Kuichukia Taifa Stars kwakuwa tu unamchukia Rais Samia na CCM si tu ni Ushamba bali pia ni Upumbavu uliovuka mipaka

Shida ya threads wa Popoma haziwezi kufika comments 3 kabla lugha chafu hazijaanza. 🙆
 
Anayecheza pale ni Rais Samia au Chama Cha Mapinduzi? Hivi ni kwanini kila Kukicha tu Akili za baadhi ya Watanzania zinazidi tu kwenda mrama na kutia Aibu? GENTAMYCINE naweza kuwa kweli sipendezwi na baadhi ya mambo afanyayo Rais Samia na Chama cha CCM lakini siwezi kuacha Kuishabikia Timu yangu ya Taifa (Taifa Stars) kwani hata ikifungwa anayechekwa si Rais Samia au CCM pekee bali ni Watanzania wote.

Tubadilikeni tafadhali kwani tunatia aibu. Hili jambo limeniumiza mno tu na natamani wanaofanya hivi Wakamatwe pia.
😂😂😂😂😂😂😂😂 sasa unalazimisha watu wapendi kitu hawakipendi
 
Kama ligi TU ya NBC siasa kibao Hadi derby zinaahirishwa,na hao ndio wachezaji wenye turufu za kuunda kikosi Cha taifa!

Angalia mlinganyo huu

CCM=TFF=NBC premear league=Goli la mama=Taifa Starz=Yanga Africa iliyochangia mapesa kibao=Octoba tuna tick!

Ukijaribu kuangalia mlinganyo huo utagundua wale wanaoamini no reform no election lazima watabisha tu kivyovyote vile!!

Kuna vitu kama taifa tumeharibu sana!hatuna utaifa Bali uchama,itikadi,magenge,timu yaani tupo vipande vipande kama barafu!
 
Anayecheza pale ni Rais Samia au Chama Cha Mapinduzi? Hivi ni kwanini kila Kukicha tu Akili za baadhi ya Watanzania zinazidi tu kwenda mrama na kutia Aibu? GENTAMYCINE naweza kuwa kweli sipendezwi na baadhi ya mambo afanyayo Rais Samia na Chama cha CCM lakini siwezi kuacha Kuishabikia Timu yangu ya Taifa (Taifa Stars) kwani hata ikifungwa anayechekwa si Rais Samia au CCM pekee bali ni Watanzania wote.

Tubadilikeni tafadhali kwani tunatia aibu. Hili jambo limeniumiza mno tu na natamani wanaofanya hivi Wakamatwe pia.
Wewe kila aliye kinyume chako ni mshamba na mpumbavu! Hapo wenye akili tunaona nani ni mpumbavu zaidi
 
Utakua na msongo wa mawazo
VIP nchi ya Watu anaweza kuwa na Msongo wa Mawazo? Yaani kukupa Dozi yako iliyokuuma ndiyo Mimi kuwa na Msongo wa Mawazo? Hopeless.....!!
 
Naipenda Taifa stars tokea enzi za kina Hamis Thobias 'Gagalino',Selestine Sikinde Mbunga,Hussein Aman Marsha,Peter Tino na bado nipo na hawa vijana wetu wacha wapambane tu..
 
Ukiachana na hao wanasiasa pia kuna wanazi wa simba na yanga, hawa nao kuna baadhi wanaichukia taifa stars ati kwakua kocha kachukua wachezaji wengi wa timu fulani.

Nchi hii watu wanakosa vipaumbele vya kupambana navyo.
 
Anayecheza pale ni Rais Samia au Chama Cha Mapinduzi? Hivi ni kwanini kila Kukicha tu Akili za baadhi ya Watanzania zinazidi tu kwenda mrama na kutia Aibu? GENTAMYCINE naweza kuwa kweli sipendezwi na baadhi ya mambo afanyayo Rais Samia na Chama cha CCM lakini siwezi kuacha Kuishabikia Timu yangu ya Taifa (Taifa Stars) kwani hata ikifungwa anayechekwa si Rais Samia au CCM pekee bali ni Watanzania wote.

Tubadilikeni tafadhali kwani tunatia aibu. Hili jambo limeniumiza mno tu na natamani wanaofanya hivi Wakamatwe pia.
Nakuunga mkono 100%
 
Hata wakiichukia kwani wataizuia kufika Faini?

Mafanikioa iliyopata Stars ndio mafanikio hayo hayo anayopata SSH Toka haters wake waanze kumchukia.

Kinachofurahisha ni kwamba haters wanaumia SSH anasonga mbele 😁😁
 
Mbona Wao Wanamchukia Lissu,
Na Wameifungia Na Chadema Au ?
Ikipata Mafanikio Stars Anaepewa
Sifa Kwa Nchi Hii Ni Mama Tu,ko Tumewaachia Timu Yenu.
 
Hogwash and Nonsensical.
 
Back
Top Bottom