rich1
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,116
- 3,476
CcmSasa wakutupa Katiba Mpya ni Nani?
CcmSasa wakutupa Katiba Mpya ni Nani?
Heshima unaweza ijenga kwa mwezi mmoja..ila ukaiharibu ndani ya dk 2...KUIFUTA CCM SIO KUONDOA MATATIZO YA TAIFA HILI. HIYO NI PROPAGANDA YENYE UONGO MKUBWA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
1. Kuna watu wanadanganya Watanzania matatizo ya Nchi hii ni uwepo wa chama cha mapinduzi( CCM ). Huo ni uongo mkubwa.
2. Wengine wanausema uongo huo kwa makusudi wakijua ni uongo(Siasa) wengine wanasema uongo huo bila ya kujua.
3. Sisi Watibeli hatupendi upotoshaji, uongo. Mtu yeyote au kikundi chochote bila kujali nafasi, cheo, mahusiano yetu na wao.
4. Kusema CCM ikiondolewa kwenye hii nchi matatizo ya taifa hili yataondoka ni uongo. Na kauli za kisiasa.
5. Matatizo ya nchi yetu Yana mizizi mikuu miwili;
a) Malezi kuanzia ngazi ya Familia.
b) Ukoloni Mamboleo.
6. Asilimia 60% ya Matatizo ya nchi hii yanatokana na Malezi Mabovu kutoka kwenye ngazi ya Familia. Hapo ndipo kuna mambo ya uadilifu, uchapakazi, nidhamu, uzalendo n.k.
7. Asilimia 40% ni Ukoloni Mamboleo.
Binafsi ninaamini taifa letu bado halipo huru. Hicho ndicho ninajua. Ingawaje ukiniambia nikupe ushahidi naweza kukosa lakini ninachoamini ndivyo ilivyo.
8. Akili Yangu inanituma kuwa kuna mikataba ya siri ambayo iliingiwa ambayo inaifanya nchi yetu isiwe huru.
9. Unaweza ukawa mzalendo kikamilifu. Ukapewa urais na ukaona ni rahisi. Unaingia ikulu unakutana na vitu vizito unabaki unabung'aa.
10. Ukisema ukaze watu wako wa chini wanakuwa sio waadilifu. Wanaungana na mabeberu wanakunyoosha.
11. Mabeberu wananguvu kwenye jamii lililojaa watu wasiowaadilifu. Wasio wachapakazi, wenye tamaa, wapenda Rushwa., wavivu, wasaliti n.k.
12. Tabia zote hizo mbaya MTU hujifunza alipolelewa, makuzi, na jamii inayomzunguka.
13. Hauhitaji kuwa CCM ili uwe mla rushwa, haihitaji uwe CCM ili uwe Fisadi, haihitaji uwe CCM ili uwe msaliti wa taifa lako.
14. Mambo hayo ni matokeo ya malezi mabovu tangu mtu akiwa mtoto Mdogo.
15. Sheria za ndoa, familia zikilegezwa na kutosimamiwa ipasavyo huwezi kuwa na taifa la maana lenye uadilifu na maadili.
16. Uwe CHADEMA au CCM au huna chama kama hauna uadilifu ni hauna tuu.
17. Ukandamizaji wa kisiasa hautokani na CCM bali ukandamizaji ni mfumo mzima wa jamii ya taifa letu.
18. Ukandamizaji na unyanyasaji ni utamaduni wa jamii zetu nyingi katika nchi yetu. Sio suala la uccm.
19. Nitakupa Mfano, kwa jamii zetu nyingi Mwanaume ambaye ni Baba na mume akikosea hapaswi kukosolewa na watoto wake au Mkewe.
20. Mwanamke au mke atakapojaribu kuhoji na kukosoa maamuzi na matendo ya mumewe atashukiwa na kukabiliwa vilivyo.
21. Mzazi hakosei. Mke awe msikivu tuu na hapaswi kutoa maamuzi au kukosoa. Hup ni utamaduni..
22. Ukienda Kanisani nako au Msikitini nako utakuta vituko na ukandamizaji mwingine.
23. Unaambiwa Kiongozi hakosei. Au unaambiwa huwezi challenge Quran au biblia. Hizo ndio akili za kikoloni hizo. Utumwa!
24. Quran kwa nini isi chalenjiwe? Ina mini hasa cha ajabu. Kama ingekuwa ukikikosoa unapigwa shoti, au ukisoma andiko inakuwa jambo Fulani tungesema ni kitabu tofauti.
25. Halikadhalika na Biblia kwamba isikosolewe. Kwa vipi? Inakipi cha ziada? Huo ni ukandamizaji wa watu wenye mawazo tofauti na vitabu hivyo.
26. Najaribu kueleza mifumo mbalimbali ya jamii yetu ambayo inatujengea matatizo ya mbali kuliko vyama vya siasa
27. Malezi yaliyojikita kwenye ulaghai na Mila potofu ni sehemu ya kubwa inayoleta matatizo ndani ya taifa letu.
28. Fikiria Mgeni anakuja kwenu mnampa chombo cha udongo ambacho ninyi wenyewe hamkitumii. Ninyi mnatumia vyombo vya plastiki au vibaya. Mazoea hayohayo yanafika ngazi ya kitaifa fursa muhimu na miradi nyeti hata kama kuna raia wenye uwezo wa kuendesha miradi hiyo hatapewa watapewa Wageni.
29. Ukisema ni UCCM, wewe kwako unapoweka vyombo vizuri na maalumu kwaajili ya wageni huku watoto wako mwenyewe wakila kwenye makopo na sahani za plastic au mifupa badala sahari nzuri za udongo au za vioo. Huo kwako sio uccm ni ukarimu.
30. Kutumia mabavu kwenye familia yako, kumtesa mkeo na watoto huoni tatizo lakini serikali ikifanya unaona ni tatizo na linasababishwa na CCM. Unaona?
31. Mkeo hajui akaunti na mapato ya familia yako. Hajui unaingiza kiasi gani. Hajui matumizi yako. Unaficha pesa na miradi yako. Na mnahamasishana kutokuwaamini wanawake. Muda huohuo unailaumu serikali kutokuweka mikataba wazi, kuficha pesa nje ya nchi, kufanya anasa n.k.
32. Huo ni UCCM serikali kufanya anasa na kujinunulia magari ya kifahari, viongozi kujipendelea lakini wewe unapoenda kunywa bia na Kula nyama choma huku mkeo na watoto wakiwa nyumbani na bajeti ya elfu 15 wakati wewe unatumia zaidi ya elfu 50 bar pekeako huo sio UCCM. Na sio vibaya.
33. Tabia ya ubinafsi ni suala la kimalezi, kiutamaduni ambapo likifika level ya kitaifa linakuwa NI tatizo sugu ambalo kulidhibiti ni kipengele.
34. Kwa kumalizia. CCM sio tatizo la nchi hii. Tatizo ni malezi na ukoloni mamboleo.
Kufikia hapo sina la ziada.
TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Ubovu mkubwa wa katiba ya sasa ndio unasababisha hata yale mazuri kukiukwa,Katiba hata sasa ipo na kuna mambo yanakiukwa kinyume na katiba. Na ndio hapo tunarudi kule kuleee.
Tatizo ni watu wenye tabia mbaya, wajinga, wabinafsi kama wanyama (kiwango hutofautiana kati yao) wanaopata madaraka.KUIFUTA CCM SIO KUONDOA MATATIZO YA TAIFA HILI. HIYO NI PROPAGANDA YENYE UONGO MKUBWA.

Sikatai hoja yako Tanzania tuna utamaduni dhaifu wa uwajibikaji, unaoanzia kwenye familia, kwenye jamii na hatimaye kufika serikalini. Hilo ni tatizo la kweli na la muda mrefu.Mkuu chadema sio kwamba hawataweza au wataweza. Ninachoeleza hapo ni kuwa Chadema na ccm wote wanatoka kwenye jamii ileile ya Watanzania.
So kushindwa kuongoza au kuleta Maendeleo sio kwa sababu upo chama fulani. Bali ni suala la utamaduni(malezi) na ukoloni mamboleo.
Unajua hapa Afrika ni nchi ngapi zimebadili vyama vya siasa na bado maendeleo yakawa Stori za kufikirika?
Mfano Hapo Kenya.
Kwa nini Vietnam na Thailand zimeendelea huku Cambodia, Myanmar na Laos zimebaki masikini wakati tamaduni zao wote zinafanana??KUIFUTA CCM SIO KUONDOA MATATIZO YA TAIFA HILI. HIYO NI PROPAGANDA YENYE UONGO MKUBWA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
1. Kuna watu wanadanganya Watanzania matatizo ya Nchi hii ni uwepo wa chama cha mapinduzi( CCM ). Huo ni uongo mkubwa.
2. Wengine wanausema uongo huo kwa makusudi wakijua ni uongo(Siasa) wengine wanasema uongo huo bila ya kujua.
3. Sisi Watibeli hatupendi upotoshaji, uongo. Mtu yeyote au kikundi chochote bila kujali nafasi, cheo, mahusiano yetu na wao.
4. Kusema CCM ikiondolewa kwenye hii nchi matatizo ya taifa hili yataondoka ni uongo. Na kauli za kisiasa.
5. Matatizo ya nchi yetu Yana mizizi mikuu miwili;
a) Malezi kuanzia ngazi ya Familia.
b) Ukoloni Mamboleo.
6. Asilimia 60% ya Matatizo ya nchi hii yanatokana na Malezi Mabovu kutoka kwenye ngazi ya Familia. Hapo ndipo kuna mambo ya uadilifu, uchapakazi, nidhamu, uzalendo n.k.
7. Asilimia 40% ni Ukoloni Mamboleo.
Binafsi ninaamini taifa letu bado halipo huru. Hicho ndicho ninajua. Ingawaje ukiniambia nikupe ushahidi naweza kukosa lakini ninachoamini ndivyo ilivyo.
8. Akili Yangu inanituma kuwa kuna mikataba ya siri ambayo iliingiwa ambayo inaifanya nchi yetu isiwe huru.
9. Unaweza ukawa mzalendo kikamilifu. Ukapewa urais na ukaona ni rahisi. Unaingia ikulu unakutana na vitu vizito unabaki unabung'aa.
10. Ukisema ukaze watu wako wa chini wanakuwa sio waadilifu. Wanaungana na mabeberu wanakunyoosha.
11. Mabeberu wananguvu kwenye jamii lililojaa watu wasiowaadilifu. Wasio wachapakazi, wenye tamaa, wapenda Rushwa., wavivu, wasaliti n.k.
12. Tabia zote hizo mbaya MTU hujifunza alipolelewa, makuzi, na jamii inayomzunguka.
13. Hauhitaji kuwa CCM ili uwe mla rushwa, haihitaji uwe CCM ili uwe Fisadi, haihitaji uwe CCM ili uwe msaliti wa taifa lako.
14. Mambo hayo ni matokeo ya malezi mabovu tangu mtu akiwa mtoto Mdogo.
15. Sheria za ndoa, familia zikilegezwa na kutosimamiwa ipasavyo huwezi kuwa na taifa la maana lenye uadilifu na maadili.
16. Uwe CHADEMA au CCM au huna chama kama hauna uadilifu ni hauna tuu.
17. Ukandamizaji wa kisiasa hautokani na CCM bali ukandamizaji ni mfumo mzima wa jamii ya taifa letu.
18. Ukandamizaji na unyanyasaji ni utamaduni wa jamii zetu nyingi katika nchi yetu. Sio suala la uccm.
19. Nitakupa Mfano, kwa jamii zetu nyingi Mwanaume ambaye ni Baba na mume akikosea hapaswi kukosolewa na watoto wake au Mkewe.
20. Mwanamke au mke atakapojaribu kuhoji na kukosoa maamuzi na matendo ya mumewe atashukiwa na kukabiliwa vilivyo.
21. Mzazi hakosei. Mke awe msikivu tuu na hapaswi kutoa maamuzi au kukosoa. Hup ni utamaduni..
22. Ukienda Kanisani nako au Msikitini nako utakuta vituko na ukandamizaji mwingine.
23. Unaambiwa Kiongozi hakosei. Au unaambiwa huwezi challenge Quran au biblia. Hizo ndio akili za kikoloni hizo. Utumwa!
24. Quran kwa nini isi chalenjiwe? Ina mini hasa cha ajabu. Kama ingekuwa ukikikosoa unapigwa shoti, au ukisoma andiko inakuwa jambo Fulani tungesema ni kitabu tofauti.
25. Halikadhalika na Biblia kwamba isikosolewe. Kwa vipi? Inakipi cha ziada? Huo ni ukandamizaji wa watu wenye mawazo tofauti na vitabu hivyo.
26. Najaribu kueleza mifumo mbalimbali ya jamii yetu ambayo inatujengea matatizo ya mbali kuliko vyama vya siasa
27. Malezi yaliyojikita kwenye ulaghai na Mila potofu ni sehemu ya kubwa inayoleta matatizo ndani ya taifa letu.
28. Fikiria Mgeni anakuja kwenu mnampa chombo cha udongo ambacho ninyi wenyewe hamkitumii. Ninyi mnatumia vyombo vya plastiki au vibaya. Mazoea hayohayo yanafika ngazi ya kitaifa fursa muhimu na miradi nyeti hata kama kuna raia wenye uwezo wa kuendesha miradi hiyo hatapewa watapewa Wageni.
29. Ukisema ni UCCM, wewe kwako unapoweka vyombo vizuri na maalumu kwaajili ya wageni huku watoto wako mwenyewe wakila kwenye makopo na sahani za plastic au mifupa badala sahari nzuri za udongo au za vioo. Huo kwako sio uccm ni ukarimu.
30. Kutumia mabavu kwenye familia yako, kumtesa mkeo na watoto huoni tatizo lakini serikali ikifanya unaona ni tatizo na linasababishwa na CCM. Unaona?
31. Mkeo hajui akaunti na mapato ya familia yako. Hajui unaingiza kiasi gani. Hajui matumizi yako. Unaficha pesa na miradi yako. Na mnahamasishana kutokuwaamini wanawake. Muda huohuo unailaumu serikali kutokuweka mikataba wazi, kuficha pesa nje ya nchi, kufanya anasa n.k.
32. Huo ni UCCM serikali kufanya anasa na kujinunulia magari ya kifahari, viongozi kujipendelea lakini wewe unapoenda kunywa bia na Kula nyama choma huku mkeo na watoto wakiwa nyumbani na bajeti ya elfu 15 wakati wewe unatumia zaidi ya elfu 50 bar pekeako huo sio UCCM. Na sio vibaya.
33. Tabia ya ubinafsi ni suala la kimalezi, kiutamaduni ambapo likifika level ya kitaifa linakuwa NI tatizo sugu ambalo kulidhibiti ni kipengele.
34. Kwa kumalizia. CCM sio tatizo la nchi hii. Tatizo ni malezi na ukoloni mamboleo.
Kufikia hapo sina la ziada.
TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Sikatai hoja yako Tanzania tuna utamaduni dhaifu wa uwajibikaji, unaoanzia kwenye familia, kwenye jamii na hatimaye kufika serikalini. Hilo ni tatizo la kweli na la muda mrefu.
Hoja yangu hapa ni kwamba baada ya kutambua kuwa tatizo hili lipo hatuwezi kubaki kulikubali kana kwamba halina suluhisho. Tunachopaswa kufanya ni kuchukua hatua za makusudi kubadili mwelekeo wa uongozi hasa kwa kuondoa uongozi wa CCM ambao kwa miaka mingi umeendeleza na kuimarisha mifumo hii mibovu
Unajikomba Kwa ccm usitekwe maana unajulikana na unatoa location Kila siku.
Ndio maana tunataka uchaguzi wa haki ili ukweli ufahamike. Lakini ccm hawako tayari kwa hilo. Ukiona team haitaki mfumo wa VAR utumike uwanjani, jua team hiyo huwa haishindi kihalali.Tindo tatizo lenu mnapenda kupindisha ukwel ila wananchi wana akili pia
unajua bob marley aliwahi kusema "you can fool some people some time, but you cannot full them everytime"
kama nyie ndo mnasema ukwel ama ccm wanasema ukwel basi, uhalisia utajitokeza, ccm ishafikaga sehem mbaya 2015 na wananchi walionyesha dhahiri hivo basi wacha wananchi waamue kama ccm iko sahihi ama nyie mko sahihi
Pamoja na yote ulivyosema kuwa ni kweli ila huyu Dr mapaka ni KIAZI wa mwishoTatizo JF ya siku hizi watu wataanza kumjadili mleta mada badala ya kuijadili mada,
Na wengine watakuja na personal attack dhidi ya mleta mada!
Kujaribu kuyaondoa matatizo ya nchi hii bila kuindoa CCM ni sawa na kujaribu kumfanyia rehabilitation mtumiaji wa madawa ya kulevya huku akiendelea kubwia unga full throttle!KUIFUTA CCM SIO KUONDOA MATATIZO YA TAIFA HILI. HIYO NI PROPAGANDA YENYE UONGO MKUBWA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
1. Kuna watu wanadanganya Watanzania matatizo ya Nchi hii ni uwepo wa chama cha mapinduzi( CCM ). Huo ni uongo mkubwa.
2. Wengine wanausema uongo huo kwa makusudi wakijua ni uongo(Siasa) wengine wanasema uongo huo bila ya kujua.
3. Sisi Watibeli hatupendi upotoshaji, uongo. Mtu yeyote au kikundi chochote bila kujali nafasi, cheo, mahusiano yetu na wao.
4. Kusema CCM ikiondolewa kwenye hii nchi matatizo ya taifa hili yataondoka ni uongo. Na kauli za kisiasa.
5. Matatizo ya nchi yetu Yana mizizi mikuu miwili;
a) Malezi kuanzia ngazi ya Familia.
b) Ukoloni Mamboleo.
6. Asilimia 60% ya Matatizo ya nchi hii yanatokana na Malezi Mabovu kutoka kwenye ngazi ya Familia. Hapo ndipo kuna mambo ya uadilifu, uchapakazi, nidhamu, uzalendo n.k.
7. Asilimia 40% ni Ukoloni Mamboleo.
Binafsi ninaamini taifa letu bado halipo huru. Hicho ndicho ninajua. Ingawaje ukiniambia nikupe ushahidi naweza kukosa lakini ninachoamini ndivyo ilivyo.
8. Akili Yangu inanituma kuwa kuna mikataba ya siri ambayo iliingiwa ambayo inaifanya nchi yetu isiwe huru.
9. Unaweza ukawa mzalendo kikamilifu. Ukapewa urais na ukaona ni rahisi. Unaingia ikulu unakutana na vitu vizito unabaki unabung'aa.
10. Ukisema ukaze watu wako wa chini wanakuwa sio waadilifu. Wanaungana na mabeberu wanakunyoosha.
11. Mabeberu wananguvu kwenye jamii lililojaa watu wasiowaadilifu. Wasio wachapakazi, wenye tamaa, wapenda Rushwa., wavivu, wasaliti n.k.
12. Tabia zote hizo mbaya MTU hujifunza alipolelewa, makuzi, na jamii inayomzunguka.
13. Hauhitaji kuwa CCM ili uwe mla rushwa, haihitaji uwe CCM ili uwe Fisadi, haihitaji uwe CCM ili uwe msaliti wa taifa lako.
14. Mambo hayo ni matokeo ya malezi mabovu tangu mtu akiwa mtoto Mdogo.
15. Sheria za ndoa, familia zikilegezwa na kutosimamiwa ipasavyo huwezi kuwa na taifa la maana lenye uadilifu na maadili.
16. Uwe CHADEMA au CCM au huna chama kama hauna uadilifu ni hauna tuu.
17. Ukandamizaji wa kisiasa hautokani na CCM bali ukandamizaji ni mfumo mzima wa jamii ya taifa letu.
18. Ukandamizaji na unyanyasaji ni utamaduni wa jamii zetu nyingi katika nchi yetu. Sio suala la uccm.
19. Nitakupa Mfano, kwa jamii zetu nyingi Mwanaume ambaye ni Baba na mume akikosea hapaswi kukosolewa na watoto wake au Mkewe.
20. Mwanamke au mke atakapojaribu kuhoji na kukosoa maamuzi na matendo ya mumewe atashukiwa na kukabiliwa vilivyo.
21. Mzazi hakosei. Mke awe msikivu tuu na hapaswi kutoa maamuzi au kukosoa. Hup ni utamaduni..
22. Ukienda Kanisani nako au Msikitini nako utakuta vituko na ukandamizaji mwingine.
23. Unaambiwa Kiongozi hakosei. Au unaambiwa huwezi challenge Quran au biblia. Hizo ndio akili za kikoloni hizo. Utumwa!
24. Quran kwa nini isi chalenjiwe? Ina mini hasa cha ajabu. Kama ingekuwa ukikikosoa unapigwa shoti, au ukisoma andiko inakuwa jambo Fulani tungesema ni kitabu tofauti.
25. Halikadhalika na Biblia kwamba isikosolewe. Kwa vipi? Inakipi cha ziada? Huo ni ukandamizaji wa watu wenye mawazo tofauti na vitabu hivyo.
26. Najaribu kueleza mifumo mbalimbali ya jamii yetu ambayo inatujengea matatizo ya mbali kuliko vyama vya siasa
27. Malezi yaliyojikita kwenye ulaghai na Mila potofu ni sehemu ya kubwa inayoleta matatizo ndani ya taifa letu.
28. Fikiria Mgeni anakuja kwenu mnampa chombo cha udongo ambacho ninyi wenyewe hamkitumii. Ninyi mnatumia vyombo vya plastiki au vibaya. Mazoea hayohayo yanafika ngazi ya kitaifa fursa muhimu na miradi nyeti hata kama kuna raia wenye uwezo wa kuendesha miradi hiyo hatapewa watapewa Wageni.
29. Ukisema ni UCCM, wewe kwako unapoweka vyombo vizuri na maalumu kwaajili ya wageni huku watoto wako mwenyewe wakila kwenye makopo na sahani za plastic au mifupa badala sahari nzuri za udongo au za vioo. Huo kwako sio uccm ni ukarimu.
30. Kutumia mabavu kwenye familia yako, kumtesa mkeo na watoto huoni tatizo lakini serikali ikifanya unaona ni tatizo na linasababishwa na CCM. Unaona?
31. Mkeo hajui akaunti na mapato ya familia yako. Hajui unaingiza kiasi gani. Hajui matumizi yako. Unaficha pesa na miradi yako. Na mnahamasishana kutokuwaamini wanawake. Muda huohuo unailaumu serikali kutokuweka mikataba wazi, kuficha pesa nje ya nchi, kufanya anasa n.k.
32. Huo ni UCCM serikali kufanya anasa na kujinunulia magari ya kifahari, viongozi kujipendelea lakini wewe unapoenda kunywa bia na Kula nyama choma huku mkeo na watoto wakiwa nyumbani na bajeti ya elfu 15 wakati wewe unatumia zaidi ya elfu 50 bar pekeako huo sio UCCM. Na sio vibaya.
33. Tabia ya ubinafsi ni suala la kimalezi, kiutamaduni ambapo likifika level ya kitaifa linakuwa NI tatizo sugu ambalo kulidhibiti ni kipengele.
34. Kwa kumalizia. CCM sio tatizo la nchi hii. Tatizo ni malezi na ukoloni mamboleo.
Kufikia hapo sina la ziada.
TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
hasihindi kihalali kwan mlikua na mgombea kwamba kuna kura zenu zimeibiwa?Ndio maana tunataka uchaguzi wa haki ili ukweli ufahamike. Lakini ccm hawako tayari kwa hilo. Ukiona team haitaki mfumo wa VAR utumike uwanjani, jua team hiyo huwa haishindi kihalali.
2019, 2020, na juzi 2024 tuligombea na uchafu ulikuwa wazi. Na hata sasa ndio kilichofanyika kupika matokeo, na zaidi ikawa na mauaji ya halaiki. Ila fundisho limetokea, tuombe uzima maana uchaguzi ujao kutakuwa na heshima, utaleta mrejesho hapa. Tunza hii post.hasihindi kihalali kwan mlikua na mgombea kwamba kuna kura zenu zimeibiwa?
unajua ni mwaka wa 60 sasa ccm iko madarakani na watu kama wewe wlaikuepo toka mwanzo, kuna watu mpaka waliteka ndege!2019, 2020, na juzi 2024 tuligombea na uchafu ulikuwa wazi. Na hata sasa ndio kilichofanyika kupika matokeo, na zaidi ikawa na mauaji ya halaiki. Ila fundisho limetokea, tuombe uzima maana uchaguzi ujao kutakuwa na heshima, utaleta mrejesho hapa. Tunza hii post.
Wakati ukuta.unajua ni mwaka wa 60 sasa ccm iko madarakani na watu kama wewe wlaikuepo toka mwanzo, kuna watu mpaka waliteka ndege!
Mauaji ya wahalifu weka sentensi vizuri
Baada ya samia , anafuata makonda alafu tindo anakuja kua presidentWakati ukuta.