ilikosekna plan B kwa sababu tuling'ang'ania wachezaji walewale
Majeruhi gani mwaka mzima?Nimetoka kuongea na kocha muda si mrefu, amesema Moses Phiri ni majeruhi. Hivyo mashabiki kuweni na subira. Muda si mrefu ataanza kuonekana uwanjani. 😇
Nikuamini wewe au taarifa rasmi?Kipa Mbrazil hakuumia. Zile ni propaganda za kuficha aibu kwa makosa yaliyofanyika kwenye huo usajili usio na umakini.
Well analysed.Ni swali Zuri.