Kuingia na note book Kizimbani haikuwa ishu. Jaji Alikuwa ameishaifunika akaendelea na mambo mengine. Kibatala atabwaga tena

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2012
Posts
1,761
Reaction score
2,391
Pamoja na kuwa inshu ya shaidi kuingia na note book Kizimbani ijumaa wiki iliyopita Jaji alihaidi kuwa mahakama itaifanyia maamuzi Jumatatu hii. Yani ataanzia na objection ya kina kibatala.

Jumatatu mahakama haikukumbuka ata si kuianzia tu maana ndipo walipoishia. Pia nikiamini pingamizi Hilo lingeshugulikiwa kabla ya kufanya maamuzi ya kesi ndogo kwani ushaidi wa kwenye note book ulitumika. Lakini ata baada ya kutoijali na kufanyika maamuzi ya kesi ndogo bila kuzingatia pingamizi lililokuwepo. Lakini ata baada ya kufanya uamuzi wa kesi ndogo alilipotezea na kuendelea na Mambo mengine tu. Baada ya maamuzi ikabidi akina kibatala wakumbushie Tena.

Ndio nikajua kumbe sio inshu siliasi. Au sio kitu kikubwa au kwasababu kimetoka kwa utetezi.

Kwa alivyokipotezea Jaji Basi Tena ata leo Akina kibatala wasitegemee jipya, linaenda kutupiliwa mbali.

Hii kesi NI fedhea kubwa kwa kibatala na Jopo lake. Aiwezekani kila pingamizi linatupiliwa mbali. Maana yake hawezi kujenga hoja au hajui wanachokifanya. Akina Kidando wanaonekana wanauwezo mkubwa zaidi yao.

Mi nazani na pingamizi Hilo likifeli Basi kibatala ajitoe tu kwenye hii kesi haiwezekani kung'ang'ania likitu lisilo na tija na linaloleta hisia za kuhoji uwezo wako Kama Mwanasheria.
 
Jaji alitakiwa atolee uamuzi pingamizi lililowekwa na wapinzani.

Haijalishi kama pingamizi lina uzito, au halina.

Kitendo cha Jaji kusahau, au kujaribu "kupotezea" suala hilo, kunamvunjia Jaji na mahakama heshima.
 
Pamoja na kuwa inshu ya shaidi kuingia na note book Kizimbani ijumaa wiki iliyopita Jaji alihaidi kuwa mahakama itaifanyia maamuzi Jumatatu hii. Yani ataanzia na objection ya kina kibatala.

Jumatatu mahakama haikukumbuka ata si kuianzia tu maana ndipo walipoishia. Lakini ata baada ya kutoijali na kufanya maamuzi ya pingamizi lililokuwa likishugulikiwa. Baada ya maamuzi ikabidi akina kibatala wakumbushie Tena.

Ndio nikajua kumbe sio inshu siliasi. Au sio kitu kikubwa au kwasababu kimetoka kwa utetezi.

Kwa alivyokipotezea Jaji Basi Tena ata leo Akina kibatala wasitegemee jipya, linaenda kutupiliwa mbali.

Hii kesi NI fedhea kubwa kwa kibatala na Jopo lake. Aiwezekani kila pingamizi linatupiliwa mbali. Maana yake hawezi kujenga hoja au hajui wanachokifanya. Akina Kidando wanaonekana wanauwezo mkubwa zaidi yao.

Mi nazani na pingamizi Hilo likifeli Basi kibatala ajitoe tu kwenye hii kesi haiwezekani kung'ang'ania likitu lisilo na tija na linaloleta hisia za kuhoji uwezo wako Kama Mwanasheria.
Ni wazi kuwa jaji hakulishughulikia kwa muda wake pingamizi hilo, jaji alilishughulikia na kutoa uamuzi hapohapo mahakamani, sasa kwanini alihitaji muda wa kulipitia na kutoa uamuzi? Usidhani hoja zilitengenezwa na Kibatala peke yake, nao walikaa kama jopo na kuzijenga hoja wakiwa mawakili wote.
Kabla ya kufikiria pingamizi hilo kutupwa ni muhimu ungefikiria ushahidi unaojenga hoja ya kesi ya ugaidi mpaka sasa, wewe binafsi umekwisha ona nia au uhalifu wowote mpaka sasa? Naona tuanzie hapo kwani dayari na peni si msingi wa kesi.
 
Janja janja ya wapigaji wa fedha za chama kupitia kesi imefikia ukingoni.
 
Pamoja na kuwa inshu ya shaidi kuingia na note book Kizimbani ijumaa wiki iliyopita Jaji alihaidi kuwa mahakama itaifanyia maamuzi Jumatatu hii. Yani ataanzia na objection ya kina kibatala.

Jumatatu mahakama haikukumbuka ata si kuianzia tu maana ndipo walipoishia. Lakini ata baada ya kutoijali na kufanya maamuzi ya pingamizi lililokuwa likishugulikiwa. Baada ya maamuzi ikabidi akina kibatala wakumbushie Tena.

Ndio nikajua kumbe sio inshu siliasi. Au sio kitu kikubwa au kwasababu kimetoka kwa utetezi.

Kwa alivyokipotezea Jaji Basi Tena ata leo Akina kibatala wasitegemee jipya, linaenda kutupiliwa mbali.

Hii kesi NI fedhea kubwa kwa kibatala na Jopo lake. Aiwezekani kila pingamizi linatupiliwa mbali. Maana yake hawezi kujenga hoja au hajui wanachokifanya. Akina Kidando wanaonekana wanauwezo mkubwa zaidi yao.

Mi nazani na pingamizi Hilo likifeli Basi kibatala ajitoe tu kwenye hii kesi haiwezekani kung'ang'ania likitu lisilo na tija na linaloleta hisia za kuhoji uwezo wako Kama Mwanasheria.
Thinking capacity yako iko very low! Ni hayo kwa leo.
 
Kina Kibatala sio wajinga. Tunajua Jaji ana wabeba mawakili wa serikali. Kwa kina Kibatala hilo wamesha liona. Ndio maana wana refer kesi zilizo amuliwa mahakama ya Rufaa. Katika hali ya kawaida, mahakama ya chini haina ruhusa ya kupingana na maamuzi ya mahakama ya rufaa. Mahakama ya rufaa ni supreme court.
Hivyo hii kesi ina kwenda kuishia mahakama ya rufaa. Na kule maamuzi yote ya hovyo yana kwenda kutenguliwa.
Hii kesi imesha kuwa nyepesi sana kwa Mbowe.
Yule Jaji alie hongwa cheo hana mamlaka ya kuingilia mahakama ya rufaa. Maamuzi yote ya hovyo waliyo fanya na wanayo fanya yana kwenda kuwa kwenye rejea mbovu zilizo wahi kuamuliwa na majaji wa Tanzania. Muda ni mwalimu mzuri sana.
 
Pamoja na kuwa inshu ya shaidi kuingia na note book Kizimbani ijumaa wiki iliyopita Jaji alihaidi kuwa mahakama itaifanyia maamuzi Jumatatu hii. Yani ataanzia na objection ya kina kibatala.

Jumatatu mahakama haikukumbuka ata si kuianzia tu maana ndipo walipoishia. Lakini ata baada ya kutoijali na kufanya maamuzi ya pingamizi lililokuwa likishugulikiwa. Baada ya maamuzi ikabidi akina kibatala wakumbushie Tena.

Ndio nikajua kumbe sio inshu siliasi. Au sio kitu kikubwa au kwasababu kimetoka kwa utetezi.

Kwa alivyokipotezea Jaji Basi Tena ata leo Akina kibatala wasitegemee jipya, linaenda kutupiliwa mbali.

Hii kesi NI fedhea kubwa kwa kibatala na Jopo lake. Aiwezekani kila pingamizi linatupiliwa mbali. Maana yake hawezi kujenga hoja au hajui wanachokifanya. Akina Kidando wanaonekana wanauwezo mkubwa zaidi yao.

Mi nazani na pingamizi Hilo likifeli Basi kibatala ajitoe tu kwenye hii kesi haiwezekani kung'ang'ania likitu lisilo na tija na linaloleta hisia za kuhoji uwezo wako Kama Mwanasheria.

Kwa hiyo wewe keyboard warrior unataka mkosoa Kibatala?
 
Jaji anafanya maamuzi yake kwa maelekezo toka jumba jeupe,hata wewe unajua hili ila umeamua kujitoa ufahamu tu
 
Mama kasema ugaidi NI tishio jipya duniani.
Wenzie wameanza kupambana na ugaidi miaka na miaka.yeye ameanza leo.
Kaanza na hamna kaja kwa mbowe.
"UGAIDI WA MANENO"
 
Sijuhi ni kwa nini akina Kibatala walikubali shahidi arudishiwe simu yake... Alafu fikiria vingine alivokuwa navyo mifukoni
Notebook, kalamu na simu vingeleta wasilisho zuri sana...

NB: Naliona pingamizi la notebook likipigwa chini ilhali note𝗯𝗼𝗼𝗸 na simu husika vyote shahidi ali𝗸𝘂𝘄𝗮 𝗻𝗮𝘃𝘆𝗼 mahakamani/kizimbani.
 
Sijuhi ni kwa nini akina Kibatala walikubali shahidi arudishiwe simu yake... Alafu fikiria vingine alivokuwa navyo mifukoni
Notebook, kalamu na simu vingeleta wasilisho zuri sana...

NB: Naliona pingamizi la notebook likipigwa chini ilhali note na simu husika vyote shahidi alipewa akiwa mahakamani/kizimbani.
Hii kesi ni aibu kwa jaji
 
Pamoja na kuwa inshu ya shaidi kuingia na note book Kizimbani ijumaa wiki iliyopita Jaji alihaidi kuwa mahakama itaifanyia maamuzi Jumatatu hii. Yani ataanzia na objection ya kina kibatala.

Jumatatu mahakama haikukumbuka ata si kuianzia tu maana ndipo walipoishia. Lakini ata baada ya kutoijali na kufanya maamuzi ya pingamizi lililokuwa likishugulikiwa. Baada ya maamuzi ikabidi akina kibatala wakumbushie Tena.

Ndio nikajua kumbe sio inshu siliasi. Au sio kitu kikubwa au kwasababu kimetoka kwa utetezi.

Kwa alivyokipotezea Jaji Basi Tena ata leo Akina kibatala wasitegemee jipya, linaenda kutupiliwa mbali.

Hii kesi NI fedhea kubwa kwa kibatala na Jopo lake. Aiwezekani kila pingamizi linatupiliwa mbali. Maana yake hawezi kujenga hoja au hajui wanachokifanya. Akina Kidando wanaonekana wanauwezo mkubwa zaidi yao.

Mi nazani na pingamizi Hilo likifeli Basi kibatala ajitoe tu kwenye hii kesi haiwezekani kung'ang'ania likitu lisilo na tija na linaloleta hisia za kuhoji uwezo wako Kama Mwanasheria.
Tabia ya kuaminj Wajinga itakudumaza maisha yako yote.
 
Hii kesi NI fedhea kubwa kwa kibatala na Jopo lake. Aiwezekani kila pingamizi linatupiliwa mbali. Maana yake hawezi kujenga hoja au hajui wanachokifanya. Akina Kidando wanaonekana wanauwezo mkubwa zaidi yao.
usijifanye mjuaji kwa vitu usivyovijua, mawakili wa utetezi hizi figisu zote wanazijua na ndio maana hawaachi kuweka mapingamizi na kesi ndogo ambapo wanajua kuna uwezekana jaji akawabeba jamhuri lakini wao wakikata rufaa ndio utaona umuhimu wa hayo mapingamizi na hizo kesi ndogo
 
..Jaji alitakiwa atolee uamuzi pingamizi lililowekwa na wapinzani.

..Haijalishi kama pingamizi lina uzito, au halina.

..kitendo cha Jaji kusahau, au kujaribu "kupotezea" suala hilo, kunamvunjia Jaji na mahakama heshima.
Mwenendo wa kesi hii unatia mashaka, najiuliza kuwa akina Kibatala hawaruhusiwi kumtuhumu huyu jaji kwa upendeleo wa wazi au watavunja maadili ya uwakili wao?
 
Back
Top Bottom