GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,685
- 128,178
- Thread starter
- #61
Rubbish and Nonsensical.Inferior Complexity At Work.
Rubbish and Nonsensical.Inferior Complexity At Work.
Ana ya UPUMBAVU mkubwa alionao. Angekuwa na Akili angehaika nami GENTAMYCINE ambaye ANANICHUKIA? Labda nikusaidie tu kuwa hiyo ID ni ID ya Member ambaye KANITUKANA sana katika huu Uzi na amakuja nayo hii akihofia baada ya KUMRIPOTI kwa Moderators atapigwa BAN hivyo haraka sana kaamua kuja (switch) katika hii ID akidhani Wakongwe wa JamiiForums hapa tokea 2013 hatutomjua.Wewe Una talent gani mkuu??
Ungana na akina Kimbesali,Mushambaa,na Tlatlaaaah muandamane.Anayecheza pale ni Rais Samia au Chama Cha Mapinduzi? Hivi ni kwanini kila Kukicha tu Akili za baadhi ya Watanzania zinazidi tu kwenda mrama na kutia Aibu? GENTAMYCINE naweza kuwa kweli sipendezwi na baadhi ya mambo afanyayo Rais Samia na Chama cha CCM lakini siwezi kuacha Kuishabikia Timu yangu ya Taifa (Taifa Stars) kwani hata ikifungwa anayechekwa si Rais Samia au CCM pekee bali ni Watanzania wote.
Tubadilikeni tafadhali kwani tunatia aibu. Hili jambo limeniumiza mno tu na natamani wanaofanya hivi Wakamatwe pia.
You're a GLOBAL SUPER IDIOT.Ungana na akina Kimbesali,Mushambaa,na Tlatlaaaah muandamane.
Sawa. Endelea kutukana na kuudhihirishia ulimwengu namna ulivyo Popoma. Au unafikiri unavyo watukana watu ndiyo watahamasika kwenda kuiangalia hiyo Taifa stars?Hata Mimi ninayetukanwa, ninayedhalilishwa na ninayeshambuliwa nao ni Mzazi wa wengine. Pumbavu Wahed Wewe. Waliodumaa Akili zao ni WAZAZI WAKO na ndiyo maana wameweza hadi kupoteza muda wao na Kukuzaa DUMAVU MWANDAMIZI Wewe.
usikubal unyonge kakaNaona baada ya kukuripoti kwa Moderators kwa ID yako uliyoniita SHOGA ukaona kuwa Wote hapa ni Wapumbavu kama Wewe hatutakujua kuwa mwenye hii ID ni Wewe mwenyewe. Nipo hapa JamiiForums tokea mwaka 2013 hivyo nina Uzoefu mkubwa sana ya Kuwagundua Wapumbavu wengi wenye Multiple ID's hapa ambazo mnazitumia Kupambana nami JESHI LA MTU MMOJA DAIMA GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE.
Na labda nikuambie / niwaambieni kuwa hamtaniweza kamwe kwani kuna Magwiji zaidi yenu hapa walipambana nami kwa kila Nguvu na Mbinu na bado tu nikawashinda kwa Vita ya Maneno ambayo nina PhD nayo na hakuna wa Kuniweza nayo hapa JamiiForums na hatotokea.
Cc: didy muhenga
Usilazimishe wengine kupenda na kushabikia ujingaAnayecheza pale ni Rais Samia au Chama Cha Mapinduzi? Hivi ni kwanini kila Kukicha tu Akili za baadhi ya Watanzania zinazidi tu kwenda mrama na kutia Aibu? GENTAMYCINE naweza kuwa kweli sipendezwi na baadhi ya mambo afanyayo Rais Samia na Chama cha CCM lakini siwezi kuacha Kuishabikia Timu yangu ya Taifa (Taifa Stars) kwani hata ikifungwa anayechekwa si Rais Samia au CCM pekee bali ni Watanzania wote.
Tubadilikeni tafadhali kwani tunatia aibu. Hili jambo limeniumiza mno tu na natamani wanaofanya hivi Wakamatwe pia.
Mkuu wala HAWANIONEI kwani hata MOTO WANGU wanaujua na angalia hata sasa Comments zao ni za kutia tu Huruma.
And Indeed,What Happen's Interms Of Fans Attendance's In This Tournaments, Its Just A Trailer Onwards To General Elections.Rubbish and Nonsensical.
NakaziaTunaenda uwanjani kuangalia mpira sio mabango ya samia watoe hayo mabango ya siasa tutarudi uwanjani kama kawaida
Yaani ww mpumbavu unaanzisha uzi habari wanakujibu tofauti na unavyotaka ww unanza kuwatukana shida yako unataka sifa badala ya kukubali uhalisia wa mambo kuwa hali mbaya sana mitaani na Tz nzima kuwa na hekima basi mbona u aonekana kma mtu mzima kumbe ni KIMA TU tulia kila utakachoanzisha cha samia inakula spna mpka medulla yako ikae == bata vuzi weweAnayecheza uwanjani ni Samia na CCM au ni Wachezaji akina Dickson Job, Kagoma na Mzize? Punguzeni kuwa Wapumbavu.
It is better than being a most competent fool.You're a GLOBAL SUPER IDIOT.
Mbona sasa hivi hujanitukana TUSI lako ulilolikariri? Unaogopa nini?Hamna udhalilishaji hapo ndo ukweli
Sawa SUPER GLOBAL IDIOT.It is better than being a most competent fool.