Kuhusu Prof. Mruma: Rais kutaja chanzo cha habari hadharani ni sahihi na salama kwa mtoa habari?

Kuhusu Prof. Mruma: Rais kutaja chanzo cha habari hadharani ni sahihi na salama kwa mtoa habari?

Hata kama ningelikua mm lazma ningelimtaja kila mtanzania ajue uzalendo uliotukuka wa Mruma. Safi sana tutazudi kuingiza tiss wetu kwa kila sekta ya majizi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mruma ni mtuhumiwa tu na ni muhujumu uchumi...kama wanateteana na mkulu bas ujue kuna shida sehemu...jnawezekana kulikuwa na mgawo baina ya hawa wawili....time will yell,
Tungoje Lissu apone aje atumwagie siri
 
HIVI WEWE UNAAMINI NI KWELI? ANGEMSAFISHAJE? HATA MWANAMKE AKIGUNDUA JAMBO KWAKO INABID UMDANGANYE
 
Ni jambo la kushangaza Rais kumtetea Prof. Mruma aliesaini mkataba bila ya kusoma, kwa kisingizio cha kupata siri za wazungu.

Kamati ya Mh. Zungu imemhoji Prof. Mruma na kujiridhisha pasipo shaka kuwa Prof. Mruma alisaini mkataba bila ya kuusoma kwa kisingizio kuwa walioko chini yake wameupitia tayari.

Hii ni tuhuma kubwa tena ni uhujumu uchumi. Natumaini Rais aliteleza akijaribu kumtetea Prof. Mruma kwenye hii kadhia iloyoletea taifa hasara ya mamilioni ya shilingi kwa ukwepaji kodi.
Sasa kama Prof alitumika ili kupata siri iweje asaini mkataba?? Yaani atumwe alafu yeye ndo aweke saini ya madudu?? Anayeweka saini si ndo anaruhusu yafanyike au ....................
 
Sasa kama Prof alitumika ili kupata siri iweje asaini mkataba?? Yaani atumwe alafu yeye ndo aweke saini ya madudu?? Anayeweka saini si ndo anaruhusu yafanyike au ....................

Hiyo mikataba alisaini kabla Magu ajawa Rais.
 
kuna haja ya kuwafahamu mashujaa wetu katika yale wanayoyafanikisha.

tuachane na mtindo wa kizamani wa kuficha majina ya watu wanaojitoa kulipigiania taifa kwa maslahi ya umma kwa kisingizio cha kutunza siri.

asante rais JPM kwa kumtaja prof. mruma kama mmoja ya wazalendo waliosaidia kutoa taarifa sahihi za madudu kwenye sekta ya madini.
kuna vitu mnatetea mpaka mnajichanganya.jana hiyo katajwa na Rais kwamba alitumwa kwaajili ya kazi hiyo ambayo ni uongo wa kiwango kilichopitiliza,hawezi kutumwa mtu akawachunguze watu halafu huyohuyo ndio awe anasaini mikataba iliyoitia hasara nchi matrilioni ya shilingi,hakuna undercover wa upuuzi huu duniani.wakati huohuo Rais ameshindwa kuwataja wazalendo ambao wanatuwakilisha kwenye majadiliano na barick akisema kuwataja ni kuwaexpose.
 
Habari wanabodi,

Rais kutaja chanzo cha taarifa kiusalama sio hatari kwa mtoa taarifa?

Na rejea taarifa yake yakumtaja Prof. Mruma kama askari wa siri wakutoa taarifa tokea awali.

Naomba tujadili

Hayupo kitengo hicho, asingeweza kumuweka hadharani kiasi hicho . Hata yeye kama raisi anakuwa hajui, nani yupo wapi.. Ule mfumo ni wa kinyoka, huweki kila kitu hadharani, hawafahamiani kila kitu na kila mtu. La sivyo , kama ingekuwa hivyo, undercover itakuwa imepotea na wasingeweza kufanya kazi. Ndivyo ilivyo duniani kote.
 
Mkuu sijakuelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom