Kuhusu Prof. Mruma: Rais kutaja chanzo cha habari hadharani ni sahihi na salama kwa mtoa habari?

machasembo

Senior Member
Joined
Jul 31, 2017
Posts
124
Reaction score
234
Habari wanabodi,

Rais kutaja chanzo cha taarifa kiusalama sio hatari kwa mtoa taarifa?

Na rejea taarifa yake yakumtaja Prof. Mruma kama askari wa siri wakutoa taarifa tokea awali.

Naomba tujadili

Wakuu,

Binafsi sijasuport speech ya Rais JPM hasa pale alipokuwa akiweka bayana mbinu, mikakati na namna ambayo Wazalendo wetu wametumiwa kupata taarifa nyeti.

Hakukuwa na haja ya kusema kuwa Tz wanahizo information, hakukuwa na haja ya kusema yoyote hayo.

Leo hii kuna risk zana kwa assets zitakazo kuwa deployed kwenye sehemu kama hizo. Usalama wao utakuwa sio mzuri.

Rais ajaribu kuwa key points za kuzungumza na umma.
 
Ni jambo la kushangaza Rais kumtetea Prof. Mruma aliesaini mkataba bila ya kusoma, kwa kisingizio cha kupata siri za wazungu.

Kamati ya Mh. Zungu imemhoji Prof. Mruma na kujiridhisha pasipo shaka kuwa Prof. Mruma alisaini mkataba bila ya kuusoma kwa kisingizio kuwa walioko chini yake wameupitia tayari.

Hii ni tuhuma kubwa tena ni uhujumu uchumi. Natumaini Rais aliteleza akijaribu kumtetea Prof. Mruma kwenye hii kadhia iloyoletea taifa hasara ya mamilioni ya shilingi kwa ukwepaji kodi.
 
Habari wanabodi,

Rais kutaja chanzo cha taarifa kiusalama sio hatari kwa mtoa taarifa?
Na rejea taarifa yake yakumtaja Prof. Mruma kama askari wa siri wakutoa taarifa tokea awali.

Naomba tujadili

Sent using Jamii Forums mobile app
Ilikuwa ni lazima afanye vile ili kumsafisha hasa kwa kuzingatia ripoti ya jana ilivyomtaja. Japo kuna walakini, alitumwa lini na nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna haja ya kuwafahamu mashujaa wetu katika yale wanayoyafanikisha.

tuachane na mtindo wa kizamani wa kuficha majina ya watu wanaojitoa kulipigiania taifa kwa maslahi ya umma kwa kisingizio cha kutunza siri.

asante rais JPM kwa kumtaja prof. mruma kama mmoja ya wazalendo waliosaidia kutoa taarifa sahihi za madudu kwenye sekta ya madini.
 
Ni jambo la kushangaza Rais kumtetea Prof. Mruma aliesaini mkataba bila ya kusoma, kwa kisingizio cha kupata siri za wazungu.

Kamati ya Mh. Zungu imemhoji Prof. Mruma na kujiridhisha pasipo shaka kuwa Prof. Mruma alisaini mkataba bila ya kuusoma kwa kisingizio kuwa walioko chini yake wameupitia tayari.

Hii ni tuhuma kubwa tena ni uhujumu uchumi. Natumaini Rais aliteleza akijaribu kumtetea Prof. Mruma kwenye hii kadhia iloyoletea taifa hasara ya mamilioni ya shilingi kwa ukwepaji kodi.
Labda alishinikizwa na wakubwa mkuu.

Hii ya Prof. Mruma ni Jaza Ujazwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom