Halaiser
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 4,230
- 6,653
Hata akifungwa maisha haisaidii. Ungejua Chifu Hangaya anavyotaabika hivi sasa wala usingeongea hivyo. Ni Bora uwe mfungwa jela ukawa na Uhuru wa nafsi kuliko kuwa Huru ukawa mfungwa wa Nafsi.Masikini mbowe anashindana na serikali ,iliyoshikilia mpinii ...
Kwa namna yeyote namuona mbowe akipigwa mvua ya miaka 30 jela ....
Japo sio gaidi Wala Nini ,hii nchi inaongozwa kimafia ...
Chifu Hangaya na IGP Sirro tayari ni Wafungwa wa Nafsi. Jaji Siyani pamoja na kupandishwa cheo lkn nae yuko Mahabusu ya Nafsi.