Kuichukia Taifa Stars kwakuwa tu unamchukia Rais Samia na CCM si tu ni Ushamba bali pia ni Upumbavu uliovuka mipaka

Ona unavyothibitisha ulivyo mpumb.avu!! Uliposema ni upumbav.u..., nilidhami huo upumbavu unafanywa na watu wengine, kumbe mpu.mbavu mkubwa ni wewe mwenyewe!! Eti wasipenda kuishangilia Taifa Stars , WAKAMATWE!! Hakika wewe kubwa la wapu.mbavu.
kenge kabisa huyu,...toka lini watu wanaichukia timu yao,...watu hawataki shobo za mama yao kwenye mpira, anajua lakini anajifanya kajizima DATA,..xhenz type huyu
 
Jaribu Kuwa muungwana,hii platform imekupa wasaa wa kuonyesha ulichonacho kwenye umma (Jamii) wa Watanzania Ili kuleta mabadiliko!

Tumia jukwaa hili kujenga hoja tunduizi na fikirishi Ili kuleta mabadiliko chanya,ACHA MATUSI
comment bora kabisa ya mwezi,....🙏🙏🙏👏
 
Nimeona baadhi ya viongozi wa CDM akiwemo Boni Yai,tunachokisahau ni kwamba teknologia ni kitu kibaya sana,unachokifanya leo inawezekana kikakuhukumu baadaye......hatukatai tofauti ya vyama ila bado sisi ni Watanzania tu
 
Anayecheza pale ni Rais Samia au Chama Cha Mapinduzi? Hivi ni kwanini kila Kukicha tu Akili za baadhi ya Watanzania zinazidi tu kwenda mrama na kutia Aibu? GENTAMYCINE naweza kuwa kweli sipendezwi na baadhi ya mambo afanyayo Rais Samia na Chama cha CCM lakini siwezi kuacha Kuishabikia Timu yangu ya Taifa (Taifa Stars) kwani hata ikifungwa anayechekwa si Rais Samia au CCM pekee bali ni Watanzania wote.

Tubadilikeni tafadhali kwani tunatia aibu. Hili jambo limeniumiza mno tu na natamani wanaofanya hivi Wakamatwe pia.
Bora Mmefungwa

Kila kitu mnaleta SIASA

MPIRA NI INVESTMENT SIO HAMASA GADEM

NAAMBIWA KUNA MTU KAKOSA GOLI YEYE NA KIFA

HAMNA KITU MKALALE SASA
 
Yeye na KIFA ndiyo Kiswahili gani na cha wapi hiki? Mkijijua ni Washamba na Wapumbavu acheni kuwa mnachangia JF.
 
Anayecheza pale ni Rais Samia au Chama Cha Mapinduzi? Hivi ni kwanini kila Kukicha tu Akili za baadhi ya Watanzania zinazidi tu kwenda mrama na kutia Aibu? GENTAMYCINE naweza kuwa kweli sipendezwi na baadhi ya mambo afanyayo Rais Samia na Chama cha CCM lakini siwezi kuacha Kuishabikia Timu yangu ya Taifa (Taifa Stars) kwani hata ikifungwa anayechekwa si Rais Samia au CCM pekee bali ni Watanzania wote.

Tubadilikeni tafadhali kwani tunatia aibu. Hili jambo limeniumiza mno tu na natamani wanaofanya hivi Wakamatwe pia.

..Mama Abdul aache kuitumia Taifa Stars kana kwamba ni timu ya Ccm.
 
Anayecheza pale ni Rais Samia au Chama Cha Mapinduzi? Hivi ni kwanini kila Kukicha tu Akili za baadhi ya Watanzania zinazidi tu kwenda mrama na kutia Aibu? GENTAMYCINE naweza kuwa kweli sipendezwi na baadhi ya mambo afanyayo Rais Samia na Chama cha CCM lakini siwezi kuacha Kuishabikia Timu yangu ya Taifa (Taifa Stars) kwani hata ikifungwa anayechekwa si Rais Samia au CCM pekee bali ni Watanzania wote.

Tubadilikeni tafadhali kwani tunatia aibu. Hili jambo limeniumiza mno tu na natamani wanaofanya hivi Wakamatwe pia.
Na kumfunga Tundu Lissu? Kuteka na kuuwa kisa watu hawampedi mama
 
Anayecheza pale ni Rais Samia au Chama Cha Mapinduzi? Hivi ni kwanini kila Kukicha tu Akili za baadhi ya Watanzania zinazidi tu kwenda mrama na kutia Aibu? GENTAMYCINE naweza kuwa kweli sipendezwi na baadhi ya mambo afanyayo Rais Samia na Chama cha CCM lakini siwezi kuacha Kuishabikia Timu yangu ya Taifa (Taifa Stars) kwani hata ikifungwa anayechekwa si Rais Samia au CCM pekee bali ni Watanzania wote.

Tubadilikeni tafadhali kwani tunatia aibu. Hili jambo limeniumiza mno tu na natamani wanaofanya hivi Wakamatwe pia.
wenyewe wameamua sasa wewe ni nani kwao au ndio kama kawaida yenu mfuatwe kwa yote wameanza kuwakataa sasa sijui itakuwaje
 
Back
Top Bottom