residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Upo sahihi mkuu.Kina Kibatala sio wajinga. Tunajua Jaji ana wabeba mawakili wa serikali. Kwa kina Kibatala hilo wamesha liona. Ndio maana wana refer kesi zilizo amuliwa mahakama ya Rufaa. Katika hali ya kawaida, mahakama ya chini haina ruhusa ya kupingana na maamuzi ya mahakama ya rufaa. Mahakama ya rufaa ni supreme court.
Hivyo hii kesi ina kwenda kuishia mahakama ya rufaa. Na kule maamuzi yote ya hovyo yana kwenda kutenguliwa.
Hii kesi imesha kuwa nyepesi sana kwa Mbowe.
Yule Jaji alie hongwa cheo hana mamlaka ya kuingilia mahakama ya rufaa. Maamuzi yote ya hovyo waliyo fanya na wanayo fanya yana kwenda kuwa kwenye rejea mbovu zilizo wahi kuamuliwa na majaji wa Tanzania. Muda ni mwalimu mzuri sana.
Mwanasheria wangu kasema reference ya CA ni mchezo wa akili kubwa sana wanaofanya Mawakili wa Utetezi.
Big up Wakili Msomi Kibatala & co.