Kuingia na note book Kizimbani haikuwa ishu. Jaji Alikuwa ameishaifunika akaendelea na mambo mengine. Kibatala atabwaga tena

Masikini mbowe anashindana na serikali ,iliyoshikilia mpinii ...

Kwa namna yeyote namuona mbowe akipigwa mvua ya miaka 30 jela ....

Japo sio gaidi Wala Nini ,hii nchi inaongozwa kimafia ...
Hata akifungwa maisha haisaidii. Ungejua Chifu Hangaya anavyotaabika hivi sasa wala usingeongea hivyo. Ni Bora uwe mfungwa jela ukawa na Uhuru wa nafsi kuliko kuwa Huru ukawa mfungwa wa Nafsi.

Chifu Hangaya na IGP Sirro tayari ni Wafungwa wa Nafsi. Jaji Siyani pamoja na kupandishwa cheo lkn nae yuko Mahabusu ya Nafsi.
 
Wana msemo wao "mahakama sio mama yako kukupa ambacho hukuiomba" ndio maana jaji akapotezea hiyo issue.

Ila itatumika kwenye ngazi za juu za mahakama ikiwa itahitajika, muhimu kuweka record sawa.
 
usijifanye mjuaji kwa vitu usivyovijua, mawakili wa utetezi hizi figisu zote wanazijua na ndio maana hawaachi kuweka mapingamizi na kesi ndogo ambapo wanajua kuna uwezekana jaji akawabeba jamhuri lakini wao wakikata rufaa ndio utaona umuhimu wa hayo mapingamizi na hizo kesi ndogo
Na wasipo yaweka mapingamizi ktk ngazi hii wataulizwa huko mahakama ya rufaa mbona hamkupinga huko mahakama ya chini? Mtowa mada sujui ana nini humo kichwani? Moshi umeziba medulla oblangata yake kwa kweli...
 
Pamoja na kuwa inshu ya shaidi kuingia na note book Kizimbani ijumaa wiki Jaji alihaidi kuwa mahakama itafanya maamuzi Jumatatu hii. Yani ataanzia na kupinga ya kina kibatala.

Jumatatu mahakama haikukumbuka ata si kuianzia tu maana ndipo walipoishia. Pia nikiamini pingamizi Hilo lingeshugulikiwa kabla ya kufanya maamuzi ya kesi ndogo kwani ushaidi wa kwenye note book ulitumika. Lakini ata baada ya kutoijali na maamuzi ya kesi ndogo bila kuzingatia pingamizi lililokuwepo. Lakini ata baada ya kufanya mabadiliko wa kesi ndogo alilipotezea na kuendelea na Mambo mengine tu. Baada ya maamuzi ikabidi akina kibatala wakumbushie Tena.

Ndio nikajua kumbe sio inshu siliasi. Au sio kitu kikubwa au maana kimetoka kwa utetezi.

Kwa alivyokipotezea Jaji Basi Tena ata leo Akina kibatala wasitegemee jipya, linaenda kutupiliwa mbali.

Hii kesi NI fedhea kubwa kwa kibatala na Jopo lake. Aiwezekani kila pingamizi linatupiliwa mbali. Maana yake hawezi kujenga hoja au hajui wanachokifanya. Akina Kidando wanaonekana wanauwezo mkubwa zaidi yao.

Mi nazani na pingamizi Hilo likifeli Basi kibatala ajitoe tu kwenye hii kesi haiwezekani kung'ang'ania likitu lisilo na tija na linaloleta hisia za kuhoji uwezo wako Kama Mwanasheria.
wewe tulia Sheria unaijua, anaweza kutupa,Kila kinachoandikwa kwenye mwenendo wa kesi hujadilwa tena ikiwa utakuwa na haja ya rufaa,hivi unaijua wanakaa majaji wanne na zaidi kwenye mahakama ya rufaa na maamuzi ni ya majority ?je wewe unajua hukumu ni "subjective" na ni lengo".
 
Pamoja na kuwa inshu ya shaidi kuingia na note book Kizimbani ijumaa wiki iliyopita Jaji alihaidi kuwa mahakama itaifanyia maamuzi Jumatatu hii. Yani ataanzia na objection ya kina kibatala.

Jumatatu mahakama haikukumbuka ata si kuianzia tu maana ndipo walipoishia. Pia nikiamini pingamizi Hilo lingeshugulikiwa kabla ya kufanya maamuzi ya kesi ndogo kwani ushaidi wa kwenye note book ulitumika. Lakini ata baada ya kutoijali na kufanyika maamuzi ya kesi ndogo bila kuzingatia pingamizi lililokuwepo. Lakini ata baada ya kufanya uamuzi wa kesi ndogo alilipotezea na kuendelea na Mambo mengine tu. Baada ya maamuzi ikabidi akina kibatala wakumbushie Tena.

Ndio nikajua kumbe sio inshu siliasi. Au sio kitu kikubwa au kwasababu kimetoka kwa utetezi.

kibatala kisha kula dili na lissu kumwangamiza mbowe ili lissu aje kuwa mwenyekiti we huoni ukimya uliopo lissu haizumbngumzii kabisa hii esi mwalimu ndiyo kabisaaa haji haa mahakamani kibatala yuohapo kimkakati kummaliza mbowe hajengi hoja za maana kila analolitaka linapigwa chini
 
Hata akifungwa maisha haisaidii. Ungejua Chifu Hangaya anavyotaabika hivi sasa wala usingeongea hivyo. Ni Bora uwe mfungwa jela ukawa na Uhuru wa nafsi kuliko kuwa Huru ukawa mfungwa wa Nafsi.

Chifu Hangaya na IGP Sirro tayari ni Wafungwa wa Nafsi. Jaji Siyani pamoja na kupandishwa cheo lkn nae yuko Mahabusu ya Nafsi.
Ukweli mtupu
 
Hii kesi imejaa; ushetani, aibu, fedheha, ukatili wa kutisha kwa serikali hasa awamu hii.
Mungu wa Mbinguni ambae ndio hakimu wa kweli na ambae huchukizwa na uovu wa aina hii atatenda maajabu kwa kuwapiga kwa upofu waliotunga kesi hii pamoja na mashahidi wao.
anaanza kuazibiwa kwanza mbowe aliyewapoteza kina wangwe saa nane azori na wengine wengi mzee sumaye aliponea chupuchupu akaambiwa unataka kuionja sumu? hahaaa mbowe anakula alichokuwa anakipanda
 
Kitu kilichosababisha kuahirisha kesi na kuahidiwa kutolewa maamuzi ndio hicho hicho Jaji kasahau??😅😅😅😅😅 Tembea uonr mengi
Tanzania maajabu ya Tisa duniani
Majaji wa Magufuli siwaamini kabisa... Halafu bado wanafikiri wako kwenye ile regime.
 
anaanza kuazibiwa kwanza mbowe aliyewapoteza kina wangwe saa nane azori na wengine wengi mzee sumaye aliponea chupuchupu akaambiwa unataka kuionja sumu? hahaaa mbowe anakula alichokuwa anakipanda
 
Pamoja na kuwa inshu ya shaidi kuingia na note book Kizimbani ijumaa wiki iliyopita Jaji alihaidi kuwa mahakama itaifanyia maamuzi Jumatatu hii. Yani ataanzia na objection ya kina kibatala.

Jumatatu mahakama haikukumbuka ata si kuianzia tu maana ndipo walipoishia. Pia nikiamini pingamizi Hilo lingeshugulikiwa kabla ya kufanya maamuzi ya kesi ndogo kwani ushaidi wa kwenye note book ulitumika. Lakini ata baada ya kutoijali na kufanyika maamuzi ya kesi ndogo bila kuzingatia pingamizi lililokuwepo. Lakini ata baada ya kufanya uamuzi wa kesi ndogo alilipotezea na kuendelea na Mambo mengine tu. Baada ya maamuzi ikabidi akina kibatala wakumbushie Tena.

Ndio nikajua kumbe sio inshu siliasi. Au sio kitu kikubwa au kwasababu kimetoka kwa utetezi.

Kwa alivyokipotezea Jaji Basi Tena ata leo Akina kibatala wasitegemee jipya, linaenda kutupiliwa mbali.

Hii kesi NI fedhea kubwa kwa kibatala na Jopo lake. Aiwezekani kila pingamizi linatupiliwa mbali. Maana yake hawezi kujenga hoja au hajui wanachokifanya. Akina Kidando wanaonekana wanauwezo mkubwa zaidi yao.

Mi nazani na pingamizi Hilo likifeli Basi kibatala ajitoe tu kwenye hii kesi haiwezekani kung'ang'ania likitu lisilo na tija na linaloleta hisia za kuhoji uwezo wako Kama Mwanasheria.
Hayakuhusu
 
wewe tulia Sheria unaijua, anaweza kutupa,Kila kinachoandikwa kwenye mwenendo wa kesi hujadilwa tena ikiwa utakuwa na haja ya rufaa,hivi unaijua wanakaa majaji wanne na zaidi kwenye mahakama ya rufaa na maamuzi ni ya majority ?je wewe unajua hukumu ni "subjective" na ni lengo".
Hawawezi kuomba kesi isikilizwe na mahakama kuu moja kwa moja?
 
Pamoja na kuwa inshu ya shaidi kuingia na note book Kizimbani ijumaa wiki iliyopita Jaji alihaidi kuwa mahakama itaifanyia maamuzi Jumatatu hii. Yani ataanzia na objection ya kina kibatala.

Jumatatu mahakama haikukumbuka ata si kuianzia tu maana ndipo walipoishia. Pia nikiamini pingamizi Hilo lingeshugulikiwa kabla ya kufanya maamuzi ya kesi ndogo kwani ushaidi wa kwenye note book ulitumika. Lakini ata baada ya kutoijali na kufanyika maamuzi ya kesi ndogo bila kuzingatia pingamizi lililokuwepo. Lakini ata baada ya kufanya uamuzi wa kesi ndogo alilipotezea na kuendelea na Mambo mengine tu. Baada ya maamuzi ikabidi akina kibatala wakumbushie Tena.

Ndio nikajua kumbe sio inshu siliasi. Au sio kitu kikubwa au kwasababu kimetoka kwa utetezi.

Kwa alivyokipotezea Jaji Basi Tena ata leo Akina kibatala wasitegemee jipya, linaenda kutupiliwa mbali.

Hii kesi NI fedhea kubwa kwa kibatala na Jopo lake. Aiwezekani kila pingamizi linatupiliwa mbali. Maana yake hawezi kujenga hoja au hajui wanachokifanya. Akina Kidando wanaonekana wanauwezo mkubwa zaidi yao.

Mi nazani na pingamizi Hilo likifeli Basi kibatala ajitoe tu kwenye hii kesi haiwezekani kung'ang'ania likitu lisilo na tija na linaloleta hisia za kuhoji uwezo wako Kama Mwanasheria.
Kwa mawazo hayo bila shaka wewe ndie mzee wa chabo,
 
Jaji alitakiwa atolee uamuzi pingamizi lililowekwa na wapinzani.

Haijalishi kama pingamizi lina uzito, au halina.

Kitendo cha Jaji kusahau, au kujaribu "kupotezea" suala hilo, kunamvunjia Jaji na mahakama heshima.
Na hii ishu ya diary/notebook, kalamu na simu kuonekana kizimbani vikiwa na shahidi ndiyo sasa inaonekana kuwa ni serious case kuliko hata objection iliyokwisha kutolewa uamuzi ile jana...

Na kwa namna hoja zilivyojengwa na mawakili wa utetezi, nashawishika kuamini kuwa, Jaji Joachim Taganga hana namna ya kuwabeba "washikaji" wake, jamhuri upande wa mashitaka...

Hii ndiyo inayompa taabu kutoa maamuzi. Huyu anaweza kuishia kujitoa kwenye kesi hii...
 
Pamoja na kuwa inshu ya shaidi kuingia na note book Kizimbani ijumaa wiki iliyopita Jaji alihaidi kuwa mahakama itaifanyia maamuzi Jumatatu hii. Yani ataanzia na objection ya kina kibatala.

Jumatatu mahakama haikukumbuka ata si kuianzia tu maana ndipo walipoishia. Pia nikiamini pingamizi Hilo lingeshugulikiwa kabla ya kufanya maamuzi ya kesi ndogo kwani ushaidi wa kwenye note book ulitumika. Lakini ata baada ya kutoijali na kufanyika maamuzi ya kesi ndogo bila kuzingatia pingamizi lililokuwepo. Lakini ata baada ya kufanya uamuzi wa kesi ndogo alilipotezea na kuendelea na Mambo mengine tu. Baada ya maamuzi ikabidi akina kibatala wakumbushie Tena.

Ndio nikajua kumbe sio inshu siliasi. Au sio kitu kikubwa au kwasababu kimetoka kwa utetezi.

Kwa alivyokipotezea Jaji Basi Tena ata leo Akina kibatala wasitegemee jipya, linaenda kutupiliwa mbali.

Hii kesi NI fedhea kubwa kwa kibatala na Jopo lake. Aiwezekani kila pingamizi linatupiliwa mbali. Maana yake hawezi kujenga hoja au hajui wanachokifanya. Akina Kidando wanaonekana wanauwezo mkubwa zaidi yao.

Mi nazani na pingamizi Hilo likifeli Basi kibatala ajitoe tu kwenye hii kesi haiwezekani kung'ang'ania likitu lisilo na tija na linaloleta hisia za kuhoji uwezo wako Kama Mwanasheria.
Unaweza kuwa na hoja ila uandishi wako unaleta "ukakasi" machoni na akilini.
 
Back
Top Bottom