Kuibuka sasa kwa kashfa ya LUGUMI ni mpango wa Mungu Watanzania wamjue waliomuamini na kumsifia

Mungu ana makusudio kwa watu wake waliokuwa wameanza kulishwa matango pori kupitia vyombo vya habari kuwa amepatika malaika tena mtenda haki asiyestahili hata kukoselewa na ukimkusoa wewe si mzalendo bali una wivu tu na chuki dhidi yake.

Tumeaminishwa haangali sura,hana chama,anasimamia haki,hamuogopi mtu, n.k na zaidi tumuombe kwa mungu.

Hata hivyo,limeibuka jambo ambalo litawasaidi wengi kama si wote kujua ukweli halisi kuhusu mtu huyu na kama kweli anafanya mambo yanayostahili yeye kuombewa.

Mungu aliona asisubiri sana maana watu wake wanazidi kupotea.

NB: Kupitia mungu huyo huyo,vice versa is also true.

Tusubiri.
Sasa unashangilia nini wakati ni moja tu ya kashfa nyingi kama ile ya kina sioi. siusubiri kama kuna ufisadi utaona kama haitachukuliwa hatua ndio uhamaki. Ukawa mna shida kubwa kwa sababu mngeshika nyie dola ingekua sawa sawa na kuwapa nyani shamba la mahindi.
 
Kamati ya Bunge imetoa siku 3, hiyo ni kazi ya Mhimili mwingine (Bunge), kwahiyo huenda mtumbuaji amekwamia hapo ..!!

Tusubiri, ingawa naona kuna dalili za mtumbuaji kujitumbua mwenyewe kupitia kwa Marafiki zake wa karibu..!!

Patamu sana hapo, sisi yetu macho/masikio.
 
Mungu ana makusudio kwa watu wake waliokuwa wameanza kulishwa matango pori kupitia vyombo vya habari kuwa amepatika malaika tena mtenda haki asiyestahili hata kukoselewa na ukimkusoa wewe si mzalendo bali una wivu tu na chuki dhidi yake.

Tumeaminishwa haangali sura,hana chama,anasimamia haki,hamuogopi mtu, n.k na zaidi tumuombe kwa mungu.

Hata hivyo,limeibuka jambo ambalo litawasaidi wengi kama si wote kujua ukweli halisi kuhusu mtu huyu na kama kweli anafanya mambo yanayostahili yeye kuombewa.

Mungu aliona asisubiri sana maana watu wake wanazidi kupotea.

NB: Kupitia mungu huyo huyo,vice versa is also true.

Tusubiri.
Ulokole?
 
PAC haina Mwenyekiti OTE="Ruttashobolwa, post: 15867151, member: 71917"]Hivi wakisimamishwa bila uchunguzi wewe si utakuja hapa kuanza kusema kuwa wanaonewa? Hivi mmejisahau huwa mnasema serikali ina kurupuka? Leo hii mnataka watu wasimanishwe kazi hata niki kuuliza nani asimamishwe na kwasababu gani hujui!

Kwanini mnakuwa na vichwa vya panzi? Hivi ulimsikia mwenye kiti wa PAC jana?[/QUOTE]
PAC
 
Fool yourself as you are foolish already. Wale wa makontena bandarini waliulizwa right on the spot, majibu yao yakaleta utata, wakawekwa kizuizini na kupisha uchunguzi.

Hapa kuna 5b, training ya 5 personnel wewe mjuzi wa mambo unaniambia hajulikani mhusika nani! Kwa namna nyingine unataka kuniambia signatory wa taasisi zetu anapatikana kwa mtindo wa ana ana ana do, si ndio?

Polisi wao wenyewe wanavyowaweka watu kuisaidia polisi huwa wanakuwa tayari wanajua mhusika ni nani?

Shida yangu hapa naongea na mtu mwenye akili nyingi ilhali mm kichwani sina kitu. Iko sahihi bwana mkubwa
 
Tulieni mpeni muda ameshasema asitwe rais kama atashidwa kupambana na ufisadi na juu ni mitihani kwake
 
Kwa tuhuma hizi nzito nilitarajia kusikia watu fulani wamesimamishwa au teuzi zao zimetenguliwa ila cha ajabu bado wako ofisini alafu tunaambiwa tumempata Sokoine!!!
We kibaka subiri PAC ifanye kazi yake afu ikashatoa recommendations ndo uanze kubwabwaja
 
Lugumi and HSC are untouchables. Tutapiga vigelegele na chereko kwa mengine, sio haya.

Inasemekana Chama cha Mapinduzi kimejengewa ukumbi mpya dodoma kwa mkono wa HSC, ukumbi uliompitisha mgombea urais wa ccm.

Inasemekana Ofisi ndogo ya Lumumba inafanyiwa ukarabati na mtu huyo huyo, Jengo ambalo litatumiwa na mwenyekiti ajae wa ccm taifa.

Inasemekana Mjenzi huyu ameingizia TRA hasara za matrilioni ya shilingi. Inasemekana pia ni beneficiary wa mradi wa Kinyerezi II, mradi ambao ulitumika kama jukwaa la mbwembwe na vijembe vya kila aina kwa upinzani.

Kigogo pale Lumumba inasemekana hivi sasa anajengewa hekalu na Lugumi pale Masaki.

Kazi ya kamati ya PAC inaondolewa huko na kuhamishiwa kamati ya ulinzi na usalama. Kazi za kamati hii huwa hazihusishi media/public Bali hufanywa kwa siri kwa "maslahi ya taifa.

Mtuhumiwa yupo mafichoni nje ya nchi anasikilizia. Maji yakizidi kimo, italazimisha ahusishwe na tuhuma ambazo akina Ridhiwani na mafisadi wenzake hawataonekana hata kwa darubini ya NASA.

Hiyo ndio Tanzania mpya chini ya awamu ya tano (CCM).
 
Watu wengine wanakesha kumuombea JPM mabaya...... Yeye pia ni binadamu ana mapungufu yake.... lakini suala la kutumbua majipu acha aendelee tuuu. Maana nchi ilifikia pabaya ilikuwa zaidi ya shamba la bibi.

Kuhusu naye kuwa na kashfa.... mimi kwangu sishangai.... kwa maana kwa awamu iliyopita ilikuwa imechafuka hivi kwamba kwa yeyote aliyekuwa anahudumu hata kama ni msafi namna gani hataweza nusurika, japo harufu ya uchafu utaipata.

Mimi nimekulia kijijini, mara nyingi tulikuwa tunapakia mbolea ya samadi kwenye trekta toka nyumbani kwenda shambani umbali wa kati ya kilometa 4 mpaka 8, siku zote trekta hilo lilikuwa chafu sana, hivi kwamba mtu yeyote atakayepanda trekta hilo lazima achafuke tu, hata akiwa amevaa suti au suruali ya Michael Jackson au Zico (Vikali vya miaka hiyo kwa wale waliokuwa wakijitambua miaka ya themanini na mwanzoni mwa tisini) lazima uchafuke tu.

Ndivyo ilivyokuwa serikali iliyopita, hata kama hupendi kuchafuka, utachafuka tu. Kuna watu wengi ambao hawakuwa wakipenda ufisadi na rushwa bali walipenda unyoofu lakini walilazimishwa moja kwa moja au na mazingira kuiba mali ya umma.

Hivyo maoni yangu mimi binafsi awe JPM alishiriki au hakushiriki kuiba mali ya umma, mimi binafsi namsamehe. Na sababu kubwa ya kumsamehe ni kwamba ameirudishia nchi heshima kwa kutofumbia macho vitu vingi tu vya kijinga ambavyo vilikuwa ni vya hovyo na ambavyo vilikuwa vikihujumu mali ya umma. Nina uhakika hata wewe uliyeleta hii mada unaona utofauti uliopo kati ya awamu hizi ambazo nchi yetu ilipitia.

Kwa wananchi wote wapenda maendeleo na wanaoitakia mema nchi yetu ya Tanzania, wanakubali na wanafurahia jinsi JPM anavyoshughuluka na matatizo ya nchi hii.

Nomba kuwasilisha.

eli.
Aisee wewe ndio umetowa mpya yaani unataka yeye asiwajibishwe kwa makosa yale yale aliyoyafanya basi akili na kuomba asamehewe wananchi watamuelewa lakini unajifanya mtakatifu wakati wewe mwenyewe mchafu hata bandari ya bagamoyo alisaini yeye mkataba kwa niaba ya serikali mbona amenyamaza huyo ni wale wale tuu
 
Mkataba 34 bilioni vifaa 108 ina maana kifaa kimoja ni tsh 314.81 sidhani kama kuna ukweli hapa lazima hicho kifaa kichunguzwe katka soko la kimataifa kinafikia bei hiyo hapo ni kuanzia tu halafu tuangalie ni kampuni ngapi zilishindania hiyo tenda tukimaliza tuangalie je tangazo la tenda lilitoka na mwisho je Ligumi imejisajili GPSA hayo ndio maswali muhimu ya kujiuliza.
 
Lugumi and HSC are untouchables. Tutapiga vigelegele na chereko kwa mengine, sio haya.

Inasemekana Chama cha Mapinduzi kimejengewa ukumbi mpya dodoma kwa mkono wa HSC, ukumbi uliompitisha mgombea urais wa ccm.

Inasemekana Ofisi ndogo ya Lumumba inafanyiwa ukarabati na mtu huyo huyo, Jengo ambalo litatumiwa na mwenyekiti ajae wa ccm taifa.

Inasemekana Mjenzi huyu ameingizia TRA hasara za matrilioni ya shilingi. Inasemekana pia ni beneficiary wa mradi wa Kinyerezi II, mradi ambao ulitumika kama jukwaa la mbwembwe na vijembe vya kila aina kwa upinzani.

Kigogo pale Lumumba inasemekana hivi sasa anajengewa hekalu na Lugumi pale Masaki.

Kazi ya kamati ya PAC inaondolewa huko na kuhamishiwa kamati ya ulinzi na usalama. Kazi za kamati hii huwa hazihusishi media/public Bali hufanywa kwa siri kwa "maslahi ya taifa.

Mtuhumiwa yupo mafichoni nje ya nchi anasikilizia. Maji yakizidi kimo, italazimisha ahusishwe na tuhuma ambazo akina Ridhiwani na mafisadi wenzake hawataonekana hata kwa darubini ya NASA.

Hiyo ndio Tanzania mpya chini ya awamu ya tano (CCM).
Ndio maana hatutaki kusikia makilikili ya Ikulu wakati mengine yamewekwa mbavuni mwa watu hao hao walioko ikulu ukumbuke na mmoja wa wana HSC ni balozi China
 
Mkataba 34 bilioni vifaa 108 ina maana kifaa kimoja ni tsh 314.81 sidhani kama kuna ukweli hapa lazima hicho kifaa kichunguzwe katka soko la kimataifa kinafikia bei hiyo hapo ni kuanzia tu halafu tuangalie ni kampuni ngapi zilishindania hiyo tenda tukimaliza tuangalie je tangazo la tenda lilitoka na mwisho je Ligumi imejisajili GPSA hayo ndio maswali muhimu ya kujiuliza.
Magufuli hawezi chunguza huko kuna moto jipu butu
 
Lugumi and HSC are untouchables. Tutapiga vigelegele na chereko kwa mengine, sio haya.

Inasemekana Chama cha Mapinduzi kimejengewa ukumbi mpya dodoma kwa mkono wa HSC, ukumbi uliompitisha mgombea urais wa ccm.

Inasemekana Ofisi ndogo ya Lumumba inafanyiwa ukarabati na mtu huyo huyo, Jengo ambalo litatumiwa na mwenyekiti ajae wa ccm taifa.

Inasemekana Mjenzi huyu ameingizia TRA hasara za matrilioni ya shilingi. Inasemekana pia ni beneficiary wa mradi wa Kinyerezi II, mradi ambao ulitumika kama jukwaa la mbwembwe na vijembe vya kila aina kwa upinzani.

Kigogo pale Lumumba inasemekana hivi sasa anajengewa hekalu na Lugumi pale Masaki.

Kazi ya kamati ya PAC inaondolewa huko na kuhamishiwa kamati ya ulinzi na usalama. Kazi za kamati hii huwa hazihusishi media/public Bali hufanywa kwa siri kwa "maslahi ya taifa.

Mtuhumiwa yupo mafichoni nje ya nchi anasikilizia. Maji yakizidi kimo, italazimisha ahusishwe na tuhuma ambazo akina Ridhiwani na mafisadi wenzake hawataonekana hata kwa darubini ya NASA.

Hiyo ndio Tanzania mpya chini ya awamu ya tano (CCM).

CC: Mzee Mwanakijiji
 
Hii kazi wameianza bunge. rais inabidi asuburi wamalizie. Hii ni mihimili tofauti.
 
Mungu ana makusudio kwa watu wake waliokuwa wameanza kulishwa matango pori kupitia vyombo vya habari kuwa amepatika malaika tena mtenda haki asiyestahili hata kukoselewa na ukimkusoa wewe si mzalendo bali una wivu tu na chuki dhidi yake.

Tumeaminishwa haangali sura,hana chama,anasimamia haki,hamuogopi mtu, n.k na zaidi tumuombe kwa mungu.

Hata hivyo,limeibuka jambo ambalo litawasaidi wengi kama si wote kujua ukweli halisi kuhusu mtu huyu na kama kweli anafanya mambo yanayostahili yeye kuombewa.

Mungu aliona asisubiri sana maana watu wake wanazidi kupotea.

NB: Kupitia mungu huyo huyo,vice versa is also true.

Tusubiri.
Salary Slip katika ubora wake.
 
Www.ufipa-vijana.com
 
Watoto yatima hawakupenda kuwa hivyooooo..... kabla hujafa hujaumbika ..
Fikiria kwanza kabla ya kutumia mifano yako..
Huyo sijui ana guarantee gani kama wanawe hawawezi kuwa mayatima mpaka analeta mifano iliyojaa makufuru!
 
Back
Top Bottom