Kuichukia Taifa Stars kwakuwa tu unamchukia Rais Samia na CCM si tu ni Ushamba bali pia ni Upumbavu uliovuka mipaka

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
63,685
Reaction score
128,178
Anayecheza pale ni Rais Samia au Chama Cha Mapinduzi? Hivi ni kwanini kila Kukicha tu Akili za baadhi ya Watanzania zinazidi tu kwenda mrama na kutia Aibu? GENTAMYCINE naweza kuwa kweli sipendezwi na baadhi ya mambo afanyayo Rais Samia na Chama cha CCM lakini siwezi kuacha Kuishabikia Timu yangu ya Taifa (Taifa Stars) kwani hata ikifungwa anayechekwa si Rais Samia au CCM pekee bali ni Watanzania wote.

Tubadilikeni tafadhali kwani tunatia aibu. Hili jambo limeniumiza mno tu na natamani wanaofanya hivi Wakamatwe pia.
 
Tubadilikeni tafadhali kwani tunatia aibu. Hili jambo limeniumiza mno na natamani wanaofanya hivi Wakamatwe pia.
Wakifungwa ni taifa stars wakishinda ni vijana wa mama
 
Anayecheza pale ni Rais Samia au Chama Cha Mapinduzi? Hivi ni kwanini kila Kukicha tu Akili za baadhi ya Watanzania zinazidi tu kwenda mrama na kutia Aibu? GENTAMYCINE naweza kuwa kweli sipendezwi na baadhi ya mambo afanyayo Rais Samia na Chama cha CCM lakini siwezi kuacha Kuishabikia Timu yangu ya Taifa (Taifa Stars) kwani hata ikifungwa anayechekwa si Rais Samia au CCM pekee bali ni Watanzania wote.

Tubadilikeni tafadhali kwani tunatia aibu. Hili jambo limeniumiza mno tu na natamani wanaofanya hivi Wakamatwe pia.
Kweli kabisa , wangeanza kuchukia na barabara na fly over za Dar maana miradi yote sifa zinaenda kwa Mama ila hatususii wala kuchukia.
 
Anayecheza pale ni Rais Samia au Chama Cha Mapinduzi? Hivi ni kwanini kila Kukicha tu Akili za baadhi ya Watanzania zinazidi tu kwenda mrama na kutia Aibu? GENTAMYCINE naweza kuwa kweli sipendezwi na baadhi ya mambo afanyayo Rais Samia na Chama cha CCM lakini siwezi kuacha Kuishabikia Timu yangu ya Taifa (Taifa Stars) kwani hata ikifungwa anayechekwa si Rais Samia au CCM pekee bali ni Watanzania wote.

Tubadilikeni tafadhali kwani tunatia aibu. Hili jambo limeniumiza mno tu na natamani wanaofanya hivi
Tunaenda uwanjani kuangalia mpira sio mabango ya samia watoe hayo mabango ya siasa tutarudi uwanjani kama kawaida
 
Anayecheza pale ni Rais Samia au Chama Cha Mapinduzi? Hivi ni kwanini kila Kukicha tu Akili za baadhi ya Watanzania zinazidi tu kwenda mrama na kutia Aibu? GENTAMYCINE naweza kuwa kweli sipendezwi na baadhi ya mambo afanyayo Rais Samia na Chama cha CCM lakini siwezi kuacha Kuishabikia Timu yangu ya Taifa (Taifa Stars) kwani hata ikifungwa anayechekwa si Rais Samia au CCM pekee bali ni Watanzania wote.

Tubadilikeni tafadhali kwani tunatia aibu. Hili jambo limeniumiza mno tu na natamani wanaofanya hivi Wakamatwe pia.
Hakuna anaeichukia taifa sisters, watu wanaonesha kuwa hatuko pamoja kwenye msingi ya taifa hivyo hatuwezi kuwa kwenye mambo ya burudani pia! Samia sio chaguo letu, aache kulazimisha kuwa kiongozi wetu!
 
Back
Top Bottom