Kuhusu Prof. Mruma: Rais kutaja chanzo cha habari hadharani ni sahihi na salama kwa mtoa habari?

Hii wizara ya madini itakua imewapa watendaji utajiri wa kutisha sana.
Niliwahi kumuona Simbachawene akiwa na V8 mpya kabisa baada ya kumaliza uwaziri wake wa madini
 
Just thinking aloud...hivi prof mruma amesign huo mkataba blindly lini na mwaka gani? Je mkulu tayari alishakuwa rais na kumteua kuwa a mole? Kama siyo basi hiyo operation ilianzishwa na nani aliyemteua mruma kwenda kufanya hiyo field work for the nation interest?
Je ni Jk Au MKapa? Kama ni hao watangulizi mbona tunaamini wao ndio watu wa mwisho kabisa katika kulinda maslahi yetu....kuna dots hazi connect kichwani kwangu...it is either presdaa anamsafisha prof kwa scandal hii or anatudanganya wafuasi wake tusife moyo maana kama itadhibitika prof naye ni mchafu basi hata report ya makinikia nayo ipo mashakani.
SUBIRA YAVUTA KHERI...NAENDELEA KUSUBIRI.

kwa mujibu wa vipimo vya mkemia mkuu
 
Ni jambo la kushangaza Rais kumtetea Prof. Mruma aliesaini mkataba bila ya kusoma, kwa kisingizio cha kupata siri za wazungu.

Kamati ya Mh. Zungu imemhoji Prof. Mruma na kujiridhisha pasipo shaka kuwa Prof. Mruma alisaini mkataba bila ya kuusoma kwa kisingizio kuwa walioko chini yake wameupitia tayari.

Hii ni tuhuma kubwa tena ni uhujumu uchumi. Natumaini Rais aliteleza akijaribu kumtetea Prof. Mruma kwenye hii kadhia iloyoletea taifa hasara ya mamilioni ya shilingi kwa ukwepaji kodi.
Wewe kwa ujinga wako ndio hauwelewi. Ila kwa ss majasusi tunaelewa..
 
Just thinking aloud...hivi prof mruma amesign huo mkataba blindly lini na mwaka gani? Je mkulu tayari alishakuwa rais na kumteua kuwa a mole? Kama siyo basi hiyo operation ilianzishwa na nani aliyemteua mruma kwenda kufanya hiyo field work for the nation interest?
Je ni Jk Au MKapa? Kama ni hao watangulizi mbona tunaamini wao ndio watu wa mwisho kabisa katika kulinda maslahi yetu....kuna dots hazi connect kichwani kwangu...it is either presdaa anamsafisha prof kwa scandal hii or anatudanganya wafuasi wake tusife moyo maana kama itadhibitika prof naye ni mchafu basi hata report ya makinikia nayo ipo mashakani.
SUBIRA YAVUTA KHERI...NAENDELEA KUSUBIRI.

kwa mujibu wa vipimo vya mkemia mkuu
hakuna atakaekujibu hili watakwambia hizi ni taarifa za siri. siri ambazo magufuli kaamua kuziweka hadharani.

bunge la tanzania ni "rubber stamp" ya serikali ya magufuli
 
Habari wanabodi,

Rais kutaja chanzo cha taarifa kiusalama sio hatari kwa mtoa taarifa?
Na rejea taarifa yake yakumtaja Prof. Mruma kama askari wa siri wakutoa taarifa tokea awali.

Naomba tujadili

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwangu mie ni udhaifu!!Tunafahamu ya kuwa ili nchi yetu iwe salama ni lazima taarifa zikusanywe na wanaokusanya taarifa hizi wazichambua na kuwakilisha kunako husika.
Tliliona hili alivyosema walinasa mawasilainao ya baadhi ya watu (Si la ajabu) lakini palikuwa na ulazima wa kutaja?
Tumepata la kujadili wiki nzima,Tanzania ni njema!!!
 
Hii ni hatari kulingana na hali ya kiusalama kwa mzalendo mruma. Ila ngoja tuone tunakoelekea
 
Just thinking aloud...hivi prof mruma amesign huo mkataba blindly lini na mwaka gani? Je mkulu tayari alishakuwa rais na kumteua kuwa a mole? Kama siyo basi hiyo operation ilianzishwa na nani aliyemteua mruma kwenda kufanya hiyo field work for the nation interest?
Je ni Jk Au MKapa? Kama ni hao watangulizi mbona tunaamini wao ndio watu wa mwisho kabisa katika kulinda maslahi yetu....kuna dots hazi connect kichwani kwangu...it is either presdaa anamsafisha prof kwa scandal hii or anatudanganya wafuasi wake tusife moyo maana kama itadhibitika prof naye ni mchafu basi hata report ya makinikia nayo ipo mashakani.
SUBIRA YAVUTA KHERI...NAENDELEA KUSUBIRI.

kwa mujibu wa vipimo vya mkemia mkuu

Kiufupi anamsafisha hili asiumbuke kwa maneno aliyoyasema uko nyuma.
 
Akili ipi hiyo ya Ufipa pasipokua na choo hata cha shimo? Akili ipi hiyo?
 
...it is either presdaa anamsafisha prof kwa scandal hii or anatudanganya wafuasi wake tusife moyo maana kama itadhibitika prof naye ni mchafu basi hata report ya makinikia nayo ipo mashakani.
The later is likely to be true
 
Hii wizara ya madini itakua imewapa watendaji utajiri wa kutisha sana.
Niliwahi kumuona Simbachawene akiwa na V8 mpya kabisa baada ya kumaliza uwaziri wake wa madini[

Toka enzi za msabaha hakuna waziri wa Nishati aliye maliza salama
 
Ilikua lazima kumtaja kumsafisha na tuhuma na hapo ndo utagundua usanii wa mzalendo
 
Back
Top Bottom