Kuhusu Mungu na chanzo cha Ulimwengu, kuna mahali hatuna taarifa kamili/sahihi?

Kuhusu Mungu na chanzo cha Ulimwengu, kuna mahali hatuna taarifa kamili/sahihi?

Tupilia mbali migawanyo yao je,tunanafasi ipi ya kumjua Mungu wa kweli..?
"Mtanitafuta na kuniona pale mtanitafuta kwa mioyo yenu yote" mwisho wa kunukuu inshort juhudi binafsi inahitajika lakini pia Mungu kujifunua kwako maana asipojifunua hata umtafute aje hutakaa umpate na yeye anaangalia jitihada na kiu yako ya ndani katika kumjua na kamwe hawezi kukuacha uchukuliwe na miungu ya uongo, kikubwa ni imani yako(sio dini yako) katika kuujua ukweli.
 
sema shida ya kuujua Ulimwengu na siri zake na kama kuna Mungu au la ...
Yute utayajua siku UTAKAPOKUFA TU.
Kila kitu kipo wazi hata sasa ni juhudi zako tu, isipokuwa ni kwa baadhi ya watu wenye namna ya maarifa ya kweli yasiyo ya kidunia yenye kubatilika
 
Kwanza inabidi ufahamu Mungu ni jina la cheo sio jina mahusus( Specific), kama vile mtu anavyoweza kusema Rais/Mfalme bila ku specify ni rahisi yupi/nani wa wapi, Rais ni cheo kama tu vile Mungu,mkuu wa mkoa,CEO na kila cheo kina sifa zake.

Katika lugha mbalimbali Mungu kama cheo ametajwa kwa majina mbalimbali mfano God (English) Allah (Arabic) Elohim (Hebrew) sio Yehova/Yahweh Deus na kadhalika

Lakini wayahudi/ wana Waisrael walikuwa na jina specific la Mungu wao ambalo ndio walikatazwa kulitaja bure kwa sababu ya utakatifu wake ambalo ni YHWH ( tetragrammaton) ambalo kwa sababu za kimatamshi westerns walilitohowa na kuliwekea irabu ndio likawa YAHWEH, ila Jina Yehova walilitumia wayahudi katika desturi zao za kumtaja Mungu kwa majina ya sifa badala ya jina lake halisi kwa sababu ya utakatifu wake ili kuepuka kulitamka bure na kijukuta wamevunja ile amri na sifa hizo ziliendana na kitu alichofanya au jinsi alivyo, mfano Yehova Rapha,Mungu mponyaji, Yehova Sabaoth, Mungu wa majeshi n.k.

Lakini kwa wagiriki walikuwa na desturi ya kuwa na miungu wengi tofauti na wayahudi na majina yao yalikuwa mengi pia, mfano Saturn,Venus,Uranus,Apollo etc.

Lakini kwa waarabu wao wamemtaja Mungu kama cheo (ALLAH) bila ku specify jina lake specific (sio la sifa)

Conclusion: Kwa hiyo usihadaike kwa mtu kusema tu Mungu wetu, je ni Mungu gani, unauhakika asilimia ngapi Mungu anayemmaanisha ndio huyo unaye muamini wewe, Ni swala lisilopingika ya kuwa Mungu wa kweli ni mmoja, lakini je ni Mungu yupi, anaitwa nani na wapi na anasifa zote za uungu, Kwa maana hata Lucifer anaitwa Mungu wa dunia hii, lakini je ni Mungu wa kweli?.

Na wengi wetu tumeingizwa katika ibada za miungu tusioijua kwa kigezo cha Mungu ni mmoja, Mungu ni wetu sote, Mungu ni yule yule, bila kujua Mungu ni cheo ambacho kinaweza kuwa na yeyote bila kujali kakidhi vigezo au laa, Ninyi nyote ni mashaidi kuna watu wanajiita marais, mara rais wa wasafi Rais wa manzese Rais wa watu je ni Marais kweli au wamejiita tu hivyo hivyo na kwa Mungu, Kuna Mungu wanajiita,(zumaridi) wengine wanaitwa na watu, hata mtaani kwetu yupo naye mjua anajiita Mungu na watu wanamuita hivyo, Lakini je ni kweli anavigezo

Note: Mungu wa kweli ni mmoja Muumba wa vyote vyenye kuonekana na visivyoonekana, wa milele, mweza yote,mjua yote, afanyaye kila jambo kwa shauri la mapenzi yake pekee, mwenye uwezo wa kuua na kuhuisha hata roho (je Mungu wako ana fit hapo?) Kama hatoshani na sifa hizo tafakari kisha chukua hatua.
Naomba kuwasilisha.
 
Dini Ni matrix iliyotengenezwa na wachache wanaoujua ukwel ili kutawala wengne, soul zetu zimetoka kwa Mungu kweli na znatambua Hilo, Ila akili zetu zimetekwa na matrix huku duniani, Cha msingi apo nikufanya juhudi binafsi za kiroho ili kujitambua wewe Ni Nan umetoka wap,umekuja kufanya nin na utaenda wap? Kumeditate Ni muhimu ili kuwa na utulivu na kufungua Soul zetu
Mungu Sio Dini
 
Mungu ni mzungu// kwa sababu mwanae Yesu pia ni Mzungu! na hakuna mzungu Duniani aliye wahi zaa Mtoto mweusi!..Miafrica mnajipendekeza tu! ndo maana hawasikilizi kwa taabu zenu africa mtakoma

mfano, ukimbizi nyie, vita, njaa magonjwa dhiki,kuzaa madikiteta km kina jiwe!!, vibaka, wezi, siku yesu mzungu akija akija ana tua ulaya ,USA, anabeba wazungu tu! kwenda kula bata paradiso!.......

baada ya miaka elfu anakuja mzungu mwingine anawadanganya pale walikwenda kusafishwa ila sasa nyie subirini kwanza!
 
Tupilia mbali migawanyo yao je,tunanafasi ipi ya kumjua Mungu wa kweli..?
Sikiliza testimony za watu waliotoka kwene ushirikina . Wapo waongo na wakweli utawajua kwa hisia na uhalisia wa matukio wanavotiririka
 
Mungu wa Israel,
Mungu Allah,
Mungu wa wabudha,
Miungu ya kale pale misri,
Na Mungu au Miungu yote ambayo inaabudiwa ikiwemo mizimu na isiyo mizimu, ikiwemo hai na isiyo hai.

Ukweli mchungu ni huu,pamoja na ufahamu wetu wote tulionao lakini bado hatufahamu kuhusu Mungu ama chanzo cha ulimwengu.
Sisemi kuwa Mungu yupo au hayupo hapana,bali naandika kuhusu giza la ufahamu tulilonalo juu ya yupi ni Mungu sahihi ama kipi ni chanzo sahihi cha ulimwengu!

Nafahamu watu na imani zenu mnaona kama naandika maandiko yasiyosahihi!,ila naomba utulivu wa fikra zako japo kwa uchache tutazame vitu kwa undani zaidi.

Hebu fikiri imani uliyonayo sasa,najua wengi wenu mmeirithi toka kwenye jamii ulipozaliwa.. hivyo ulivyo laiti ungezaliwa katika jamii inayoabudu budha nawe ungeamini na kuabudu na pia ungejiona upo sahihi!.. imani ambayo ingekuwa tofauti nawe ungeona Kama ni uongo tupu!
Ulishawahi kujiuliza kwanini?
Jibu baki nalo!

Swali zuri nalotaka ujiulize ni kwanini tuna aina nyingi hivi ya Mungu/Miungu? Na wakati ukiangalia kiuhalisia sisi sote ni binadamu wamoja, mazingira mamoja, tunavuta hewa moja n.k. Kwenye vitu vidogo vidogo hivi tunafanana lakini hili kubwa tunatofauti sana!

Anaeabudu tofauti nawewe unamuona sio sahihi,nayeye pia anakuona wewe sio sahihi!

So yupi ni sahihi?

Kipi kinathibitisha kuwa wewe sio au ndio unaeamini mahali sahihi?

Mtu aliekinyume na imani yako ambae amezaliwa nakuamini tofauti unafikiri amefanya kosa lipi kwa Mungu wako kwa kutokumuamini kuwa ndie Mungu sahihi,ikiwa hakupata ufahamu wowote juu ya Mungu wako?

Je, unafikiri kati yako na Mungu nani alistahiri kumtoa kwenye tope mwenzake nakumleta mahali sahihi?

Maswali haya nikuchokoza ubongo wako ili ufikiri na uelewe nini namaanisha.

Je, huyo Mungu wako mwenye uweza haoni kama ana hatia kwa kuiachia Miungu myengine iabudiwe na kuwapoteza watu wake na hata kuja kuwapa adhabu watu hao?

Ukweli mchungu mwengine ni huu,mpaka Sasa binadamu hatufahamu Mungu sahihi na ndio maana bado tuna Miungu mingi tunayoabudu!

Laiti kama usahihi wa Mungu kweli ungeonekana kati ya Miungu tunayoijua basi binadamu asingekuwa kiumbe mwenye kutapatapa ktk imani!

Kwani kusingekuwa nashaka juu ya Mungu husika kwenye vichwa vyetu!

Tumezaliwa nakukuta vitu hivi vya imani,tumerithishwa tukavipokea(wapo wasiopokea) na tukaviamini (wapo wasioamini pia).
Jiulize,kwani imeshindikana nini kumfahamu Mungu mmoja wa kweli pasipo kurithishwa?

Imagine uzaliwe ujue kunyonya,ujue kupumua ujue kutazama ila Mungu wa kweli usimjue bali urithishwe.!😀
Kimekosekana nini mpaka Tushindwe kumjua Mungu ndani yetu pasipo kufundishwa?

Binafsi mpaka hivi sasa katika Mungu na Miungu ambayo nimeilist hapo juu hakuna hata mmoja ambae logics zake zimeniingia akilini na kunishawishi kuwa yeye ndie Mungu wa kweli!

Hata robo ya ulimwengu jinsi unavyofanya kazi bado hatujaujua ama siri na kanuni za ulimwengu unavyofanya kazi bado hatujazijua!.
MIUNGU wengi tulionao tunaowaabudu bado hawana majibu juu ya chanzo chao pia na ulimwengu kiujumla! Nafikiri zipo sheria mama za kiulimwengu ambazo tukizigundua basi tunaweza kuujua ukweli wote!

Tunajikuta katika lindi la imani hizi kwasababu Kuna kitu hatujajua bado! Giza la ufahamu mbele yetu ndilo linatuweka katika matokeo haya!

Hatujui usahihi wa kweli ipi ndio maana tunatofauti katika Mungu tumuabudie!,kweli huwa haina mashaka ila uwezo wa ufahamu wako ndio unaamua ubebe kipi na uache kipi.

Kwa akili naufahamu wako umeamini kuwa wapo watu wameteuliwa kuwa karibu na Mungu,hivyo wanaweza kukusogeza karibu na Mungu! Kwanini sio wewe mwenyewe ikiwa wewe ni asili toka kwake?

Siamini katika Mungu wa mashaka ambae toka binadamu amekuwepo ktk dunia hii tunaambiwa yupo ila anawashukia wachache na hali ipo Kama hivi ilivyo! Hata kuthibitika kwake bado imekuwa ni mashaka au matendo yake hayathibitiki bali masimulizi!

Mungu ambae ameumba ulimwengu wenye sayari lukuki na akamtupa shetani katika dunia ambayo inaviumbe wake wapendwa! Mungu ambae anasema kwamba shetani amekuja kutujaribu hivyo ni kazi yake mwenyewe anaipima na Kama hukuwa sahihi basi unapewa adhabu! Sa nani hayupo sahihi ikiwa mimi nilieumbwa au yeye alieniumba?

Haitoshi yupo Mungu na Miungu iliyobumbwa kwa vito ambavyo vimetoka hapahapa duniania na tunaambiwa wao ndio walituumba!😂

Nafikiri tunasafari ndefu ya kufahamu ukweli juu ya nadharia ya Umungu na Mungu mwenyewe pamoja na chanzo cha ulimwengu.
Hata tukimlaumu mungu ndo basi hatuna namna. Ni mtihani kwa mwanadamu na inatupasa kuufaulu maana huu ndo muda pekee wa kutafuta njia sahihi coz ukishakufa bila muelekeo kiberiti kinakuhusu. Ni heri uamini yupo umtafute hata usipomkuta haujapoteza kitu. Ishu ni usimuamini afu umkute , yani utatamani kufufuka ukachane peji zote za ufunuo na kipigo kinachoongelewa humo ila ndo bas tena umeshasimsma mbele ya mzee baba kwa mbali unasikia harufu ya sulfur na makelele
 
Mungu ni mzungu// kwa sababu mwanae Yesu pia ni Mzungu! na hakuna mzungu Duniani aliye wahi zaa Mtoto mweusi!..Miafrica mnajipendekeza tu! ndo maana hawasikilizi kwa taabu zenu africa mtakoma

mfano, ukimbizi nyie, vita, njaa magonjwa dhiki,kuzaa madikiteta km kina jiwe!!, vibaka, wezi, siku yesu mzungu akija akija ana tua ulaya ,USA, anabeba wazungu tu! kwenda kula bata paradiso!.......

baada ya miaka elfu anakuja mzungu mwingine anawadanganya pale walikwenda kusafishwa ila sasa nyie subirini kwanza!
Naomba unisamehe bure, ila umeongea pumba moja kubwa sana ambayo sijategemea hata kidogo kuiona hapa.

So racist.

Still huna uelewa kuwa wazungu wamekuja kutoka anga za mbali, na kujichangamanisha na waafrika, hata kuwa watumwa kwa miongo kadhaa, kabla ya kufanya revolutions na kumiliki major means of production.

Kuza uelewa wako wa kufikiri..
 
Nina sababu ya kukujibu jalibu kutumia akili yako vizuri. Maana haya ni matumizi mabaya ya akili
 
Nina sababu ya kukujibu jalibu kutumia akili yako vizuri. Maana haya ni matumizi mabaya ya akili
Ndo ivo wenye akili mingi, tunaitwaga walaaaa hainitoi shipa!..yesu mzungu haji ng'ooo!! mtasubiri sana kenge nyie!! tuna wasaidia buree!! bado hamtaki tuwafanyeje sasa?
 
Naomba unisamehe bure, ila umeongea pumba moja kubwa sana ambayo sijategemea hata kidogo kuiona hapa.

So racist.

Still huna uelewa kuwa wazungu wamekuja kutoka anga za mbali, na kujichangamanisha na waafrika, hata kuwa watumwa kwa miongo kadhaa, kabla ya kufanya revolutions na kumiliki major means of production.

Kuza uelewa wako wa kufikiri..
Nakusamehe mara dufu!.....utakuja kujua pumba hizo ni dhahabu inayo ng'ara ... wkt umechelewa mnooo!! amini nawaambia !.....wazungu hawajatoka anga za mbali umepigwa za macho sasa unaona giza!!

walitoka hapo Cauccus Mt. caves! na wameingia kwenye Prominence si zaidi ya miaka 6000 ilopita!!

(((@@@@@.(hata kuwa watumwa kwa miongo kadhaa, kabla ya kufanya revolutions na kumiliki major means of production.))@@@))).... MBONA HAPA UMEONGEA KM UNAHARISHA UNA MAANA GANI?.
 
NIELEWE KWA MAKINI SANA.

Mungu wa Israel
Mungu Allah,
Mungu wa wabudha,
Miungu ya kale pale misri,
Na Mungu au Miungu yote ambayo inaabudiwa ikiwemo mizimu na isiyo mizimu, ikiwemo hai na isiyo hai.

Ukweli mchungu ni huu, pamoja na ufahamu wetu wote tulionao lakini bado hatufahamu kuhusu Mungu ama chanzo cha ulimwengu.

Sisemi kuwa Mungu yupo au hayupo hapana, bali naandika kuhusu giza la ufahamu tulilonalo juu ya yupi ni Mungu sahihi ama kipi ni chanzo sahihi cha ulimwengu!

Nafahamu watu na imani zenu mnaona kama naandika maandiko yasiyosahihi!,ila naomba utulivu wa fikra zako japo kwa uchache tutazame vitu kwa undani zaidi.

Hebu fikiri imani uliyonayo sasa, najua wengi wenu mmeirithi toka kwenye jamii ulipozaliwa hivyo ulivyo laiti ungezaliwa katika jamii inayoabudu budha nawe ungeamini na kuabudu na pia ungejiona upo sahihi, imani ambayo ingekuwa tofauti nawe ungeona Kama ni uongo tupu!

Ulishawahi kujiuliza kwanini?
Jibu baki nalo!

Swali zuri nalotaka ujiulize ni kwanini tuna aina nyingi hivi ya Mungu/Miungu? Na wakati ukiangalia kiuhalisia sisi sote ni binadamu wamoja, mazingira mamoja, tunavuta hewa moja n.k.

Kwenye vitu vidogo vidogo hivi tunafanana lakini hili kubwa tunatofauti sana!

Anaeabudu tofauti nawewe unamuona sio sahihi, nayeye pia anakuona wewe sio sahihi!

So yupi ni sahihi?

Kipi kinathibitisha kuwa wewe sio au ndio unaeamini mahali sahihi?

Mtu aliekinyume na imani yako ambae amezaliwa nakuamini tofauti unafikiri amefanya kosa lipi kwa Mungu wako kwa kutokumuamini kuwa ndie Mungu sahihi, ikiwa hakupata ufahamu wowote juu ya Mungu wako?

Je, unafikiri kati yako na Mungu nani alistahiri kumtoa kwenye tope mwenzake nakumleta mahali sahihi?

Maswali haya nikuchokoza ubongo wako ili ufikiri na uelewe nini namaanisha.

Je, huyo Mungu wako mwenye uweza haoni kama ana hatia kwa kuiachia Miungu mengine iabudiwe na kuwapoteza watu wake na hata kuja kuwapa adhabu watu hao?

Ukweli mchungu mwengine ni huu, mpaka Sasa binadamu hatufahamu Mungu sahihi na ndio maana bado tuna Miungu mingi tunayoabudu!

Laiti kama usahihi wa Mungu kweli ungeonekana kati ya Miungu tunayoijua basi binadamu asingekuwa kiumbe mwenye kutapatapa ktk imani!

Kwani kusingekuwa nashaka juu ya Mungu husika kwenye vichwa vyetu!

Tumezaliwa nakukuta vitu hivi vya imani, tumerithishwa tukavipokea (wapo wasiopokea) na tukaviamini (wapo wasioamini pia).

Jiulize, kwani imeshindikana nini kumfahamu Mungu mmoja wa kweli pasipo kurithishwa?

Imagine uzaliwe ujue kunyonya,ujue kupumua ujue kutazama ila Mungu wa kweli usimjue bali urithishwe.!😀
Kimekosekana nini mpaka Tushindwe kumjua Mungu ndani yetu pasipo kufundishwa?

Binafsi mpaka hivi sasa katika Mungu na Miungu ambayo nimeilist hapo juu hakuna hata mmoja ambae logics zake zimeniingia akilini na kunishawishi kuwa yeye ndie Mungu wa kweli!

Hata robo ya ulimwengu jinsi unavyofanya kazi bado hatujaujua ama siri na kanuni za ulimwengu unavyofanya kazi bado hatujazijua!.
MIUNGU wengi tulionao tunaowaabudu bado hawana majibu juu ya chanzo chao pia na ulimwengu kiujumla! Nafikiri zipo sheria mama za kiulimwengu ambazo tukizigundua basi tunaweza kuujua ukweli wote!

Tunajikuta katika lindi la imani hizi kwasababu Kuna kitu hatujajua bado! Giza la ufahamu mbele yetu ndilo linatuweka katika matokeo haya!

Hatujui usahihi wa kweli ipi ndio maana tunatofauti katika Mungu tumuabudie!, kweli huwa haina mashaka ila uwezo wa ufahamu wako ndio unaamua ubebe kipi na uache kipi.

Kwa akili naufahamu wako umeamini kuwa wapo watu wameteuliwa kuwa karibu na Mungu, hivyo wanaweza kukusogeza karibu na Mungu! Kwanini sio wewe mwenyewe ikiwa wewe ni asili toka kwake?

Siamini katika Mungu wa mashaka ambae toka binadamu amekuwepo ktk dunia hii tunaambiwa yupo ila anawashukia wachache na hali ipo Kama hivi ilivyo! Hata kuthibitika kwake bado imekuwa ni mashaka au matendo yake hayathibitiki bali masimulizi!

Mungu ambae ameumba ulimwengu wenye sayari lukuki na akamtupa shetani katika dunia ambayo inaviumbe wake wapendwa! Mungu ambae anasema kwamba shetani amekuja kutujaribu hivyo ni kazi yake mwenyewe anaipima na Kama hukuwa sahihi basi unapewa adhabu! Sa nani hayupo sahihi ikiwa mimi nilieumbwa au yeye alieniumba?

Haitoshi yupo Mungu na Miungu iliyobumbwa kwa vito ambavyo vimetoka hapahapa duniania na tunaambiwa wao ndio walituumba!

Nfikiri tunasafari ndefu ya kufahamu ukweli juu ya nadharia ya Umungu na Mungu mwenyewe pamoja na chanzo cha ulimwengu.

Ila nikupe ukweli wote Dini ni matrix iliyotengenezwa na wachache wanaoujua ukwel ili kutawala wengne, soul zetu zimetoka kwa Mungu kweli na zinatambua Hilo, Ila akili zetu zimetekwa na matrix huku duniani, Cha msingi apo nikufanya juhudi binafsi za kiroho ili kujitambua wewe Ni Nan umetoka wap,umekuja kufanya nin na utaenda wap? Kumeditate Ni muhimu ili kuwa na utulivu na kufungua Soul zetu.
 
Kitu chochote ambacho hakipo, Kujitahidi kuelezea kipo huwa ni ngumu sana.

Ndio maana waamini mungu (Theists) wanahangaika sana kuelezea mungu asiyekuwepo.

All religions require you to have faith because they lack proves, evidences, facts, logic and reasoning.
 
Back
Top Bottom