Ng'wale
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 4,690
- 3,399
Mara nyingi propaganda ikishawekwa kwenye taarifa rasimi inakua ndiyo sahihi. Ichukue hiyo taarifa rasimi.Nikuamini wewe au taarifa rasmi?
Nitathibitishaje mbele za watu kuwa ni propaganda?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mara nyingi propaganda ikishawekwa kwenye taarifa rasimi inakua ndiyo sahihi. Ichukue hiyo taarifa rasimi.Nikuamini wewe au taarifa rasmi?
Nitathibitishaje mbele za watu kuwa ni propaganda?
Hakuna striker anaesifiwa kwa kukabaNi swali Zuri.
Moses phili si MCHEZAJI mzuri kihivyo mnavyo fikilia.
Nitaweka hoja chache useze kunielewa Moses Phili.,
1. Kwanza kabisa haendani na Falsafa ya Robertinho, kimo,kutokukaba, KUPOTEZA MIPIRA.
2. Moses phili ni mchezaji anayependa kucheza No 10.
Namba kumi Simba Kuna Chama, Saido na sasa ongezeko la Ngoma ambaye AMECHEZA kwenye no 10 kwa Muda mrefu, vita, raja.
3. Moses phili Hana uwezo wa kukabia juu, anapoteza sana MIPIRA, featness level yake IPO CHINI ukilinganisha na Onana, KIBU na Baleke
Hili haliitaji hata kulielez.
Uwezo wa phili kukaa na mpira ni mdogo sana.
4. Hana madhara Nje ya 18.
Ni kama Kagere anafunga ndani ya 18 ni potcher mzuri mno
5. Si MCHEZAJI WA Michezo mikubwa.
JARIBU kufuatilia mchezo WA Simba na yanga ulioisha kwa goli 1-1 Azizi ki na Okra. Moses alipoteana kabisa uwanjani alicheza Dakika 80 hakupiga shuti hata Moja muda worte aliocheza
6. MAKOCHA wawili WA Simba kutomuelewa.
Zoran mark na Robertinho wote hawana Imani na phili, Zoran maki ALIWAHI kumtumia kyombo kwenye Mechi ya Simba na yanga Ngao ya Jamii dk 80 na KUMUACHA BENCHI PHILI.
Magoli ya Sakho na Mayele 2-1
BINAFSI NIMESIKITIKA SANA KUONA SIMBA INA MAWINGA 10
NIMESHANGAZWA SANA KUMUONA BANDA.
Sure, hii yako ndio propaganda sasa.Mara nyingi propaganda ikishawekwa kwenye taarifa rasimi inakua ndiyo sahihi. Ichukue hiyo taarifa rasimi.
Hahahahaha,yaani kwakua kaangalia mpira ,anajua kuandika ,anakua mchambuziWell analysed.
Tatizo 'oya oya' wana kelele nyingi facts zero.
KIla coach ana falsafa yake ambayo huitumia katika ku deluver product yake, sasa hawa mashabiki wao hawajui kuwa haya mambo yana ufundi wake. Wanadhani coach kazi yake ni kusimamia mazoezi na kuandika majina ya wachezaji wanaopiga kelele klabuni.
Wewe sasa ndio umeongea.Sasa kwanini hakuachwa hili dirisha kubwa, aende huko anakofaa na falsafa inamkubali? Ko mnataka kuua carrier yakee?
Acheni hoja za kitoto, wekeni wazi watu wajue ukweli halisi.
Its not about Uwezo.
Issue ni Unafit kwenye Mfumo?
Phiri sio namba 9.....
Phiri sio Winga Pia, kwangu nmuona kama ni Wide forwad ( Rashford like).
Ni mchezaji mzuri kama kocha akimtengenezea mfumo ambao utamuaccomodate.
Je kocha abadili falsafa zake kisa Player 1? No not true.......
Phiri sio Messi wala Ronaldo kwamba kocha atamtengenezea Mfumo wake.
Balance ya timu ni muhimu, seems hawezi kupress, Sio mzuri tukiwa hatuna Mpira ndio maana Hapati nafasi.
Kama huwa unaskiliza interview za Kocha, anasisitiza "play without the ball" .
Nadhani hichi ndio kinamkosesha nafasi.
Nina ujumbe wako PM. Nenda tukajadili kitu.ANANDIKA Stalin KUHUSU MOSES PHILI.
Its not about Uwezo.
Issue ni Unafit kwenye Mfumo?
Phiri sio namba 9.....
Phiri sio Winga Pia, kwangu nmuona kama ni Wide forwad ( Rashford like).
Ni mchezaji mzuri kama kocha akimtengenezea mfumo ambao utamuaccomodate.
Je kocha abadili falsafa zake kisa Player 1? No not true.......
Phiri sio Messi wala Ronaldo kwamba kocha atamtengenezea Mfumo wake.
Balance ya timu ni muhimu, seems hawezi kupress, Sio mzuri tukiwa hatuna Mpira ndio maana Hapati nafasi.
Kama huwa unaskiliza interview za Kocha, anasisitiza "play without the ball" .
Nadhani hichi ndio kinamkosesha nafasi
Great narration.Its not about Uwezo.

Majeruhi gani mwaka mzima?
Ok mkuu.Nina ujumbe wako PM. Nenda tukajadili kitu.
Hahahaaa. Na wasipokuwa makini hivi vilio watatembea navyo msimu mzima. 😅😅😅Aisee ,wachambuzi wa humu wana hasira hao balaa, 😂😂
Atupishe huko ndo wale wale wenye roho mbaya..ANANDIKA Stalin KUHUSU MOSES PHILI.
Its not about Uwezo.
Issue ni Unafit kwenye Mfumo?
Phiri sio namba 9.....
Phiri sio Winga Pia, kwangu nmuona kama ni Wide forwad ( Rashford like).
Ni mchezaji mzuri kama kocha akimtengenezea mfumo ambao utamuaccomodate.
Je kocha abadili falsafa zake kisa Player 1? No not true.......
Phiri sio Messi wala Ronaldo kwamba kocha atamtengenezea Mfumo wake.
Balance ya timu ni muhimu, seems hawezi kupress, Sio mzuri tukiwa hatuna Mpira ndio maana Hapati nafasi.
Kama huwa unaskiliza interview za Kocha, anasisitiza "play without the ball" .
Nadhani hichi ndio kinamkosesha nafasi
Goli la kwanza hauwezi kusema Onana alipewa assist wakati aliukokota mpira mwenyewe vile. Angalia vizuri assist zinahesabiwaje. Wewe ni mtu wa pili kama si wa tatu nimeona anasema hivyo.Una kataa kubwa sio namba kumi ila una sema ni second striker au maana ya second striker ni ipi.
Mchezaji anae cheza nyuma ya ushambuliajia kimsingi ni namba kumi.
Nafasi anayo cheza Saido pale Simba na ndio aneo ambalo Phiri ana yakiwa kucheza.
Ugumukwa kocha upo hapa Saido ndio mchezaji ambaye amechangia magoli mengi kuliko mchey mwingine ndani ya Simba msimu uliopita.
Sasa mchezaji huyo ni ngumu mno kumweka benchi.
Kwaiyo Phiri ni mzuri ila Saidoo amekuwa bora mno kwa sasa na hata mechi ya Power Dynamo ametoa assist 2 hii ni moja ya kazi zake nzuri.
Kuna mdau aliwahi kuandika Uzi kua Simba ijayo itakua ni Ileile ya 2022/23 labda kwenye beki Tu ndo kutakua na mabadiliko kwakua kuna nafasi ya wazi ya onyangoYani mpaka hapa kuna hatari ya Kramo, Phiri, Ngoma, Banda kuchezea mbao ndefu halafu baadae tuwaite magarasa.
Kikosi cha kocha ni kilekile cha msimu uliopita wageni wawili waliongizwa (Malone, Onana) ni kwaajili ya kuziba mapengo ya walioondoka.
Hatuna kocha hapo.
Mbn ni mapema sana ,sasa? Nasubiri zile threads za nani mkali ,kama ya Kibu na Mayele,😂😂Hahahaaa. Na wasipokuwa makini hivi vilio watatembea navyo msimu mzima. 😅😅😅
Leo wameanza na Phiri kesho watahamia kungine.
Huyu hata mm nimemuelewaANANDIKA Stalin KUHUSU MOSES PHILI.
Its not about Uwezo.
Issue ni Unafit kwenye Mfumo?
Phiri sio namba 9.....
Phiri sio Winga Pia, kwangu nmuona kama ni Wide forwad ( Rashford like).
Ni mchezaji mzuri kama kocha akimtengenezea mfumo ambao utamuaccomodate.
Je kocha abadili falsafa zake kisa Player 1? No not true.......
Phiri sio Messi wala Ronaldo kwamba kocha atamtengenezea Mfumo wake.
Balance ya timu ni muhimu, seems hawezi kupress, Sio mzuri tukiwa hatuna Mpira ndio maana Hapati nafasi.
Kama huwa unaskiliza interview za Kocha, anasisitiza "play without the ball" .
Nadhani hichi ndio kinamkosesha nafasi
Majeruhi ni ajali tu inaweza kumkuta kila mchezajiHakuna mchezaji pale.
Ni wale wale akina Banda.
BANDA KILA SIKU MAJERUHI.
Mchezaji mzuri Huwa haumii (Hana majeraha ya mala kwa mara)
HUWEZI Kuta chama,Saido, Feisal, akamimko, Bangala, Mzamiru MESI,RONALDO NK ANAKAA NJE MICHEZO 5 KWASABABU YA MAJERAHA.