Kuishi Dar ni ndoto ya Kila Mtanzania Kijana

Kuishi Dar ni ndoto ya Kila Mtanzania Kijana

Hapo kwenye ndoto hapana kwakweli, Maana nikienda dar week moja tu naona nimekaa kama mwaka mzima. Joto kali, tabu ya usafiri, hewa nzito huwa napata tabu sana.
 
Nimezaliwa dar nimesoma dar mpk chuo kikuu npo dar nimehtimu nikapata kaz dar leo npo mwanza nafanya kaz nmepata mafanikio kmaisha makubwa kuliko nlivyokuwa dar hakuna wa kunishawish kurud dsm ni jtu pori tu ndo linajvunia dar bt malegendary wa huko tunapaona pa kawaida sn maana ninauwezo wa kuja nikafanya yng na nkarud zng mwanza hakuna jipya. Labda uniambie dsm upatkanaji wa vitu ni uhakika vpo kuliko mikoa yote tz. Ajabu dsm kuna watu wanaish maisha magumu sn wanazdiwa mpk na watu wa vijijini kuna watu wapo dsm milo 2 tu tizi sa kama msosi tu mtu unampa taabu huko dsm anafanya nn.
 
Unaweza kurogwa kisa tu unakula mara tatu Kwa siku
 
Kijana mimi nitoe. Bora nivae sweta kuliko kushinda ndani uchi kisa joto na jua ni kali sana. Bado sijatoka nje nikagombanie mwendokasi nifike Posta kushangaa maghorofa.
 
🤣🤣 sasa usilale saa 4 we ni popo? Kwahiyo starehe yenu huko Dar ni kushinda Bar??

Arusha hii inayolala saa nne ndo kusema ni mji wa starehe?
Baa za Tabata tu zinaweza ikalisha Arusha yote na vitongoji vyake
 
Ndio Maana Nawashauri Watu Kama Wewe Umuhimu Wa Kutafuta Hela Na Kua Na Hela.... Katu Hutapitia Dirishani
Tatizo unageneralize mambo hapo umesema ni ndoto ya kila kijana nazungumia hao vijana ...
Pia ni kukosa akili kusema Kila Mtu anunue gari Barabara gani hizo za kupitisha hayo magari Kila Mtu akiwa nalo
 
Back
Top Bottom