Kuhusu Prof. Mruma: Rais kutaja chanzo cha habari hadharani ni sahihi na salama kwa mtoa habari?

Kuhusu Prof. Mruma: Rais kutaja chanzo cha habari hadharani ni sahihi na salama kwa mtoa habari?

Kama asinge sign wangeshituka kabla ya lengo kukamiliKA
 
Iyo ni danganya toto. Acha uzoba wewe. Amkaa

[emoji124]‍♂️naenda zimbobo.
 
Kwanini nyie ni wagumu hivyo wa kuelewa .?
Hii maana yake Jamaa ni Usalama wa Taifa hivyo hata huko kwenye madini alikuwepo kimkakati..
 
Mkuu unajua matumizi ya flash huwa no kuhamisha data kibongo kibongo in mziki.....maana Mimi nipo kwenye tasisi kubwa tu utakuta boss mkubwa anatumia kuwekea muvi na miziki document ni Mara chache sana...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Tehe, hata mimi navionaga tuu kwenye redio

Nikajua anataka kupata nyimboo nini??

Pengine nikawa lza anataka akimaliza wamlushie zile picha zoooote awe anaziangalizia kwenye compyuter
 
Ilikuwa ni lazima afanye vile ili kumsafisha hasa kwa kuzingatia ripoti ya jana ilivyomtaja. Japo kuna walakini, alitumwa lini na nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna haja ya kujua ni lini, ila wote waliofanyakazi na Prof sasa wajiandae wasisubiri maokeo ya tume hata kama hawajatajwa na tume. Yaani kama unajijua ulifanya madudu ukiwa na huyu prof fungasha mapema.
 
Wakuu,


Binafsi sijasuport speech ya Rais JPM hasa pale alipokuwa akiweka bayana mbinu, mikakati na namna ambayo Wazalendo wetu wametumiwa kupata taarifa nyeti.

Hakukuwa na haja ya kusema kuwa Tz wanahizo information, hakukuwa na haja ya kusema yoyote hayo.

Leo hii kuna risk zana kwa assets zitakazo kuwa deployed kwenye sehemu kama hizo. Usalama wao utakuwa sio mzuri.

Rais ajaribu kuwa key points za kuzungumza na umma.
Mkuu hata mm naungana na wewe kabisa kabisa!,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kumtofautisha na Maadui ilibidi explanation , kama ni risk kwake hilo linatambulika na ndio maana kapewa ulinzi special!!!!
 
Ni jambo la kushangaza Rais kumtetea Prof. Mruma aliesaini mkataba bila ya kusoma, kwa kisingizio cha kupata siri za wazungu.

Kamati ya Mh. Zungu imemhoji Prof. Mruma na kujiridhisha pasipo shaka kuwa Prof. Mruma alisaini mkataba bila ya kuusoma kwa kisingizio kuwa walioko chini yake wameupitia tayari.

Hii ni tuhuma kubwa tena ni uhujumu uchumi. Natumaini Rais aliteleza akijaribu kumtetea Prof. Mruma kwenye hii kadhia iloyoletea taifa hasara ya mamilioni ya shilingi kwa ukwepaji kodi.
Angefanyaje sasa unafikiri! Angempiga chini basi zile kiki za makinikia zote zingekuwa si kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wanabodi,

Rais kutaja chanzo cha taarifa kiusalama sio hatari kwa mtoa taarifa?

Na rejea taarifa yake yakumtaja Prof. Mruma kama askari wa siri wakutoa taarifa tokea awali.

Naomba tujadili
Hata wanausalama wenyewe walishikwa na bumbuazi. Nadhani lengo lilikuwa kulitia hofu taifa kwamba hata wafagiaji na wafanya usafi barabarani na maofisini, madereva, vibarua, walimu, wanafunzi, wahudumu wa afya, madaktari, wachonga vinyago, bar maides, chagudoa, wapika vitumbua, wawindaji, wafanyabiashara, wanajeshi, polisi na sehemu zote za kijamii kuna watoa taarifa wa serikali.
 
Back
Top Bottom