Anayecheza pale ni Rais Samia au Chama Cha Mapinduzi? Hivi ni kwanini kila Kukicha tu Akili za baadhi ya Watanzania zinazidi tu kwenda mrama na kutia Aibu? GENTAMYCINE naweza kuwa kweli sipendezwi na baadhi ya mambo afanyayo Rais Samia na Chama cha CCM lakini siwezi kuacha Kuishabikia Timu yangu ya Taifa (Taifa Stars) kwani hata ikifungwa anayechekwa si Rais Samia au CCM pekee bali ni Watanzania wote.
Tubadilikeni tafadhali kwani tunatia aibu. Hili jambo limeniumiza mno tu na natamani wanaofanya hivi Wakamatwe pia.