Kuingia na note book Kizimbani haikuwa ishu. Jaji Alikuwa ameishaifunika akaendelea na mambo mengine. Kibatala atabwaga tena

Upo sahihi mkuu.
Mwanasheria wangu kasema reference ya CA ni mchezo wa akili kubwa sana wanaofanya Mawakili wa Utetezi.
Big up Wakili Msomi Kibatala & co.
 
Endelea kuzani tu

Amandla...
 
Huyu jaji asipofungwa atakuwa na bahati sana !

Judge au hakimu hawezi kufungwa kwa kufanya makosa katika kesi anazozisikiliza. Vinginevyo, hakuna anayeweza kupona. Recourse pekee waliyonayo aggrieved parties ni kukata rufaa baada ya kesi ya msingi kuamuliwa!
 
Kwa kweli wasipoangalia hii kesi itakuwa moja ya hadidu rejea mbovu kuwahi tokea.
 
"Maana yake hawezi kujenga hoja au hajui wanachokifanya" that must be a joke of a century. Laiti kujenga hoja kungekuwa rahisi, angalia ulichoandika paragrafu ya pili 🙄
 
Kesi ,kesho,keshokutwa tar hii na hii hawa watu wameona mahakama ni sehemu ya kupractise sheria wakati wapo kwenye same category for years.
Ni upuuzi mwingi sana mnakaa mnabishana ujinga tu hapo .Mbowe ana kosa mfungeni,hana kosa achaneni nae aingie mtaani ingawa nae ni janga.
Huyu jamaa kwasasa kapoteza nuru na Amani ukimuona tu ingawa anacheka mda wote.
Sijui huko mbele ila hapako vizuri
 

Jaji wa ccm hatutegemei uamuzi tofauti ndio maana ametoa amri shahidi awepo kizimbani aendelee kutoa ushahidi wake. Uamuzi anao tayari amezuga kuahirisha tu.
 

Ujinga kipaji; kujua kama ana kosa au hana kosa ndo inaleta mabishano
 
Ni mjinga tu anayeweza kubishana na mtu kama wewe; judge mwenyewe anamsifia, na mambo yanamchukua judge siku 2 kuweza kutafutia ufumbuzi; keyboard warrior asiye hata na verification anadharau!
Baki hapo,hata computer umeanza kutumia juzi.
Na usiwe unaniquote kama una akili za kipumbavu.
 
Nilishangaa sana kuwa Jaji kasahau ishu aliyofunga nayo Ijumaa na Jumatatu alitaka kuanza mambo mengine siamini kabisa kama alijisahau ni mipango mipango tuu ya mjini...ila mbaya sana kwa kweli
 
Nilishangaa sana kuwa Jaji kasahau ishu aliyofunga nayo Ijumaa na Jumatatu alitaka kuanza mambo mengine siamini kabisa kama alijisahau ni mipango mipango tuu ya mjini...ila mbaya sana kwa kweli
Ni aibu sana kwa mhimili wa mahakama kuwa na majaji wa aina ya Tiganga. Hakuna anayeweza kuamini kwa mtu wa level ya Judge kusahau hoja aliyofunga nayo session na akiwa ameahidi kutolea uamuzi Jumatatu inayofuata. Ni hoja ambayo tunaiita ni "critical" kwamba bila kutatuliwa hiyo, huwezi ku move forward.

Critical activities zinatakiwa kufanyika kwanza ndipo utakua na uwezo wa kufanya activities zingine. Critical activities huwa zinaumiza vichwa kwa sababu zimebeba progress ya projects. Sasa inakuwaje Jaji "akaonesha" kutokumbuka hii activity?? Mbaya zaidi hata baada ya kuambiwa na wakili wa upande wa utetezi, bado alihitaji kukumbushwa zaidi jinsi walivyoishia kwenye session ya mwisho Ijumaa iliyopita.

Huyu anaidhalilisha "legal fraternity" na hasa jamii ya "learned brothers and sisters"
 
Kimsingi maamuzi ya Note book yalitakiwa yaanze kabla ya kesi ndogo. Kwasababu yangeweza kuathili hukumu ya kesi ndogo. Kulukwa kutolea maamuzi kunaonesha note book ilishattolewa maamuzi tayari.
 
Hawa wanafaa kuitwa mawakili wa Pingamizi. Hii kesi itachukua siku nyingi kwasababu za hizi Pingamizi.
Wakili wa Mbowe wangeacha hawa mashahidi watoe ushahidi wao na kama udhaifu utawaonyeshwa wakati wao wanaweza kutumia huu udhaifu kwa kujenga hoja
 
Sidhani kama kuna kitu kinaitwa issue ndogo kwa linapokuja suala la kimahakama. Iwe ndogo au kubwa Jaji hapaswi kuipuuza Bali kutolea maamuzi, bila kusahau maamuzi ni pamoja na hoja kukubaliwa au kutupwa. Kina Kibatala wa nashindwa kwa sababu hii ni kesi ya kimkakati siyo kukosa uwezo.
 
Huyo Jaji kina Kibatala wata mu outsmart..asicheze na mawakili wa kujitegemea..awe makini maana hii kesi uzuri wake ipo live...well documented.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…