Kuhusu Mungu na chanzo cha Ulimwengu, kuna mahali hatuna taarifa kamili/sahihi?

Kuhusu Mungu na chanzo cha Ulimwengu, kuna mahali hatuna taarifa kamili/sahihi?

Wewe huwaga ni kilaza na sina muda wa kujadiliana na mtu ambaye nje ya Quran huna unachojua.

Kwanini unaandika uongo unataka kuwafanya watu hawana akili kama wewe ? Mara ngapi tumejadiliana kwa kutumia Sayansi ? Kutumia hoja za Kiakili bali mpaka kwa kutumia hiyo Logic yenu. Lakini mnaishia kukimbia.

Hapo tu nimetumia hoja za kiakili na umekimbia. Acheni uoga, ila nyinyi kwetu ni wepesi na ni madhaifu sana kuliko nyumba ya bui bui. Kwanza hamjui kujenga hoja, huwa hamjibu maswali tatu ni waoga sana.
 
Nilianza kuwa na maswali mengi ambayo hayakuwa na majibu tangu nikivyokuwa mdogo.

Nikiwa darasa la sita (miaka 11) nilisoma nadharia za Laplace kuhusu dunia ilivyoanza, na zilikuwa tofauti sana na habari za dunia kuumbwa na Mungu zilizomo katika Biblia. Nikaona tatizo habari za Biblia na sayansi kuwa tofauti, nikaona hapa lazima kuna upande unakosea, vyote viwili haviwezi kuwa sawa wakati vinatupa habari tofauti.

Niliendelea kuwa na maswali mengi, na kusoma sana, falsafa tofauti, dini tofauti, polepole nikizidi kuondoa imani ya Mungu.

Kufikia umri wa miaka 19 nikasoma kitabu kinaitwa "Philosophy of Religion: An Anthology". Kitabu hiki kilikuwa na maelezo mengi sana kuhusu falsafa za dini tofauti (anthology). Lakini sehemu m9ja ilinivutia na kunifumbua macho zaidi, inaelezea kitu kinaitwa "the problem of evil" kama ilivyoulizwa na Epicurus. Hiyo chapter ndiyo iliyonifungua macho kujua bila shaka kuwa huyu Mungu tunayemuamini (mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote) hayupo, ni wa hadithi ya kutungwa na watu tu. Kisayansi na kimantiki kabisa.

Kusema Mungu huyo yupo ni sawasawa na kusema kuna pembetatu ambayo hapohapo ni duara katika Euclidean geometry.
Pia mkuu naomba kufahamu , je hukuwahi kuhisi guilty yoyote Yani kusitasita hv kuhisi pengine labda MUNGU anaweza kuwepo, hukuwahi Kuona hatia ndani Yako. Pia VP je hakuna nyakati zozote katka maisha Yako ulishawah kumshirikisha MUNGU mfano ee MUNGU nijalie afya njema au nisaidie ktka masomo yangu au kazi au katika namna yoyote Ile ya kujutia mfano eeeh mwenyezi MUNGU nimekukosea nisamehe, vitu km hvyo naomba ufafanuzi kiongozi
 
Aisee katika miungu yote Allah ni wa ajabu zaidi usikute hata miungu myenzake inamuogopa
 
Pia mkuu naomba kufahamu , je hukuwahi kuhisi guilty yoyote Yani kusitasita hv kuhisi pengine labda MUNGU anaweza kuwepo, hukuwahi Kuona hatia ndani Yako. Pia VP je hakuna nyakati zozote katka maisha Yako ulishawah kumshirikisha MUNGU mfano ee MUNGU nijalie afya njema au nisaidie ktka masomo yangu au kazi au katika namna yoyote Ile ya kujutia mfano eeeh mwenyezi MUNGU nimekukosea nisamehe, vitu km hvyo naomba ufafanuzi kiongozi
Baada ya kuelewa kuwa Mungu hayupo, nikiwa na miaka kadiri 19, sikuwahi kurudi nyuma.

Siwezi kupata guilt kwa sababu huyo Mungu nilimtafuta sana kabla ya kusema hayupo. Sikusema hayupo kirahisi tu. Nimesoma Ukristo wote, nimesoma Uislamu, nimesoma mpaka Buddhism, bado kidogo niende kuwa Buddhist monk. Nimesoma dini nyingi sana za dunia. Nikagundua Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote si tu hayupo, bali pia hawezi kuwepo.

Na ikitokea akawepo nikafa nikakutana naye, nitamshitaki yeye mwenyewe kwa nini kajificha sana nimefanya juhudi zote kumjua sijamjua? Si sawa hilo, kwa nini ajifiche hivyo?

Kwenye suala la kumshirikisha Mungu kuomba akujalie hiki au kike, ukiona una haja ya kuomba Mungu akujalie kitu huo nao ni ushahidi Mungu hayupo.

Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote angekuwepo, angekupa kila unachotaka kabla hujakiomba.

Ukiona unamuomba Mungu tu akujalie kitu, huo ni ushahidi Mungu hayupo.
 
VP mambo ya kiroho kama vile uçhawi, ushirikina , mapepo , mashetani , miujiza je unayaamini ? Na kama huyaamini kwànn yanazunguzwa maeneo mengi, tunasikia visa kama vile mtu karogwa flani ni mchawi na visa vingi vya kichawi Kwa njia ya Mikasa na stori za mtaani je hvyo vyote unaviamini au ushawah kuvishuhudia ? Naomba SoMo apo mkuu. Mana japo sijawah kushuhudia vtu km hvyo vya kichawi lakn stori zote hzo nazozisikia kuhusu uchawi ziwe za uwongo🤔 VP mtu kaenda Kwa mganga na hawajuan na mganga afu mganga anamfunulia vtu vya huyo mtu kana kwamba wanafahamiana . Pia kwñy upande wa Mali za Giza zinazohusisha utoaji kafara wa damu , misukule stori za chama Cha kishetani , utajiri wa nyoka nk je mkuu vitu vyote hv viwe ni vya kufikirika kwel🤔 mana vitu hvi vyote vinahusiana na uwepo wa MUNGU. Pia uko marekani Kuna watu wanamtukana na kumfanyia dhihaka MUNGU na yesu kristo je kwann wanatumia nguvu nyngi kutukana vitu ambavo havipo ni vya kufikirika🤔
 
Mbona we Jamaa ni mjinga kwenye Mambo marahisi na madogo hv? Hivi una elimu hata ya msingi kweli?
Yani kwa ukweli kabisa unafikiri ubongo hauhusiki na akili? Hivi gurudumu la Gari linapozunguka injini haihusiki? Unatia aibu. Jaribu kusoma ht mitandaoni kazi za brain uongeze ufahamu uondoe aibu hii. Kwenye mwili wa binadamu hakuna mind wala hiyo akili. Wala hakuna kinachoitwa roho. Hivo ni vitu vya kufikirika tu ambavyo vinatokana na kaz za ubongo. Kwenye ubongo kuna section zote hizo. Ww na hizo akili zako unazofikiri cjui ziko mgongoni, cjui utosini, ukichezewa ubongo tu, hutafikiri Wala kuwaza chochote. Ni Sawa na kuzima injini ya Gari, hutaona tairi likizunguka tena.
Unaposema akili ni kazi za ubongo maana yake ni nini?

Tazama kwa mfano, ufanyaji kazi wa mitambo - akili ya mitambo; au mimea na wanyama - ufanyaji kazi wa ubongo wa wanyama (akili ya wanyama). Kisha tazama ufanyaji kazi wa ubongo wa mtu (binadamu).

Katika kutazama ufanyaji kazi wa ubongo wa mtu, eleza nini kinasababisha watu wengine wachache wanavumbua vitu mbalimbali na kugundua na wengine wengi wanabaki kufanya mambo ya kawaida?
 
VP mambo ya kiroho kama vile uçhawi, ushirikina , mapepo , mashetani , miujiza je unayaamini ? Na kama huyaamini kwànn yanazunguzwa maeneo mengi, tunasikia visa kama vile mtu karogwa flani ni mchawi na visa vingi vya kichawi Kwa njia ya Mikasa na stori za mtaani je hvyo vyote unaviamini au ushawah kuvishuhudia ? Naomba SoMo apo mkuu. Mana japo sijawah kushuhudia vtu km hvyo vya kichawi lakn stori zote hzo nazozisikia kuhusu uchawi ziwe za uwongo🤔 VP mtu kaenda Kwa mganga na hawajuan na mganga afu mganga anamfunulia vtu vya huyo mtu kana kwamba wanafahamiana . Pia kwñy upande wa Mali za Giza zinazohusisha utoaji kafara wa damu , misukule stori za chama Cha kishetani , utajiri wa nyoka nk je mkuu vitu vyote hv viwe ni vya kufikirika kwel🤔 mana vitu hvi vyote vinahusiana na uwepo wa MUNGU. Pia uko marekani Kuna watu wanamtukana na kumfanyia dhihaka MUNGU na yesu kristo je kwann wanatumia nguvu nyngi kutukana vitu ambavo havipo ni vya kufikirika🤔
Mambo ya imani za uchawi, ushirikina, mapepo, mashetani, miujiza ni derivatives za maongezi ya Mungu tu. Ukimuondoa Mungu na kwenda kwa ulimwengu wa kisayansi unaona hizo habari zote ni ujinga tu.

Jamii ambayo hata haijaelewa changamoto za afya ya akili mtu akiwa na matatizo yoyote jibu rahisi ni "karogwa" tu.

Hao waganga wanatumia saikolojia ndogo tu kumjua mtu na mara nyingi hata story wanaipata kw amtu mwenyewe na kuirudia tu.

Ukiwa hujiamini, ukaenda kwa mganga, mganga akakufanyia uchawi w akafara mkatoa tambiko, na lile tambiko likakupa confidence ya kisaikolojia kupigana mpaka ufanikiwe, ukifanikiwa utajuaje umefanikiwa kwa sababu uchawi umefanya kazi kichawi na si kwa sababu umepata psychological boost kujiamini na kufanya kazi zaidi tu?

Kuhusu kutukana Mungu ambaye hayupo, mimi sitaongelea kutukana, nitaongelea mfano wa mtu anayetumia muda mwingi kuelimisha jamii kwamba Mungu hayupo, kwa nini atumie muda mwingi kuelimisha jamii kuhusu Mungu ambaye hayupo? Kama hayupo si hayupo tu?

Kuna tatizo gani kuamini Mungu ambaye hayupo?

Kuna tatizo kubwa. Fikiria daktari anayeishi na jamii ya watu wajinga yenye ugonjwa ambao hauna tiba wala chanjo. Watu wale hawajali maambukizi ya ugonjw ahuu, kwa sababu wameaminishwa kuna dawa ya ugonjw ahuu. Lakini dawa ile si ya kweli, ni ya uongo.

Huyu daktari hana wajibu wa kuwaelimisha wale watu kwamba hiyo dawa wanayoitegemea si ya kweli? Ana wajibu. Uongo unaathiri, unaua. Ukiamini dawa ya uongo unaweza kufa.
 
Usiwe mjinga kiasi hicho kila siku nakwambia mambo usio kuwa na elimu nayo achana nayo kujadili.

Unaposema akili neno la kufikirika, kwanza ulitakiwa ujue nini maana ya tamko "Kufikirika". Shida yenu ile ile kila siku ya kutojua maana ya maneno.

Hata hao waliosema akili kwenye ubongo hawajui maana ya akili. Akili mahala pake ni moyoni ila ubongo huchukua na kuyaweka mahala pake yale yanayochakatwa na akili ambayo ipo moyoni. Mfano ukiona wewe watu wawili wamevaa nguo fulani za rangi tofauti, hatua ya kwanza ni mlango wa fahamu huchukua taarifa hiyo taarifa inapatiwa utambuzi na akili kwenye moyo na ili kuyaweka hayo mafuhumu katika mahala pake kwa maana, mwenye nguo nyeusi ni mwanamke au mwanamke kazi hii hufanywa na ubongo.

Kwa ufupi akili ni uwezo unaofanya aeupukane na kufanya makosa katika kujenga hoja au matendo. Ndio maana ukija kusoma maana nyepesi ya Logic (Japokuwa huwa mnajifaragua nayo lakini hamuijui asili yake) husemwa Logic (Mantiki) ni elimu ya kutumia akili inayomsaidia mtu asikosee katika kujenga hoja.

Ujinga ulioje kila siku mnaiongelea logic lakini unasema akili ni tamko la kufirika. Una matatizo ya akili kijana.
Akili mahala pake ni kwenye MOYO?

Hivi mtu akifanyiwa heart transplantation anabadilika akili?

I came in peace! 🙏
 
Moderator mbona sielewi huu uzi ni muandiko wangu pure!,binafsi naujua muandiko wangu huyu member kaiba mada yangu halafu yeye kaja kuongezea aya ya mwishoni kabisa! angalieni aya zote na aya ya mwisho zinautofauti kiuandishi na haviendani na msingi wa mada ilivyoanza yani aya ya mwisho ni kama komenti!..

hii mada naikumbuka na nimeikumbuka kwa sentensi kadhaa tu nilipoanza kuisoma sasa nashangaa!, mada yakwangu lkn muandishi ni mwengine! nini kinaendelea hapa na mnawezaje kuruhusu jambo kama hili...?? Maxence Melo
 
Maxence Melo uzi original ni huu hapa uzi upo toka 2022 umekuwa.. nafikiri ipo haja yakufanya kuepusha vitu kama hivi mkuu.
 
Moderator mbona sielewi huu uzi ni muandiko wangu pure!,binafsi naujua muandiko wangu huyu member kaiba mada yangu halafu yeye kaja kuongezea aya ya mwishoni kabisa! angalieni aya zote na aya ya mwisho zinautofauti kiuandishi na haviendani na msingi wa mada ilivyoanza yani aya ya mwisho ni kama komenti!..

hii mada naikumbuka na nimeikumbuka kwa sentensi kadhaa tu nilipoanza kuisoma sasa nashangaa!, mada yakwangu lkn muandishi ni mwengine! nini kinaendelea hapa na mnawezaje kuruhusu jambo kama hili...?? Maxence Melo
Kaiba mada yako kutoka kwenye uzi upi? Link itasaidia Mkuu.
 
Kuhusu Mungu na chanzo cha Ulimwengu, kuna mahali hatuna taarifa kamili/sahihi?

Mlalamikaji sina hakika kama umesoma mada nilioandika, ukiacha kwamba hajaelewa nilichoandika.

Mada nilioiandika haihusiani kwa vyovyote vile na mada yako labda kama una sababu nyingine.
 
Dini Ni matrix iliyotengenezwa na wachache wanaoujua ukwel ili kutawala wengne, soul zetu zimetoka kwa Mungu kweli na znatambua Hilo, Ila akili zetu zimetekwa na matrix huku duniani, Cha msingi apo nikufanya juhudi binafsi za kiroho ili kujitambua wewe Ni Nan umetoka wap,umekuja kufanya nin na utaenda wap? Kumeditate Ni muhimu ili kuwa na utulivu na kufungua Soul zetu
Matrix ni nini??
 
aa haina shida mimi naweza labda nikawa najua njia ya wewe upate uwepo wake labda naweza lakini maana yupo MUNGU
Kusema kwako MUNGU yupo bado Hakuthibitishi uwepo wa huyo Mungu.

Thibitisha Mungu yupo na si imani na mawazo yako ya kufikirika tu.
 
Back
Top Bottom