Kuishi Dar ni ndoto ya Kila Mtanzania Kijana

Kuishi Dar ni ndoto ya Kila Mtanzania Kijana

😅😅😅
Wanakuambia Dar ni mji wa mateso..

Sasa sijui ni mji gani usiokuwa na mateso... na pengine mateso ya Dar yanaweza kuwa ni afadhali kuliko huko waliko.
Nipo Dar tangu ina watu chini ya 1m, leo kuna watu 6m plus hawa wote unafikiri wamezaliwa Dar? Hawa wametoka mikoani na wameamua kubaki baada ya kuona maisha bora kuliko walipotoka. ingekuwa kinyume wangekimbia wote kama wanavyokimbia mikoani kuijaza Dar.

Hakuna mji Tz hii watu wanaingia na kutoka kama Dar, na wanaoingia ni wengi kuliko wanaotoka.
 
📌📌📌📌📌📌📌📌
 
M
Ni wapi huko kuzuri kwa mtu asiye na kazi yenye mshahara mnono, asiye na biashara kubwa inayojiendesha,asiye na nyumba nzuri na usafiri binafsi? Maanake naona kama hivi ni vigezo vya maisha mazuri popote pale duniani.
Mwalimu wa primary anaelipwa 350,000 anaishi mbeya vijijini unaweza mlinganisha na mwalimu wa primary anaishi sinza kwa huo huo mshahara wa 350k
 
Nimezaliwa, kukua na kusoma Dar nursery hadi chuo na hata kikazi niko Dar

Nilipokuwa nikitoka nje ya Dar kwenda mikoa mingine nikagundua sio lazima kutoka kimaisha uwe Dar

Hata nje ya Dar kuna fursa nyingi sana, speaking from experience

Niliwahi kuwa kikazi Chunya, watu wengi kule akili zao ziko kwenye madini sana. Klimo ni kama hawakipi kipaumbele

Nililima mahindi, maharage na nyanya (nyanya nililima kando ya mto Lupa)

Mahindi na maharage nilikuwa nafuatwa na wamiliki wa makarasha ya kuchimbia madini wanakuja kununua mahindi na maharage shambani kwa ajili ya chakula cha wafanyakazi wao

Pale mto Lupa madalali wa nyanya walikuwa wanatuma guta kuja kujumua mzigo kutoka Chunya mjini

Nilihamishiwa tena Dar niliumia sana
 
1. Nairobi ndo mji ulioendelea Africa mashariki

2. Arusha ndo jiji la starehe Tanzania

3. Kama una hela unaweza kuishi popote, dar wanaenda wasio na hela kutafuta ramani
1. Nairobi ndo mji ulioendelea Africa mashariki

2. Arusha ndo jiji la starehe Tanzania

3. Kama una hela unaweza kuishi popote, dar wanaenda wasio na hela kutafuta ramani
Kwa jina lako tu Mkuu inabidi nikusamehe. Japo Kuna Mdau hapo juu amekukaribisha Dar ataku'host uje uutoe huo ushamba ... Na next time usifananishe Dar na Nairobi..
 
Back
Top Bottom