GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,685
- 128,178
- Thread starter
- #101
Mwenye Maendeleo huwa anakuwa na Stress? Hovyoooooo......!!Sikulaumu, ni Stress tu zinakusumbua
Mwenye Maendeleo huwa anakuwa na Stress? Hovyoooooo......!!Sikulaumu, ni Stress tu zinakusumbua
Mwenye Maendeleo kukuzidi huwa anakuwa na Msongo wa Mawazo? Hovyoooooo.....!!Ana msongo tu wa mawazo mkuu. Uzi mzima anatumia lugha isiyo na staha
Umeulizwa?Matokeo yeyote watakayoyapata hayaathiri chochote kwangu
Pelekeni kina Mwashambwa na tlaahtlaah wakajaze uwanja. Kama hawatoshi mnaweza pia kuwasomba na malori kama mnavyosombaga kwenye mikutano yenu.Anayecheza pale ni Rais Samia au Chama Cha Mapinduzi? Hivi ni kwanini kila Kukicha tu Akili za baadhi ya Watanzania zinazidi tu kwenda mrama na kutia Aibu? GENTAMYCINE naweza kuwa kweli sipendezwi na baadhi ya mambo afanyayo Rais Samia na Chama cha CCM lakini siwezi kuacha Kuishabikia Timu yangu ya Taifa (Taifa Stars) kwani hata ikifungwa anayechekwa si Rais Samia au CCM pekee bali ni Watanzania wote.
Tubadilikeni tafadhali kwani tunatia aibu. Hili jambo limeniumiza mno tu na natamani wanaofanya hivi Wakamatwe pia.
Nawe uwage na akili, acha kuokota mauchafu ya watu waliokata tamaa wanaoshinda humu mitandaoni, hayo majinga hayazidi 5%, watanzania kwa mamilioni tunaipenda timu yetu, ilikuwepo na itaendelea kuwepo bila kujali nani yuko madarakani. Wasudani pamoja na hali waliyonayo wako nyuma ya timu yao. Hao mambwa koko wameshindwa siasa za majukwaani sasa hv wanasandia kila kitu mpk kifo cha mtu imekuwa siasa. Hao wameishiwa mikakati na hawana sera, ngedere tu haoNaipenda Taifa stars tokea enzi za kina Hamis Thobias 'Gagalino',Selestine Sikinde Mbunga,Hussein Aman Marsha,Peter Tino na bado nipo na hawa vijana wetu wacha wapambane tu..
Siwezi zidiwa maendeleo na wewe muhutuNimesoma Chuo cha Kata Mlimani Mwanza (SAUT Mwanza) lakini nashangaa ni kwanini nakuzidi kuanzia Pesa, Hadhi na Maendeleo Mpumbavu Mwandamizi Wewe uliyesoma Chuo chako bora Tanzania.
Dada kifo cha mtu unachukulia poa kwakuwa huyo aliyeuawa hatoki kwenye familia yenu.Nawe uwage na akili, acha kuokota mauchafu ya watu waliokata tamaa wanaoshinda humu mitandaoni, hayo majinga hayazidi 5%, watanzania kwa mamilioni tunaipenda timu yetu, ilikuwepo na itaendelea kuwepo bila kujali nani yuko madarakani. Wasudani pamoja na hali waliyonayo wako nyuma ya timu yao. Hao mambwa koko wameshindwa siasa za majukwaani sasa hv wanasandia kila kitu mpk kifo cha mtu imekuwa siasa. Hao wameishiwa mikakati na hawana sera, ngedere tu hao
Hakuna neno au kabila la Muhutu kama ulivyoandika hapa bali kuna neno au kabila la Hutu au Mhutu. Nikiwadharau msinune.Siwezi zidiwa maendeleo na wewe muhutu
Unaleta mada jukwaani unataka wajadili vichaaa wenzako? Haya ndo madhara ya kumeza dawa zilizoisha nguvuUmeulizwa?
Sasa umeshindwa kuandika bila kuhusisha mambo ya akili mazee mbona mnapenda kuchukulia watu poa wakati wewe ndio unaweza kuwa hamna kitu kabisaa...Nawe uwage na akili, acha kuokota mauchafu ya watu waliokata tamaa wanaoshinda humu mitandaoni, hayo majinga hayazidi 5%, watanzania kwa mamilioni tunaipenda timu yetu, ilikuwepo na itaendelea kuwepo bila kujali nani yuko madarakani. Wasudani pamoja na hali waliyonayo wako nyuma ya timu yao. Hao mambwa koko wameshindwa siasa za majukwaani sasa hv wanasandia kila kitu mpk kifo cha mtu imekuwa siasa. Hao wameishiwa mikakati na hawana sera, ngedere tu hao
Acha kutufokea!Anayecheza pale ni Rais Samia au Chama Cha Mapinduzi? Hivi ni kwanini kila Kukicha tu Akili za baadhi ya Watanzania zinazidi tu kwenda mrama na kutia Aibu? GENTAMYCINE naweza kuwa kweli sipendezwi na baadhi ya mambo afanyayo Rais Samia na Chama cha CCM lakini siwezi kuacha Kuishabikia Timu yangu ya Taifa (Taifa Stars) kwani hata ikifungwa anayechekwa si Rais Samia au CCM pekee bali ni Watanzania wote.
Tubadilikeni tafadhali kwani tunatia aibu. Hili jambo limeniumiza mno tu na natamani wanaofanya hivi Wakamatwe pia.
Punguza stressMwenye Maendeleo huwa anakuwa na Stress? Hovyoooooo......!!
Maendeleo yapi, hebu fanya listing hapa mkuuMwenye Maendeleo kukuzidi huwa anakuwa na Msongo wa Mawazo? Hovyoooooo.....!!
Kwa hiyo na wewe unaamini kuwa mashabiki hawajui uwanjani kwa sababu hawapendi Rais?Kweli kabisa , wangeanza kuchukia na barabara na fly over za Dar maana miradi yote sifa zinaenda kwa Mama ila hatususii wala kuchukia.
Ifungwe stars nichekwe mimi?Anayecheza pale ni Rais Samia au Chama Cha Mapinduzi? Hivi ni kwanini kila Kukicha tu Akili za baadhi ya Watanzania zinazidi tu kwenda mrama na kutia Aibu? GENTAMYCINE naweza kuwa kweli sipendezwi na baadhi ya mambo afanyayo Rais Samia na Chama cha CCM lakini siwezi kuacha Kuishabikia Timu yangu ya Taifa (Taifa Stars) kwani hata ikifungwa anayechekwa si Rais Samia au CCM pekee bali ni Watanzania wote.
Tubadilikeni tafadhali kwani tunatia aibu. Hili jambo limeniumiza mno tu na natamani wanaofanya hivi Wakamatwe pia.
Hizo barabara kajenga kwa FEDHA Zake za mshahara au kodi zetu??Kweli kabisa , wangeanza kuchukia na barabara na fly over za Dar maana miradi yote sifa zinaenda kwa Mama ila hatususii wala kuchukia.