Kuishi Dar ni ndoto ya Kila Mtanzania Kijana

Kuishi Dar ni ndoto ya Kila Mtanzania Kijana

Labda ndoto ya wajinga.Bora ungesema kufika Dar.

Naweza ishi Dar Kwa kulazimika sio kupenda.

Ingekuwa mambo ni simple hivyo Dar isingejaa watu wanaolala Nje,ma slums,kunuka Kila sehemu na umaskini uliotopea.

Mwisho population ya Dar inazidi kuoungua in favour of other places,Sasa hiyo ndoto Yako ni vipi? 👇👇View attachment 2996517
Unajua sababu ya kupungua Mr. Statician????? Kama unajua nijuze halafu nikwambie namimi
 
Nipo Dar tangu ina watu chini ya 1m, leo kuna watu 6m plus hawa wote unafikiri wamezaliwa Dar? Hawa wametoka mikoani na wameamua kubaki baada ya kuona maisha bora kuliko walipotoka. ingekuwa kinyume wangekimbia wote kama wanavyokimbia mikoani kuijaza Dar.
Hakuna mji Tz hii watu wanaingia na kutoka kama Dar, na wanaoingia ni wengi kuliko wanaotoka.
Sasa Kuna jamaa yako sijui ni page ya pili anatuletea data za Dar kupungua wahamiaji na kwamba Katavi inaongoza.... Nimemkubalia Ila nikamuomba anipe sababu.... Nasubiria jibu
 
Dar es salaam ni nzuri kwa mtu mwenye kazi nzuri yenye mshahara mnono au mtu mwenye biashara kubwa zinazojiendesha zenyewe ,mtu mwenye nyumba nzuri ya kukaa na usafiri binafsi. Njee ya hapo ni mji wenye mateso makubwa.
Umepiga kwenye mshono
 
Jibu ni simple Mabotesho ya Miundombinu ya Uchumi na Huduma Mikoani
Sio kweli😅😅.... Maisha Dar Yamekua Magumu kwa watu wengi ambao hawajishughulishi.... So wanapungua Mdogo Mdogo kwenda kulima huko mikoani.... Maana nyumba za kupanga Bei juu na vitu kwa ujumla... Zamani Kigamboni ulipata Chumba selfu kwa 50k Sasa hivi minimum ni 100k Tena single tu, likewise upande wa Msosi.

Mambo ya miundo mbinu and so forth kwa Tanzania bado Sana. Watu wa nje (wageni) ndio wanahamia au ku'invest sababu ya miundombinu ya let's say barabara na hospitali. Ila kibongo bongo tunahama tu kutokana na changamoto za maisha.
 
Sasa Kwa staili hiyo nani anataka kukaa Dar kama maisha ni magumu? Watu wanakimbia Jiji nyie mnasema ni ndoto ya kuishi 🤣🤣
 
Dar ndio makutano ya makabila yote yaliyo beba kila aina ya uchawi,majini,mizimwi na njia panda ya kwenda kwetu motoni kwa shetani
Na huko uswahilini daressalam wanarogana kwelikweli,. Inafikia mpaka mtu kununua godoro tu la kulalia anashindwa,miaka nenda rudi analalia mkeka............wakuu daressalam watu wanarogana ili wote wafanane
 
Back
Top Bottom