Ms R
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 8,853
- 19,587
na hela ya kufungulia location nmemtumia ujue 😳😳Epuka matapeli half americano hana full yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na hela ya kufungulia location nmemtumia ujue 😳😳Epuka matapeli half americano hana full yake.
Uzi ufungwe hapa.Dar es salaam ni nzuri kwa mtu mwenye kazi nzuri yenye mshahara mnono au mtu mwenye biashara kubwa zinazojiendesha zenyewe ,mtu mwenye nyumba nzuri ya kukaa na usafiri binafsi. Njee ya hapo ni mji wenye mateso makubwa.
Rudisha muamala umepigwana hela ya kufungulia location nmemtumia ujue 😳😳
Buku nayo ya kurudsha muamala nawewRudisha muamala umepigwa
Basi sawa naona kwenye avatar sabato ilifana haswa 😅Buku nayo ya kurudsha muamala nawew
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂ila vijana wa hovyo nyieBasi sawa naona kwenye avatar sabato ilifana haswa 😅
Sasa ukweli usisemwe? Wengine tulifunzwa kuuishi ukweli 😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂ila vijana wa hovyo nyie
picha ya miaka ya zamani uko,,kwanza m sio msabato😂😂😂😂🤣🤣🤣Sasa ukweli usisemwe? Wengine tulifunzwa kuuishi ukweli 😂
Ni msukuma sio, alafu ID yako ya miaka ya zamani ni ipi?picha ya miaka ya zamani uko,,kwanza m sio msabato😂😂😂😂🤣🤣🤣
msukuma nasukuma nini mimi😂😂io nloeka apo ya zamaniNi msukuma sio, alafu ID yako ya miaka ya zamani ni ipi?
Unasukuma maisha, ID yako ya mwanzo n ipi?msukuma nasukuma nini mimi😂😂io nloeka apo ya zamani
Yaende wap na nmefka mwsho mieUnasukuma maisha, ID yako ya mwanzo n ipi?
Huko hukoYaende wap na nmefka mwsho mie
Mwendo nimeumalizaHuko huko
Umemaliza Mkuu....Dar es salaam ni nzuri kwa mtu mwenye kazi nzuri yenye mshahara mnono au mtu mwenye biashara kubwa zinazojiendesha zenyewe ,mtu mwenye nyumba nzuri ya kukaa na usafiri binafsi. Njee ya hapo ni mji wenye mateso makubwa.
Dar pachafu sana kwakweliDar es salaam ni jiji zuri la kupendeza na lenye kumvutia kila aliye na uhai .
Dar ni Jiji la kwanza kwa maendeleo Tanzania na yamkini Afrika Mashariki.
Dar imejaa Fursa mbalimbali za kujikwamua Kiuchumi kwa kijana mtafutaji na mpambanaji hasa ambae ana lengo la kutoboa maishani. Lakini kijana huyu awe tayari kufanya kazi ya namna yoyote Mradi mkono uende kinywani.
Dar imejaa starehe na anasa za Kila namna ambazo asilimia kubwa sana zinawatoa kwenye reli vijana waliokuja kwa ajili ya kupambana, sababu damu inachemka hivyo starehe kwake inakua muhimu Sana kwa muda huo, changamoto vijana wengi wanashindwa kufikia malengo kwa kushindwa kubalance kati ya mapato na matumizi.
Dar ni sehemu hatari Sana kwa kijana ambae amekuja kiupambanaji lakini akawa mvivu wa mwili na akili akataka Kutumia short cut ili atoboe. Huyu ataangukia kwenye mikono ya ushoga, kubebeshwa madawa au kua jambazi/kibaka au utapeli. Maana ukubwa wa starehe uliopo utampeleka resi Apate pesa nyingi kwa haraka ili kumudu matumizi.
Dar ni sehemu sahihi sana kielimu kwa mtu aliyekuja kusoma, lakini kwa wanafunzi wa elimu ya juu ni sehemu hatarishi pia hasa Kwa wale ambao hawakua na malezi sahihi toka kwao. Mtoto anakuja kusoma anarudi na ukimwi. Utashangaa mtoto wa first year ana iPhone 15 pro max ambayo hata mzazi wake Hana uwezo wa kumiliki. So kaipataje, KATOA MZIGO kwa wadau.
Dar ni njiapanda ya ndoto za vijana wengi wanaotaka kwenda kuishi ughaibuni. Hapa nipo michongo yote na connection huanzia. Ukiwa hapa utajua Nini maana ya green card na unaipataje, utajua balozi zote zilipo na Fursa zao.
Dar ndio sehemu ambayo mtu anakaa anatunga kamradi tu kwa hovyo hovyo na kanaitika anapiga hela. Yamkini aliyeanzisha marathon hakujua kama Utakua mchongo Mkubwa wa watu kupiga hela either binafsi au kupitia mashirika...
HIYO NDIO DAR, ONGEZEA YA KWAKO..
KARIBUNI SANA DAR ES SALAAM ILA MUWE NA PASSPORT (kidding)