Kuhusu Mungu na chanzo cha Ulimwengu, kuna mahali hatuna taarifa kamili/sahihi?

Hapana. Ni ugumu wa maisha ndio unatufanya tufkiri Mambo mengi Kama hayo[emoji16]
 
QURAN 22: 73

"Enyi watu! Unapigwa mfano, basi usikilizeni! Hakika wale mnao waabudu badala ya Mwenyezi Mungu, hawawezi kuumba hata inzi ijapo kuwa watajumuika kwa hilo(wasidiane). Na kama inzi akiwapokonya kitu hawawezi kukipata kwake. Amedhoofika kweli huyo mwenye kutaka (kupokonya) na mwenye kutakiwa (kupokonywa).
 
QURAN 2: 2-6

2."Hiki ni Kitabu kisichokuwa na shaka ndani yake; ni uongozi kwa wanao muogopa Mwenyezi Mungu.



3. Ambao wanaamini yasiyo onekana na wanashika Sala, na hutoa katika tuliyo wapa.



4. Na ambao wanayaamini yaliyo teremshwa kwako, na yaliyo teremshwa kabla yako; na Akhera wana yakini nayo.



5. Hao wapo juu ya uwongofu utokao kwa Mola wao Mlezi, na hao ndio walio fanikiwa.



6. Hakika wale walio kufuru ni sawa kwao ukiwaonya au usiwaonye, hawaamini. "
 
QURAN 7: 35-36

35. "Enyi wanaadamu! Watakapo kufikieni Mitume miongoni mwenu wakakuelezeni Aya zangu, basi watakao mcha Mwenyezi Mungu na wakafanya mema haitakuwa hofu kwao,(baada ya kufa) wala hawata huzunika.



36. Na wale watakao kanusha Aya (Ishara) zetu na wakazifanyia kiburi, hao ni watu wa Motoni; humo watadumu."
 
hakika uzi wk umeniacha na maswal meng sn mkuu...
 
Sidhani hata Kama umeelewa mada mkuu! By the way sidhani kama hapa panafaa kunadi Sera za Mungu fulani! Jitahidi kuja na majibu na sio Sera za kunadi.
 
Biblia inasema ''Mungu ndo kaumba kaumba viumbe vyote hapa Duniani!'' ina maana vinavyo muamini na visivyo muamini!! na wewe ukiwa mmoja wao Mungu hana shida na hilo ni sawa uko ivo!! endelea!

hata shetani aliumbwa na Mungu huyo huyo!! ....... Mungu huyo huyo akaendelea sema zaidi kuwa ''Imani siyo mali ya kila mtu''' ....sasa tatizo lake nini mpaka ajadiliwe?? muacheni apumzike bana, walio wake wanamjua!...kwani weye hapa Lengo lako ni nini??

hao walio wake waache kumuabudu au!!!! ...kwa mujibu wa Biblia wewe uko sahihi kabisa!! Mungu wao hakuhusu!! endelea na sehemu yako salama ipo inakusubiri shida iko wapi??

Kama husikii akaongezea lingine namnukuu ''Kondoo wanamjua mchungaji wake'' ukiitizama hii ni kweli kabisaaa!........ Akasema tena kuwa hata '''siyo kila aniitaye Bwana!! Bwana!! ataingia ktk ufalme wa Mbinguni'' jamani hayayooote bado hujui tu??

kwa hiyo hata hao unao dhania wako sahahi kwa upande wa Mungu!! wanaweza wasiingie mbinguni! Upo hapo Mazee!..... haya Mambo yako hivi kila mtoto mtaani ana Baba yake!! ... Baba za wengine ni wazuri ever!! na wengine ni wabaya ever!! ni kipigo tyuuu!!

Huyu mwenye Baba mbaya/mlevi/malaya/kichapo tuu kila siku! wanae wakimuona wanakula kona!! hawa ukiwambia Baba yangu ni mzuri sana muelewa hawawezi kukuelewa hata!! ...ndo sawa na wewe!! waache hao wanao mwabudu Mungu wao!! wamuabudu.

kwa kuwa wanamjua fika! wewe hujui!!...wanamwona siyo kila binadamu unaye muona mtaani ni Mtu mwenye nafsi la hasha!! na hili linahitaji karama ya Mungu tu kuyajua haya! inawezekana weye ukawa mmoja wapo!

Sayansi pamoja na ubabe wao wooote wanafika mahala wanagota!! mpaka leo hawajui mtu akizaliwa /akifa anatoka au enda wapi? lkn Biblia ina majibu!!....Kwa nini Dunia pekee inaelea Angani na ina uhai hawana majibu mpaka kesho!!

Kwa nini mwili wako uwe na ushirikiano ivo.....kuanzia kuvuta hewa kula chakula kigumu na kuwa kinyesi!! hutapata majibu......yaani utajiuliza mpaka kesho!!......nina mengi lkn Muacheni Mungu bana!!! ...... please!!...

Mnakereketwa na nini?? hamlali bandiko loote hilo juu ya uwepo wake?? hii tu inatosha kujua Mungu yupo!!.......Leo hii na sasa ivi napoandika hapa mnajua kabisaa kuwa majini Mashetani!! vibwengo, wachawi yoote hayo yapo live mitaani...

kwa nini hamtaki fikiria nguvu Opposite na hizo za shetani mnazo ziona wazi wazi???. shetani yeye hajifichi.. kwanza anamuogopa sana Mungu.......tena unampiga kirahisi sana kwa jina la Yesu tu live! hilooo lina kufa tena unaona hivi........

.lkn Haya yoote bado tu mnajifanya hamuelewi duu!!kama ni ivo wewe hapo! mleta Mada unamjua unae mtumikia...sivyo lah!! subiri soon tu! atakuvaa!!...wewe ni kibwengo halisi ila hujijui!! sababu hii siyo kawaida!! siku moja jipitishe kanisani uone moto wake!
 
Duuhhh [emoji23][emoji1787]
Yule mpakwa mafuta , mtoto mteule wa annunak dumaa the terrible akija, patachimbika hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tatizo la ujinga wako bwana mdogo unaamini kile kitu umeaminishwa bila kufanya tafiti,
Haya nenda you tube ukaangalie documentary inaitwa Annunaki chronicles umewekewa kule upate Somo ndio utanielewa Nini hua namaanisha,
Sometimes usidhani tunaandika vitu kujifurahisha waliokuletea Dini wao wameacha kuzifuta maana wanakua zile propaganda waliziandika wao zama za Giza ila Sasa hazina manufaa na kujikita kwenye chunguzi zenye ithibati na ushahidi dhahiri
Nenda kapate maarifa uone human manipulation na cloning project zinavyodadavuliwa na maandiko ya kale ya Sumerian ndio utajua hujui
Maana haiwezekani binadamu wa kale waandike mambo ambayo Leo kisayansi hatujayafikia Bado walijuaje?
 
Ukristo na uislam nao utapita .

Zinatakuja zingine nazo zitapita.
 
Kuna sababu nyingi kuamini kuna mbunifu wa ulimwengu.
LAKINI sifa alizotokea kupewa na mwanadam sijawai kuziafiki. Ni mawazo ya watu binafs kwa hekma na busara zao za nyakat zao ili kuwepo na mizania ya kuishi ki mahusiano waliyotaman na kuamini yanafaa.
Nahis kutenda kwa kuifata nafs itakuwa jambo jema! wema na ubaya viko katika dhamiri na sio mafundisho!
 

Kama Biblia imeandika umeumbwa kwa mfano wa Mungu..unadhani wewe ni nani?(tuanzie hapo kwanza).
 
Dunia Ina miungu wengi Ila shetani moja

But sikuizi jukwaa la intelligent limejaa watu wengi wasioamini uwepo wa Mungu
Ni kwa sababu wanahitaji physical evidence for spiritual things (God is spirit) kitu ambacho hakitakaa kitokee kwa maana physical things/world zote zilitoka from spiritual things/world kwa hiyo it's possible to prove physical things/events with spiritual evidence but its absolute impossible to prove spiritual things with physical evidence
 
Huu ni ukweli usiopingika kabisa kila mwanadamu anahitaji la ndani (built-in) la kuabudu hata asipoabudu Mungu ataabudu miungu hata miti ng'ombe nk, na dini ilikuwa njia ya mwanadamu kumtafuta Mungu wa kweli na mapenzi yake, lakini hakuna aliyemwona ndio maana kila mmoja akaja na experience yake na wengine kwa kujua hitaji hilo wakatumia dini kama silaha au nyenzo ya kutimiza matakwa yao kwa watu wengine wasio na ufahamu kama wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…