Kuhusu Prof. Mruma: Rais kutaja chanzo cha habari hadharani ni sahihi na salama kwa mtoa habari?

Kuhusu Prof. Mruma: Rais kutaja chanzo cha habari hadharani ni sahihi na salama kwa mtoa habari?

Huu mwaka uishe Tu , maana umebeba machungu Mengi
 
Yupo sahihi ....nchi inaongozwa na Rais Mafufuli kwaiyo anajua anachokifanya.

Achen kuganga njaa.
 
Wakuu,


Binafsi sijasuport speech ya Rais JPM hasa pale alipokuwa akiweka bayana mbinu, mikakati na namna ambayo Wazalendo wetu wametumiwa kupata taarifa nyeti.

Hakukuwa na haja ya kusema kuwa Tz wanahizo information, hakukuwa na haja ya kusema yoyote hayo.

Leo hii kuna risk zana kwa assets zitakazo kuwa deployed kwenye sehemu kama hizo. Usalama wao utakuwa sio mzuri.

Rais ajaribu kuwa key points za kuzungumza na umma.
 
Rais angeunga mkono issue ya Mruma ingekua bonge la bao kwa Barrick na ripoti yake ingekosa uhalali! Think
 
Ni jambo la kushangaza Rais kumtetea Prof. Mruma aliesaini mkataba bila ya kusoma, kwa kisingizio cha kupata siri za wazungu.

Kamati ya Mh. Zungu imemhoji Prof. Mruma na kujiridhisha pasipo shaka kuwa Prof. Mruma alisaini mkataba bila ya kuusoma kwa kisingizio kuwa walioko chini yake wameupitia tayari.

Hii ni tuhuma kubwa tena ni uhujumu uchumi. Natumaini Rais aliteleza akijaribu kumtetea Prof. Mruma kwenye hii kadhia iloyoletea taifa hasara ya mamilioni ya shilingi kwa ukwepaji kodi.
Wakati mwingine unaweza kuungana na maadui kuipiga nchi yako lakini ukiwa na moja tu moyoni..kuzijua mbinu zote za maadui.
 
Mkuu
Wakuu,


Binafsi sijasuport speech ya Rais JPM hasa pale alipokuwa akiweka bayana mbinu, mikakati na namna ambayo Wazalendo wetu wametumiwa kupata taarifa nyeti.

Hakukuwa na haja ya kusema kuwa Tz wanahizo information, hakukuwa na haja ya kusema yoyote hayo.

Leo hii kuna risk zana kwa assets zitakazo kuwa deployed kwenye sehemu kama hizo. Usalama wao utakuwa sio mzuri.

Rais ajaribu kuwa key points za kuzungumza na umma.
Unafirikiri zana zako kama unazificha au huoneshi ufanyaji wake kazi utawezaje kuheshimika,ndio maana Marekani hua anaweka hadharani zana zake za kivita kwa kiwango flani ili kujenga heshima,so Mr.president was right to some extent.
 
Just thinking aloud...hivi prof mruma amesign huo mkataba blindly lini na mwaka gani? Je mkulu tayari alishakuwa rais na kumteua kuwa a mole? Kama siyo basi hiyo operation ilianzishwa na nani aliyemteua mruma kwenda kufanya hiyo field work for the nation interest?
Je ni Jk Au MKapa? Kama ni hao watangulizi mbona tunaamini wao ndio watu wa mwisho kabisa katika kulinda maslahi yetu....kuna dots hazi connect kichwani kwangu...it is either presdaa anamsafisha prof kwa scandal hii or anatudanganya wafuasi wake tusife moyo maana kama itadhibitika prof naye ni mchafu basi hata report ya makinikia nayo ipo mashakani.
SUBIRA YAVUTA KHERI...NAENDELEA KUSUBIRI.

kwa mujibu wa vipimo vya mkemia mkuu
Kumbuka wakati Rais anateua kama za makinikia alikuwa tayari na habari za kutosha kuhusiana hujuma zinazofanywa na makampuni. Na ushahidi alikuwa nao tayari. Wakati Magufuli anazuia mchanga Wa makinikia tayari alikuwa na data zote mpaka za mbinu za udanganyifu. Kuna watu walishahack mpaka mazungumzo na communication zote.
Kwa hiyo Kamati zilipoteuliwa zilipaswa kutoa ukweli tu kila kitu kilikuwa kinajulikana Rais. Hata kama Prof Mruma angelikuwa ni mhusika kwenye makinikia hakuwa na namna ya kuuficha ukweli. Kwa mantiki simaanishi kwamba Prof Mruma ni mhusika hujuma za madini.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu

Unafirikiri zana zako kama unazificha au huoneshi ufanyaji wake kazi utawezaje kuheshimika,ndio maana Marekani hua anaweka hadharani zana zake za kivita kwa kiwango flani ili kujenga heshima,so Mr.president was right to some extent.
Mkuu unazungumzia zana zipi sasa?

Mimi nimebase kwenye topic ambayo inazungumzia JPM kutoa intelligence info na zio kuonyesha zana za kivita unazozungumzia wewe..

Get back to the point brooh.
 
kuna haja ya kuwafahamu mashujaa wetu katika yale wanayoyafanikisha.

tuachane na mtindo wa kizamani wa kuficha majina ya watu wanaojitoa kulipigiania taifa kwa maslahi ya umma kwa kisingizio cha kutunza siri.

asante rais JPM kwa kumtaja prof. mruma kama mmoja ya wazalendo waliosaidia kutoa taarifa sahihi za madudu kwenye sekta ya madini.
Next ni Mimi mzee time will tell.



Doubt is a liar
 
Back
Top Bottom