Kuhusu Muungano, Makamo wa Kwanza wa Zanzibar, Adai ni Zanzibar Pekee iliyopoteza Sovereignty, Je Yuko Sahihi?

Hilo dogo tu, nakuhakikishia mtabaki watupu,kwani wakati wa ukoloni walipoondoka waliacha neema gani Leo zipo wapi ???
Nina uhakika mkilitumia hilo sio vibaya ni haki yenu fanyeni,ila baada ya muda mchache mtaanza kukauka kama mti uliokosa kumwagiwa maji kama haitoshi mtaanza kukatana vichwa kugombania waliyoyaacha WaZanzibari,tuseme mali zisizo hamishika,lazima mtanyongana tu. Amueni leo kabla ya kesho mnacheleweshwa na kitu gani,WaZanzibari hamna la kuwashawishi hata miaka elfu au mwisho wa Dunia Muungano weshauchoka,na suala la Muda tu sauti zitasikika Dunia nzima na haitakuwa Nchi ya kwanza hapa ulimwenguni kuvunja Muungano,mbona zipo nyingi,mnachokiogopa hakijulikani. Mnatumia nguvu za ziada ambazo mwisho wake mtageukiana wenyewe kwa wenyewe,si mmeanza kuitana magaidi ??? Au nimekosea neno ?
 
Changamkieni Tanganyika yenu, WaZanzibar sasa wanajitambua,huwa wanawaitikia tu Watanganyika ,wenyewe wanasema wanawaondosha njiani..lakini ukweli kwa sasa Muungano upo jina tu.

Ajabu machogo wengi maongezi yao hayanogi kama hawa hawajajisifia kufika Zanzibar ,yaani hata kama ameenda Ulay huko majuu basi kama hajawai kufika Zanzibar huwa hanaga furaha,ndio siku hizi hata wasanii hujisifia kwenda Zanzibar kupumzika. Hivi Mbuga za wanyama haziwatoshi ???
 

Welcome back Paskal
 
Unajua Wazanzibari hawataki Muungano na hilo liko wazi ndio maana mutaulinda kwa nguvu zenu zote nn bara mmepoteza labda jina lenu Tanganyika /Tanzania nyie ni mbwa mwitu mulovaa ngozi ya kondoo ,sasa kama mmepoteza sovereignity yenu VUNJA MUUNGANO mara moja hii ni ajenda ya babu yako Nyerere toka Mapinduzi mpk huo Muungano Refer Kitabu KWAHERI UKOLONI.Tafuta wajinga wenzako uwalishe pumba zako Wazanzibari wanajitambua muna chuki kwa sababu ya Raisi ni Mzanzibari tena Mwanamke.Paskali wadanganye Wabara wenzako.
 
 
 
 
Wewe ni Fitna na hasidi na roho mbaya plus ni mdini vile vile tena una chuki za ndani na Wazanzibari haya ndio maneno ya kusema adhibitiwe nani (
Sasa mtu huyu ndio yuko ndani ya nyumba, yuko jikoni kabisa, asipothibitiwa, amini usiamini, amini nawaambieni akija tokea kufika kule juu kileleni, very soon, tutagawana fito!.)

Paskali
Wewe ni mtu mbaya sana sana kwa Wazanzibari una chuki sana ,usilazimishe Muungano wkt watu hawautaki Wazanzibari hatutaki Muunganoooo wacha tugawane Fito .Tangayika mungeungana na Kenya au Uganda au japo Ruanda na nchi moja bara moja unaweza kwenda kwa miguu.Wacha ushenzi wako msimamo wa Wazanzibari hatutaki Muunganoo.Full Stop.
 
MPE walau heshima take ya Umakamu was Rais.

Ficha chuki zako binafsi. Hebu pitia tena hayo maandishi yako, yahakiki vizuri wewe in mwandishi Mkongwe uone ulivyotumia maneno ya kubeza.

Nadhani umenielewa
Mwandishi Mjinga kiasi hichi huu jamaa hatari sana dah dah hawa paskali ndio watu wabaya sana ktk Tangayika hii tena wako wengi wamejificha ficha inafaa wateketezwe mara moja huyu unamuwahi mwanzo kumshambulia kabla yake huyu Paskali chuki zake ni kubwa kuliko anachokiandika.Hasbiya Llah .
 
Tanganyika Waliungana na nani ? Ukipata jibu lake utajua nini Wazanzibari wanakidai one day yes.
 
Ndio Machogoo kwani hamujui jina lenu Vunjeni muungano kama kweli nyie Vidumee.
 
Sasa kama sio nchi Muliungana na kitu gani ?nyie ndio nchi Zanzibar sio nchi ww paskali unataka adabu ya kizanzibari ndio utakuwa sawa .
 
Usimsifie bure huyu hata ubolozi wa nyumba kumi hafai huyu hasidi kama unapemda muozeshe dada ako atakuwa karibu na weye.Zaibala
 
Kwenda wewe fala sana unalazimisha mafuta yetu yawe ya muungano mjinga sana tutamfua Hamza kwa mara ya pili .
 
Unaeleweka mkuu na mimi nataka kukuona nijue hivi kila neno Tanzania linapotajwa na viongozi wetu hususan Rais inamaanisha kwamba Tanganyika au Tanzania nashauri ingeundwa wizara ya kero za muungano itasaidia kutatuaa kero tu
 
Binafsi hua naamini tatizo lilianza kwenye hii hesabu "1+1=haraka haraka wakajibu 2"
Kama wangefikiri nje ya box na "1+1= ikawa 1 au ikawa 3" leo tungekua hatupotezi muda kujadili issue kama hizi.
 
Ndio Machogoo kwani hamujui jina lenu Vunjeni muungano kama kweli nyie Vidumee.
Mume anakupiga na anakutumia anavyotaka halafu unamsubiri akuache? Nyie si nchi kamili? Mnashindwa nini kuuvunja huo Muungano ili machogo yaache kuwanyanyasa? Unafik na uzandik unawatala watu kama wewe.

Amandla....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…