Prince Luanda
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 3,477
- 5,283
Check hapa
Hili likilaza ndio nyie mnalipa kichwa. Lina utalent gani?Purely talented and charismatic fella
Nenda kashangilie tu kadaAnayecheza pale ni Rais Samia au Chama Cha Mapinduzi? Hivi ni kwanini kila Kukicha tu Akili za baadhi ya Watanzania zinazidi tu kwenda mrama na kutia Aibu? GENTAMYCINE naweza kuwa kweli sipendezwi na baadhi ya mambo afanyayo Rais Samia na Chama cha CCM lakini siwezi kuacha Kuishabikia Timu yangu ya Taifa (Taifa Stars) kwani hata ikifungwa anayechekwa si Rais Samia au CCM pekee bali ni Watanzania wote.
Tubadilikeni tafadhali kwani tunatia aibu. Hili jambo limeniumiza mno tu na natamani wanaofanya hivi Wakamatwe pia.
Acha dharau na ujinga match ya ufunguzi mlisomba watu wenu mkajaza uwanja na matishet yenu ya Mama leo hii mnataka sisi tukajaze uwanja,Endeleen kusombanaAnayecheza pale ni Rais Samia au Chama Cha Mapinduzi? Hivi ni kwanini kila Kukicha tu Akili za baadhi ya Watanzania zinazidi tu kwenda mrama na kutia Aibu? GENTAMYCINE naweza kuwa kweli sipendezwi na baadhi ya mambo afanyayo Rais Samia na Chama cha CCM lakini siwezi kuacha Kuishabikia Timu yangu ya Taifa (Taifa Stars) kwani hata ikifungwa anayechekwa si Rais Samia au CCM pekee bali ni Watanzania wote.
Tubadilikeni tafadhali kwani tunatia aibu. Hili jambo limeniumiza mno tu na natamani wanaofanya hivi Wakamatwe pia.
Tokea umchukie Rais Samia na Chama Cha Mapinduzi huo Umasikini wako uliokutamalaki hadi katika Ukoo wako umeisha?Nenda kashangilie tu kada
Kwa sababu hajakubaliana na wewe kawa mnafiki? Afya ya akili hakika ni janga la kitaifaKafie mbele huko Mnafiki mkubwa Wewe.
Jaribu Kuwa muungwana,hii platform imekupa wasaa wa kuonyesha ulichonacho kwenye umma (Jamii) wa Watanzania Ili kuleta mabadiliko!Kafie mbele huko Mnafiki mkubwa Wewe.
Kilaza ambaye unapoteza muda wako mwingi Kumfuatilia na Kumsoma hapa JamiiForums. Sasa Mimi na Wewe Kilaza Pro Max ni nani? Utahangaika / Mtahangaika sana kutumia kila Siku hizi Multiple ID's zenu ili tu Kupambana nami GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE na kunitoa katika Reli hasa kwa Mada zangu nyingi pendwa, burudishi na fikirishi hapa JamiiForums na kamwe hamtoniweza sana sana tu nawaoneeni Huruma.Hili likilaza ndio nyie mnalipa kichwa. Lina utalent gani?
Your Thoughts Are Vague.Hogwash and Nonsensical.
Rubbish and Nonsensical.Your Thoughts Are Vague.
Once I Thought You Were Among The Brightest Brains In This Platform,But I Think Ur No More.
And This Is One Of Ur Worst Post
Tumewaachia Litimu Lenu Bado Mnatung'ang'ania,kama Tulivyowasusia Bunge Lenu,mkawang'ang'ania Wale 19 Wa Mchongo.
Mnashindwa Kuwaja Watu Kwenye Malori Kwenda Uwanjani Kama Mnavyofanyaka Kwenye Kampeni ?
Kama zilivyo Afya za Akili za Waliokuzaa nazo pia kuwa si tu ni Janga la Kitaifa bali ni Janga la Dunia nzima hadi Ahera pia.Kwa sababu hajakubaliana na wewe kawa mnafiki? Afya ya akili hakika ni janga la kitaifa
Wafungwe tu Ili tubaki na Taifa Stars yetu....kudadadaki!Wakifungwa ni taifa stars wakishinda ni vijana wa mama
Kwa sasa ACHA ifungwe tu ...si timu ya mama!Anayecheza uwanjani ni Samia na CCM au ni Wachezaji akina Dickson Job, Kagoma na Mzize? Punguzeni kuwa Wapumbavu.
Yeah ndiyo Mimi GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE na hakuna Mwingine. Ukiona unachukiwa na Wapumbavu na Wanafiki jua umefanikkiwa 100%Purely talented and charismatic fella
Sure 100%Anayecheza pale ni Rais Samia au Chama Cha Mapinduzi? Hivi ni kwanini kila Kukicha tu Akili za baadhi ya Watanzania zinazidi tu kwenda mrama na kutia Aibu? GENTAMYCINE naweza kuwa kweli sipendezwi na baadhi ya mambo afanyayo Rais Samia na Chama cha CCM lakini siwezi kuacha Kuishabikia Timu yangu ya Taifa (Taifa Stars) kwani hata ikifungwa anayechekwa si Rais Samia au CCM pekee bali ni Watanzania wote.
Tubadilikeni tafadhali kwani tunatia aibu. Hili jambo limeniumiza mno tu na natamani wanaofanya hivi Wakamatwe pia.
Wewe Una talent gani mkuu??Hili likilaza ndio nyie mnalipa kichwa. Lina utalent gani?
JF imekupa wewe na watu wote fursa sawa,Nia na dhumuni la watu wote (Ukiwemo wewe) kupewa fursa hapa ni kutakiwa muwaonyeshe Watanzania kile mlichonacho kichwani ili kiweze kuibadili Jamii ambayo ilikuwa na mitazamo hasi!Acha kunipotezea muda Kafie mbele huko Mnafiki mkubwa Wewe. Hao Moderators uliowaita katika huu Uzi wangu tokea Asubuhi wamekusikia na hata kukupa Ushirikiano wowote ule? Unaacha kuwakemea Members ambao Kutwa (nawe ukiwemo) WANANICHOKOZA, WANANISHAMBULIA, WANANIDHALILISHA na WANANITUKANA ili wabadilike UNAWASHWAWASHWA nami ambaye huwa najibu Mapigo Kwao / Kwako. Unasema / Mnasema GENTAMYCINE nina LUGHA CHAFU / KALI hapa JamiiForums hebu nitafutie / nitafutieni Uzi wangu wowote niliouanzisha na katika Content yake Nimemtukana Member yoyote hapa.
Mnafiki na Wanafiki wakubwa nyie. Mnanichukia kutwa hapa na Kuhubiri Chuki dhidi yangu lakini bado tu mnanifuatilia.
Cc: didy muhenga
Inferior Complexity At Work.Rubbish and Nonsensical.