Red black
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 5,962
- 17,648
hahahausimlaumu kaja na gari la mkaa toka kilosa morogoro
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahausimlaumu kaja na gari la mkaa toka kilosa morogoro
Wewe unaishi wapisjawahi fika, sijawahi ota io ndoto, labda mimi sio kijana wa kitanzania.
Nakubali, ur speaking from experience. Kipindi napiga umachinga kariakoo mvua ikija inalowesha sabuni nilizobeba, nashangaa mkonon nimebakiwa na povu tu!!! Dadeq hapo njaa inauma kama nnDar es salaam ni nzuri kwa mtu mwenye kazi nzuri yenye mshahara mnono au mtu mwenye biashara kubwa zinazojiendesha zenyewe ,mtu mwenye nyumba nzuri ya kukaa na usafiri binafsi. Njee ya hapo ni mji wenye mateso makubwa.
Hahahaha 😂😂😂na hii milima ya kukomaza vigimbiKwa jinsi hapo kihesa palivo pazuri, unaanzaje kuiwaza dar? 😀😀
DalesalamaWewe unaishi wapi
Uende dar afu Lindi utuache peke yetu weeee suubutuuuuu,,, tubaki wote hapa hapa lindi😀😀😀😀Hata mi binafsi napenda kuishi dar kwanza masuper star wote na matajiri wapo dar
Dalesalama, nataka nikutoe out mida fulani😅😅😅😅Dalesalama
Hahahaha 😂😂😂na hii milima ya kukomaza vigimbi
Lakini sijawahi fika😂🖐🏾Dalesalama, nataka nikutoe out mida fulani😅😅😅😅
Mimi nauli situmi 😁Lakini sijawahi fika😂🖐🏾
wap nmesema nataka nauli 🙄Mimi nauli situmi 😁
Labda ndoto ya wajinga.Bora ungesema kufika Dar.Dar ni Jiji la kwanza kwa maendeleo Tanzania na yamkini Afrika Mashariki.
Dar imejaa Fursa mbalimbali za kujikwamua Kiuchumi kwa kijana mtafutaji na mpambanaji hasa ambae ana lengo la kutoboa maishani. Lakini kijana huyu awe tayari kufanya kazi ya namna yoyote Mradi mkono uende kinywani.
Dar imejaa starehe na anasa za Kila namna ambazo asilimia kubwa sana zinawatoa kwenye reli vijana waliokuja kwa ajili ya kupambana, sababu damu inachemka hivyo starehe kwake inakua muhimu Sana kwa muda huo, changamoto vijana wengi wanashindwa kufikia malengo kwa kushindwa kubalance kati ya mapato na matumizi.
Dar ni sehemu hatari Sana kwa kijana ambae amekuja kiupambanaji lakini akawa mvivu wa mwili na akili akataka Kutumia short cut ili atoboe. Huyu ataangukia kwenye mikono ya ushoga, kubebeshwa madawa au kua jambazi/kibaka au utapeli. Maana ukubwa wa starehe uliopo utampeleka resi Apate pesa nyingi kwa haraka ili kumudu matumizi.
Dar ni sehemu sahihi sana kielimu kwa mtu aliyekuja kusoma, lakini kwa wanafunzi wa elimu ya juu ni sehemu hatarishi pia hasa Kwa wale ambao hawakua na malezi sahihi toka kwao. Mtoto anakuja kusoma anarudi na ukimwi. Utashangaa mtoto wa first year ana iPhone 15 pro max ambayo hata mzazi wake Hana uwezo wa kumiliki. So kaipataje, KATOA MZIGO kwa wadau.
Dar ni njiapanda ya ndoto za vijana wengi wanaotaka kwenda kuishi ughaibuni. Hapa nipo michongo yote na connection huanzia. Ukiwa hapa utajua Nini maana ya green card na unaipataje, utajua balozi zote zilipo na Fursa zao.
Dar ndio sehemu ambayo mtu anakaa anatunga kamradi tu kwa hovyo hovyo na kanaitika anapiga hela. Yamkini aliyeanzisha marathon hakujua kama Utakua mchongo Mkubwa wa watu kupiga hela either binafsi au kupitia mashirika...
HIYO NDIO DAR, ONGEZEA YA KWAKO..
KARIBUNI SANA DAR ES SALAAM ILA MUWE NA PASSPORT (kidding)
Unakuja kwa nauli yako sio.wap nmesema nataka nauli 🙄
Hii ndo the Best comment, Mkuu ume Sum up hakuna nyongeza katika hiliDar es salaam ni nzuri kwa mtu mwenye kazi nzuri yenye mshahara mnono au mtu mwenye biashara kubwa zinazojiendesha zenyewe ,mtu mwenye nyumba nzuri ya kukaa na usafiri binafsi. Njee ya hapo ni mji wenye mateso makubwa.
Ni wapi huko kuzuri kwa mtu asiye na kazi yenye mshahara mnono, asiye na biashara kubwa inayojiendesha,asiye na nyumba nzuri na usafiri binafsi? Maanake naona kama hivi ni vigezo vya maisha mazuri popote pale duniani.Dar es salaam ni nzuri kwa mtu mwenye kazi nzuri yenye mshahara mnono au mtu mwenye biashara kubwa zinazojiendesha zenyewe ,mtu mwenye nyumba nzuri ya kukaa na usafiri binafsi. Njee ya hapo ni mji wenye mateso makubwa.
Naona hao mambwiga wamevamia uzi.Mmesikia nyie watu wa Mkoa😁