Kuishi Dar ni ndoto ya Kila Mtanzania Kijana

Dar es salaam ni nzuri kwa mtu mwenye kazi nzuri yenye mshahara mnono au mtu mwenye biashara kubwa zinazojiendesha zenyewe ,mtu mwenye nyumba nzuri ya kukaa na usafiri binafsi. Njee ya hapo ni mji wenye mateso makubwa.
Uzi ufungwe hapa.
 
Basi sawa naona kwenye avatar sabato ilifana haswa πŸ˜…
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ila vijana wa hovyo nyie
 
Sasa ukweli usisemwe? Wengine tulifunzwa kuuishi ukweli πŸ˜‚
 
Dar es salaam ni nzuri kwa mtu mwenye kazi nzuri yenye mshahara mnono au mtu mwenye biashara kubwa zinazojiendesha zenyewe ,mtu mwenye nyumba nzuri ya kukaa na usafiri binafsi. Njee ya hapo ni mji wenye mateso makubwa.
Umemaliza Mkuu....
 
Dar ni Jehanam...kunya kwenye rambo..utumbo wa kuku...mbu..joto...maisha ya dudumizi...

Wenye pesa huko ndo peponi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…