Wewe huwaga ni kilaza na sina muda wa kujadiliana na mtu ambaye nje ya Quran huna unachojua.
Pia mkuu naomba kufahamu , je hukuwahi kuhisi guilty yoyote Yani kusitasita hv kuhisi pengine labda MUNGU anaweza kuwepo, hukuwahi Kuona hatia ndani Yako. Pia VP je hakuna nyakati zozote katka maisha Yako ulishawah kumshirikisha MUNGU mfano ee MUNGU nijalie afya njema au nisaidie ktka masomo yangu au kazi au katika namna yoyote Ile ya kujutia mfano eeeh mwenyezi MUNGU nimekukosea nisamehe, vitu km hvyo naomba ufafanuzi kiongoziNilianza kuwa na maswali mengi ambayo hayakuwa na majibu tangu nikivyokuwa mdogo.
Nikiwa darasa la sita (miaka 11) nilisoma nadharia za Laplace kuhusu dunia ilivyoanza, na zilikuwa tofauti sana na habari za dunia kuumbwa na Mungu zilizomo katika Biblia. Nikaona tatizo habari za Biblia na sayansi kuwa tofauti, nikaona hapa lazima kuna upande unakosea, vyote viwili haviwezi kuwa sawa wakati vinatupa habari tofauti.
Niliendelea kuwa na maswali mengi, na kusoma sana, falsafa tofauti, dini tofauti, polepole nikizidi kuondoa imani ya Mungu.
Kufikia umri wa miaka 19 nikasoma kitabu kinaitwa "Philosophy of Religion: An Anthology". Kitabu hiki kilikuwa na maelezo mengi sana kuhusu falsafa za dini tofauti (anthology). Lakini sehemu m9ja ilinivutia na kunifumbua macho zaidi, inaelezea kitu kinaitwa "the problem of evil" kama ilivyoulizwa na Epicurus. Hiyo chapter ndiyo iliyonifungua macho kujua bila shaka kuwa huyu Mungu tunayemuamini (mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote) hayupo, ni wa hadithi ya kutungwa na watu tu. Kisayansi na kimantiki kabisa.
Kusema Mungu huyo yupo ni sawasawa na kusema kuna pembetatu ambayo hapohapo ni duara katika Euclidean geometry.
Baada ya kuelewa kuwa Mungu hayupo, nikiwa na miaka kadiri 19, sikuwahi kurudi nyuma.Pia mkuu naomba kufahamu , je hukuwahi kuhisi guilty yoyote Yani kusitasita hv kuhisi pengine labda MUNGU anaweza kuwepo, hukuwahi Kuona hatia ndani Yako. Pia VP je hakuna nyakati zozote katka maisha Yako ulishawah kumshirikisha MUNGU mfano ee MUNGU nijalie afya njema au nisaidie ktka masomo yangu au kazi au katika namna yoyote Ile ya kujutia mfano eeeh mwenyezi MUNGU nimekukosea nisamehe, vitu km hvyo naomba ufafanuzi kiongozi
VP mambo ya kiroho kama vile uçhawi, ushirikina , mapepo , mashetani , miujiza je unayaamini ? Na kama huyaamini kwànn yanazunguzwa maeneo mengi, tunasikia visa kama vile mtu karogwa flani ni mchawi na visa vingi vya kichawi Kwa njia ya Mikasa na stori za mtaani je hvyo vyote unaviamini au ushawah kuvishuhudia ? Naomba SoMo apo mkuu. Mana japo sijawah kushuhudia vtu km hvyo vya kichawi lakn stori zote hzo nazozisikia kuhusu uchawi ziwe za uwongo🤔 VP mtu kaenda Kwa mganga na hawajuan na mganga afu mganga anamfunulia vtu vya huyo mtu kana kwamba wanafahamiana . Pia kwñy upande wa Mali za Giza zinazohusisha utoaji kafara wa damu , misukule stori za chama Cha kishetani , utajiri wa nyoka nk je mkuu vitu vyote hv viwe ni vya kufikirika kwel🤔 mana vitu hvi vyote vinahusiana na uwepo wa MUNGU. Pia uko marekani Kuna watu wanamtukana na kumfanyia dhihaka MUNGU na yesu kristo je kwann wanatumia nguvu nyngi kutukana vitu ambavo havipo ni vya kufikirika🤔Baada ya kuelewa kuwa Mungu hayupo, nikiwa na miaka kadiri 19, sikuwahi kurudi nyuma.
Siwezi kupata guilt kwa sababu huyo Mungu nilimtafuta sana kabla ya kusema hayupo. Sikusema hayupo kirahisi tu. Nimesoma Ukristo wote, nimesoma Uislamu, nimesoma mpaka Buddhism, bado kidogo niende kuwa Buddhist monk. Nimesoma dini nyingi sana za dunia. Nikagundua Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote si tu hayupo, bali pia hawezi kuwepo.
Na ikitokea akawepo nikafa nikakutana naye, nitamshitaki yeye mwenyewe kwa nini kajificha sana nimefanya juhudi zote kumjua sijamjua? Si sawa hilo, kwa nini ajifiche hivyo?
Kwenye suala la kumshirikisha Mungu kuomba akujalie hiki au kike, ukiona una haja ya kuomba Mungu akujalie kitu huo nao ni ushahidi Mungu hayupo.
Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote angekuwepo, angekupa kila unachotaka kabla hujakiomba.
Ukiona unamuomba Mungu tu akujalie kitu, huo ni ushahidi Mungu hayupo.
Unaposema akili ni kazi za ubongo maana yake ni nini?Mbona we Jamaa ni mjinga kwenye Mambo marahisi na madogo hv? Hivi una elimu hata ya msingi kweli?
Yani kwa ukweli kabisa unafikiri ubongo hauhusiki na akili? Hivi gurudumu la Gari linapozunguka injini haihusiki? Unatia aibu. Jaribu kusoma ht mitandaoni kazi za brain uongeze ufahamu uondoe aibu hii. Kwenye mwili wa binadamu hakuna mind wala hiyo akili. Wala hakuna kinachoitwa roho. Hivo ni vitu vya kufikirika tu ambavyo vinatokana na kaz za ubongo. Kwenye ubongo kuna section zote hizo. Ww na hizo akili zako unazofikiri cjui ziko mgongoni, cjui utosini, ukichezewa ubongo tu, hutafikiri Wala kuwaza chochote. Ni Sawa na kuzima injini ya Gari, hutaona tairi likizunguka tena.
Wewe ulikufa ukajua hujui?Finally, ukifa ndiyo utajua hujui
Mambo ya imani za uchawi, ushirikina, mapepo, mashetani, miujiza ni derivatives za maongezi ya Mungu tu. Ukimuondoa Mungu na kwenda kwa ulimwengu wa kisayansi unaona hizo habari zote ni ujinga tu.VP mambo ya kiroho kama vile uçhawi, ushirikina , mapepo , mashetani , miujiza je unayaamini ? Na kama huyaamini kwànn yanazunguzwa maeneo mengi, tunasikia visa kama vile mtu karogwa flani ni mchawi na visa vingi vya kichawi Kwa njia ya Mikasa na stori za mtaani je hvyo vyote unaviamini au ushawah kuvishuhudia ? Naomba SoMo apo mkuu. Mana japo sijawah kushuhudia vtu km hvyo vya kichawi lakn stori zote hzo nazozisikia kuhusu uchawi ziwe za uwongo🤔 VP mtu kaenda Kwa mganga na hawajuan na mganga afu mganga anamfunulia vtu vya huyo mtu kana kwamba wanafahamiana . Pia kwñy upande wa Mali za Giza zinazohusisha utoaji kafara wa damu , misukule stori za chama Cha kishetani , utajiri wa nyoka nk je mkuu vitu vyote hv viwe ni vya kufikirika kwel🤔 mana vitu hvi vyote vinahusiana na uwepo wa MUNGU. Pia uko marekani Kuna watu wanamtukana na kumfanyia dhihaka MUNGU na yesu kristo je kwann wanatumia nguvu nyngi kutukana vitu ambavo havipo ni vya kufikirika🤔
Akili mahala pake ni kwenye MOYO?Usiwe mjinga kiasi hicho kila siku nakwambia mambo usio kuwa na elimu nayo achana nayo kujadili.
Unaposema akili neno la kufikirika, kwanza ulitakiwa ujue nini maana ya tamko "Kufikirika". Shida yenu ile ile kila siku ya kutojua maana ya maneno.
Hata hao waliosema akili kwenye ubongo hawajui maana ya akili. Akili mahala pake ni moyoni ila ubongo huchukua na kuyaweka mahala pake yale yanayochakatwa na akili ambayo ipo moyoni. Mfano ukiona wewe watu wawili wamevaa nguo fulani za rangi tofauti, hatua ya kwanza ni mlango wa fahamu huchukua taarifa hiyo taarifa inapatiwa utambuzi na akili kwenye moyo na ili kuyaweka hayo mafuhumu katika mahala pake kwa maana, mwenye nguo nyeusi ni mwanamke au mwanamke kazi hii hufanywa na ubongo.
Kwa ufupi akili ni uwezo unaofanya aeupukane na kufanya makosa katika kujenga hoja au matendo. Ndio maana ukija kusoma maana nyepesi ya Logic (Japokuwa huwa mnajifaragua nayo lakini hamuijui asili yake) husemwa Logic (Mantiki) ni elimu ya kutumia akili inayomsaidia mtu asikosee katika kujenga hoja.
Ujinga ulioje kila siku mnaiongelea logic lakini unasema akili ni tamko la kufirika. Una matatizo ya akili kijana.
Kaiba mada yako kutoka kwenye uzi upi? Link itasaidia Mkuu.Moderator mbona sielewi huu uzi ni muandiko wangu pure!,binafsi naujua muandiko wangu huyu member kaiba mada yangu halafu yeye kaja kuongezea aya ya mwishoni kabisa! angalieni aya zote na aya ya mwisho zinautofauti kiuandishi na haviendani na msingi wa mada ilivyoanza yani aya ya mwisho ni kama komenti!..
hii mada naikumbuka na nimeikumbuka kwa sentensi kadhaa tu nilipoanza kuisoma sasa nashangaa!, mada yakwangu lkn muandishi ni mwengine! nini kinaendelea hapa na mnawezaje kuruhusu jambo kama hili...?? Maxence Melo
Kaiba mada yako kutoka kwenye uzi upi? Link itasaidia Mkuu.
MUNGU yupo nduguUlishawahi kufa ukajua?
Au unaleta vitisho uchwara ulivyo pumbazwa na viongozi wako wa dini?
Matrix ni nini??Dini Ni matrix iliyotengenezwa na wachache wanaoujua ukwel ili kutawala wengne, soul zetu zimetoka kwa Mungu kweli na znatambua Hilo, Ila akili zetu zimetekwa na matrix huku duniani, Cha msingi apo nikufanya juhudi binafsi za kiroho ili kujitambua wewe Ni Nan umetoka wap,umekuja kufanya nin na utaenda wap? Kumeditate Ni muhimu ili kuwa na utulivu na kufungua Soul zetu
MUNGU hajawahi kuwepo, hayupo na hatakaa awepo.MUNGU yupo ndugu
MUNGU hajawahi kuwepo, hayupo na hatakaa awepo.
Ni wewe tu unajaribu kufosi uwepo wa huyo
aa haina shida mimi naweza labda nikawa najua njia ya wewe upate uwepo wake labda naweza lakini maana yupo MUNGUMUNGU hajawahi kuwepo, hayupo na hatakaa awepo.
Ni wewe tu unajaribu kufosi uwepo wa huyo MUNGU.
Kusema kwako MUNGU yupo bado Hakuthibitishi uwepo wa huyo Mungu.aa haina shida mimi naweza labda nikawa najua njia ya wewe upate uwepo wake labda naweza lakini maana yupo MUNGU