Kuhusu Moses Phiri naomba nisiwe mnafiki

Nikuamini wewe au taarifa rasmi?
Nitathibitishaje mbele za watu kuwa ni propaganda?
Mara nyingi propaganda ikishawekwa kwenye taarifa rasimi inakua ndiyo sahihi. Ichukue hiyo taarifa rasimi.
 
Hakuna striker anaesifiwa kwa kukaba

Hakuna striker anaesifiwa kwa kukaa na mipira

Kwenye stats za mchezaji hakuna hivyo vigezo ulivyviweka kwa mshambuliaji,.

Mshambulia anasifiwa kwa kufunga na kutengeneza nafasi, ni Sifa ambazo anazo Moses Phili, na alishaonyesha huo uwezo
 
Hahahahaha,yaani kwakua kaangalia mpira ,anajua kuandika ,anakua mchambuzi
 
Sasa kwanini hakuachwa hili dirisha kubwa, aende huko anakofaa na falsafa inamkubali? Ko mnataka kuua carrier yakee?

Acheni hoja za kitoto, wekeni wazi watu wajue ukweli halisi.
Wewe sasa ndio umeongea.
 


ASANTE KAKA.

WEWE NI MMOJA KATIKA WACHACHE WANAOJUA MPIRA HAPA NDANI.

Thanks Bro
πŸ™
 
ANANDIKA Stalin KUHUSU MOSES PHILI.

Its not about Uwezo.
Issue ni Unafit kwenye Mfumo?

Phiri sio namba 9.....
Phiri sio Winga Pia, kwangu nmuona kama ni Wide forwad ( Rashford like).


Ni mchezaji mzuri kama kocha akimtengenezea mfumo ambao utamuaccomodate.


Je kocha abadili falsafa zake kisa Player 1? No not true.......
Phiri sio Messi wala Ronaldo kwamba kocha atamtengenezea Mfumo wake.
Balance ya timu ni muhimu, seems hawezi kupress, Sio mzuri tukiwa hatuna Mpira ndio maana Hapati nafasi.

Kama huwa unaskiliza interview za Kocha, anasisitiza "play without the ball" .
Nadhani hichi ndio kinamkosesha nafasi
 
Nina ujumbe wako PM. Nenda tukajadili kitu.
 
Great narration.
Moderator hii inatakiwa iwe thread inayojitegemea au pinned reply pale kwa mleta thread.
 
Majeruhi gani mwaka mzima?

Hakuna mchezaji pale.

Ni wale wale akina Banda.
BANDA KILA SIKU MAJERUHI.

Mchezaji mzuri Huwa haumii (Hana majeraha ya mala kwa mara)

HUWEZI Kuta chama,Saido, Feisal, akamimko, Bangala, Mzamiru MESI,RONALDO NK ANAKAA NJE MICHEZO 5 KWASABABU YA MAJERAHA.
 
Atupishe huko ndo wale wale wenye roho mbaya..
 
Yani mpaka hapa kuna hatari ya Kramo, Phiri, Ngoma, Banda kuchezea mbao ndefu halafu baadae tuwaite magarasa.

Kikosi cha kocha ni kilekile cha msimu uliopita wageni wawili waliongizwa (Malone, Onana) ni kwaajili ya kuziba mapengo ya walioondoka.

Hatuna kocha hapo.
 
Goli la kwanza hauwezi kusema Onana alipewa assist wakati aliukokota mpira mwenyewe vile. Angalia vizuri assist zinahesabiwaje. Wewe ni mtu wa pili kama si wa tatu nimeona anasema hivyo.

Saido ni mchezaji mzuri ila ni mchezaji wa kipindi cha kwanza. Baada ya hapo ni hasara zaidi kuliko faida akiwepo uwanjani. Rate yake ya kupoteza mipira ni kubwa mnoo. Msimu uliopita nilipiga kelele hadi nikachoka.
 
Kuna mdau aliwahi kuandika Uzi kua Simba ijayo itakua ni Ileile ya 2022/23 labda kwenye beki Tu ndo kutakua na mabadiliko kwakua kuna nafasi ya wazi ya onyango
 
Hahahaaa. Na wasipokuwa makini hivi vilio watatembea navyo msimu mzima. πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Leo wameanza na Phiri kesho watahamia kungine.
Mbn ni mapema sana ,sasa? Nasubiri zile threads za nani mkali ,kama ya Kibu na Mayele,πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huyu hata mm nimemuelewa
 
Majeruhi ni ajali tu inaweza kumkuta kila mchezaji
Sio kwamba mchezaji kutopata majeuhi ni ujanja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…