Kuidharau Yanga SC ikielekea CAFCC Semi ni Ushamba na Simba SC haijawahi Kucheza Fainali ya CAFCC

Kwanza tuelewane chini ya CAF hakuna Shindano la Loosers ( Walioshindwa ) bali Mashindano yote yana Umuhimu na yametenganishwa ili Kukuza zaidi Kiwango cha Soka hasa Kimashindano kwa Bara la Afrika.

Pili kama kuna mwana Simba SC Mwenzangu hapa JamiiForums anabeza Mafanikio haya ya Yanga SC na Jumapili ikifuzu Kihistoria kwa hatua ya Nusu Fainali ya CAFCC hatoishia tu kuwa Mshamba bali atakuwa ni Juha ( Fool ), Mchawi Tukuka na siyo Mwanamichezo.

Tatu na Mwisho Simba SC haijawahi Kucheza Fainali ya CAFCC ila ilicheza Fainali ya Kombe la Washindi Barani Afrika kwa Kucheza na Stella Abidjan ya Ivory Coast.

Tena niwaibieni Siri wana Simba SC Wenzangu hili tusiliendeleze sana kwani hata hilo Kombe lenyewe la Washindi lilikuwa halishirikishi Timu nyingi kama ilivyo sasa katika Kombe la Shirikisho ambalo Yanga SC inashiriki.

Ni Uwendawazimu usio na Mipaka wala Uvumilivu leo hii Kuwabeza Yanga SC wanaoshiriki Michuano yenye Timu nyingi tena wakianzia hatua za Awali ya CAFCC na Kuilinganisha na Michuano ya iliyokuwa Kombe la Washindi ambayo Timu zilikuwa chache na Ushindani wake ukiwa ni Hafifu tofauti na sasa.

Tukubali tu kuwa kwa sasa Watani zetu Yanga SC Gari imewaka Kimataifa na Kitaifa na pia hata Bahati nayo imekaa upande Wao hivyo huu Mjumuiko / Mseto wa haya Mambo yote Mawili yanaifanya Yanga SC izidi Kutakata na Inatakata kweli kweli huku ikituumbua tunayoichukia na kuiombea mabaya Kutwa.

Kama kuna mazuri Kwao tuyaige tu.

Alamsiki nyote.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
Simba hakucheza kombe la washindu(winners cup) Bali alicheza CAF cup, winners cup ndiyo shirikisho leo
 
Wewe ndio Una shida ndugu. Ligi yetu sasa hivi ina timu 16 ,inaitwa NBC premier League na iko chini ya TFF lakini hii hii ligi sio mara zote tangu kuanzishwa kwake ilikuwa na timu 16 na iliitwa NBC premier League na ilikuwa chini ya TFF.

Kwa hiyo timu inaposema imechukua ubingwa wa ligi mara 22 sio sahihi? Kwa hiyo timu iseme imechukua ubingwa mara 10 enzi za FAT mara 5 enzi za TFF , au iseme imechukua ubingwa mara 6 timu shiriki zikiwa 12 na mara Saba timu shiriki zikiwa 16?
CAF cup na winners cup ni makombe mawili tofauti,CAF cup lilifutwa 2003, winners cup likawa shirikisho
 
Fuatilieni vizuri sio kujiropokea Tu. CAF waliunganisha CAF cup na winners cup na kuunda confederation cup. Hakuna mahala ambapo pamesema CAF walifuta CAF cup halafu winners cup ndio ikawa shirikisho. Kama Una ushahidi leta.
 
CAF cup ni kombe ambako halikuwepo kabla ya 1992,palikua na champions cup na winners cup,CAF cup hayatou aliiga UEFA cup ambalo lilifutwa 1999,Kisha baadae CAF ikaiga muundo wa UEFA champions league na Europa kuwa CAF cl na CAF cc,makombe ya tangu zama ya CAF,hata Kama winners cup na CAF cup ziliunganishwa na kuwa CAF cc,bado hayo ni mashindano mapya,na CAF haikusema imeunganisha CAF cup na winners cup na kuwa CAF cc
 
BICHWA KUBWA ILA HUNA AKILI.

rudia kusoma uliyoyaandika ndipo utakapojiona wewe ni takataka.....
Simba hawakucheza kombe la washindi 1993....bali CAF CUP,

Hoja yako ya kuwa eti kipindi hiko kulikuwa hakuna timu nyingi ndio maana simba wakafikia hatua hiyo ni hoja dhaifu na inapaswa kutolewa na malayman kama wewe poyoyo....
Sababu Yanga nao walishiriki michuano hii na walikuwa wanaishia hatua za awali .....wewe na mchokolewaji mwenzio Ashura cheupe hamna tofauti labda rangi tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20230426-124335~2.jpg
Screenshot_20230426-125554~2.jpg
 
Hatujakataaa, mbna akiwapa ukweli unao waumiza, wanamuita popoma, mara awahi milembe, amesahau kunywa dawa zake.

Huwa huonagiiii?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila watu bhanaaa.
Huyo atakaepewa ukweli wake tena kwa staha halafu anune au achukie atakuwa si mzima na ni taahira asiejitambua.
 
Kwanza tuelewane chini ya CAF hakuna Shindano la Loosers ( Walioshindwa ) bali Mashindano yote yana Umuhimu na yametenganishwa ili Kukuza zaidi Kiwango cha Soka hasa Kimashindano kwa Bara la Afrika.

Pili kama kuna mwana Simba SC Mwenzangu hapa JamiiForums anabeza Mafanikio haya ya Yanga SC na Jumapili ikifuzu Kihistoria kwa hatua ya Nusu Fainali ya CAFCC hatoishia tu kuwa Mshamba bali atakuwa ni Juha ( Fool ), Mchawi Tukuka na siyo Mwanamichezo.

Tatu na Mwisho Simba SC haijawahi Kucheza Fainali ya CAFCC ila ilicheza Fainali ya Kombe la Washindi Barani Afrika kwa Kucheza na Stella Abidjan ya Ivory Coast.

Tena niwaibieni Siri wana Simba SC Wenzangu hili tusiliendeleze sana kwani hata hilo Kombe lenyewe la Washindi lilikuwa halishirikishi Timu nyingi kama ilivyo sasa katika Kombe la Shirikisho ambalo Yanga SC inashiriki.

Ni Uwendawazimu usio na Mipaka wala Uvumilivu leo hii Kuwabeza Yanga SC wanaoshiriki Michuano yenye Timu nyingi tena wakianzia hatua za Awali ya CAFCC na Kuilinganisha na Michuano ya iliyokuwa Kombe la Washindi ambayo Timu zilikuwa chache na Ushindani wake ukiwa ni Hafifu tofauti na sasa.

Tukubali tu kuwa kwa sasa Watani zetu Yanga SC Gari imewaka Kimataifa na Kitaifa na pia hata Bahati nayo imekaa upande Wao hivyo huu Mjumuiko / Mseto wa haya Mambo yote Mawili yanaifanya Yanga SC izidi Kutakata na Inatakata kweli kweli huku ikituumbua tunayoichukia na kuiombea mabaya Kutwa.

Kama kuna mazuri Kwao tuyaige tu.

Alamsiki nyote.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
cha kusema nn kitoshe kupongeza hili andika,ifike kipindi wanasimba na yanga kila mmoja aheshimu mafanikio ya mwenzio,kwenye mafanikio utani ukae pembeni coz hizi records zinawekwa sehemu ambazo si mwanasimba wala yanga wanaweza futa records za mwenzie labda ufanye vizuri zaidi kuzidi alichokifanya mwenzio ndo unaweza kumdharau...HONGERA MTANI KWA HILI ANDIKO PIA LINATUHUSU SISI YANGA KWANI ROBO FAINALI MARA 3 MFULULIZO ISN'T EASY
 
Anaeuona ukweli na akaukiri hata kama hauko upande wake huyo ni wa kusifiwa tena sana tu.
Unapokubali ukweli ndo mwanzo wa safari ya kujikwamua!
Simba ilikuwa kwenye peak Kwa miaka minne, Yanga ikakubali Haina wachezaji wa ku battle na Simba uwekezaji ukaanza na unaendelea na matunda yanaonekana hasa spirit ya Yanga utawafunga sawa ila watapambana kurudisha hata wakishindwa wanakufa kiume!

Simba Kwa miaka miwili Sasa inaporomoka ni wakati wa kujikubali na kujitafuta
 
CAF cup ni kombe ambako halikuwepo kabla ya 1992,palikua na champions cup na winners cup,CAF cup hayatou aliiga UEFA cup ambalo lilifutwa 1999,Kisha baadae CAF ikaiga muundo wa UEFA champions league na Europa kuwa CAF cl na CAF cc,makombe ya tangu zama ya CAF,hata Kama winners cup na CAF cup ziliunganishwa na kuwa CAF cc,bado hayo ni mashindano mapya,na CAF haikusema imeunganisha CAF cup na winners cup na kuwa CAF cc
Wapi CAF walisema winners cup imebadilishwa kuwa shirikisho kama ulivyosema hapo awali?

Hata CAF champions ya sasa ni tofauti na ya mwaka 2017 kurudi nyuma. Ya sasa timu 16 zinaunda group 4 na final inachezwa mara moja. Ya mwaka 2017 kurudi nyuma timu 8 ziliunda group 2 na final ilichezwa mara 2. Lakini Wewe unaona ni mashindano Sawa kisa Tu ya jina kufanana CAF champions League Ila Kwa CAF cup na shirikisho unaona ni mashindano tofauti Sana na shirikisho huku ukiona shirikisho ndio bora Sana sababu zaidi ya kutofautiana majina...
 
BICHWA KUBWA ILA HUNA AKILI.

rudia kusoma uliyoyaandika ndipo utakapojiona wewe ni takataka.....
Simba hawakucheza kombe la washindi 1993....bali CAF CUP,

Hoja yako ya kuwa eti kipindi hiko kulikuwa hakuna timu nyingi ndio maana simba wakafikia hatua hiyo ni hoja dhaifu na inapaswa kutolewa na malayman kama wewe poyoyo....
Sababu Yanga nao walishiriki michuano hii na walikuwa wanaishia hatua za awali .....wewe na mchokolewaji mwenzio Ashura cheupe hamna tofauti labda rangi tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2600176View attachment 2600179
GENTAMYCINE kula chuma hichoo
 
Wapi CAF walisema winners cup imebadilishwa kuwa shirikisho kama ulivyosema hapo awali?

Hata CAF champions ya sasa ni tofauti na ya mwaka 2017 kurudi nyuma. Ya sasa timu 16 zinaunda group 4 na final inachezwa mara moja. Ya mwaka 2017 kurudi nyuma timu 8 ziliunda group 2 na final ilichezwa mara 2. Lakini Wewe unaona ni mashindano Sawa kisa Tu ya jina kufanana CAF champions League Ila Kwa CAF cup na shirikisho unaona ni mashindano tofauti Sana na shirikisho huku ukiona shirikisho ndio bora Sana sababu zaidi ya kutofautiana majina...
CAF cup siyo CAF CC,Wacha kujiliza
 
CAF cup siyo CAF CC,Wacha kujiliza
Aah najilize na losers wakati timu ipo champions. Tunawapa fact tu na hakuna timu ya maana itatamani kushiriki CAF CC badala ya CAF champions hata kama kila msimu itafika nusu final.
 
Back
Top Bottom