Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Kiruunitakula
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiruunitakula
N.AKwani uko wapi mkuu, Mars?
ntaenda kushangaa nikiwa mkubwaNdio inavyotakiwa
sitaniiKiruu
Dar ! sio mahali pa kuishi hata unipe Shell ya mafuta nyumba na vx v8 na Mke mzungu sikai .Jiji chafu hewa chafu Kariakoo huko mnakanyaga vinyesi usafiri tabu Maji tabu Kila kitu tabu unatembea unawaza wallet huku unafikiria vibaka kitaa unalala saa 5 usiku unaamka saa 10 usiku unatuambiaje Dar kuzuriDar ni Jiji la kwanza kwa maendeleo Tanzania na yamkini Afrika Mashariki.
Dar imejaa Fursa mbalimbali za kujikwamua Kiuchumi kwa kijana mtafutaji na mpambanaji hasa ambae ana lengo la kutoboa maishani. Lakini kijana huyu awe tayari kufanya kazi ya namna yoyote Mradi mkono uende kinywani.
Dar imejaa starehe na anasa za Kila namna ambazo asilimia kubwa sana zinawatoa kwenye reli vijana waliokuja kwa ajili ya kupambana, sababu damu inachemka hivyo starehe kwake inakua muhimu Sana kwa muda huo, changamoto vijana wengi wanashindwa kufikia malengo kwa kushindwa kubalance kati ya mapato na matumizi.
Dar ni sehemu hatari Sana kwa kijana ambae amekuja kiupambanaji lakini akawa mvivu wa mwili na akili akataka Kutumia short cut ili atoboe. Huyu ataangukia kwenye mikono ya ushoga, kubebeshwa madawa au kua jambazi/kibaka au utapeli. Maana ukubwa wa starehe uliopo utampeleka resi Apate pesa nyingi kwa haraka ili kumudu matumizi.
Dar ni sehemu sahihi sana kielimu kwa mtu aliyekuja kusoma, lakini kwa wanafunzi wa elimu ya juu ni sehemu hatarishi pia hasa Kwa wale ambao hawakua na malezi sahihi toka kwao. Mtoto anakuja kusoma anarudi na ukimwi. Utashangaa mtoto wa first year ana iPhone 15 pro max ambayo hata mzazi wake Hana uwezo wa kumiliki. So kaipataje, KATOA MZIGO kwa wadau.
Dar ni njiapanda ya ndoto za vijana wengi wanaotaka kwenda kuishi ughaibuni. Hapa nipo michongo yote na connection huanzia. Ukiwa hapa utajua Nini maana ya green card na unaipataje, utajua balozi zote zilipo na Fursa zao.
Dar ndio sehemu ambayo mtu anakaa anatunga kamradi tu kwa hovyo hovyo na kanaitika anapiga hela. Yamkini aliyeanzisha marathon hakujua kama Utakua mchongo Mkubwa wa watu kupiga hela either binafsi au kupitia mashirika...
HIYO NDIO DAR, ONGEZEA YA KWAKO..
KARIBUNI SANA DAR ES SALAAM ILA MUWE NA PASSPORT (kidding)
BalaaaDar ni sehemu ya fursa Kwa mwenye fursa ...tofauti Na hapo ni pagumu sana.....juzi nilitembelea kitambaa cheupe club moja ya usiku huko Tabata daressalam, kuna Dada mmoja anaitwa mashalove ,aisee anadhalilishwa Na njemba halafu yeye anasema eti anapiga hela..aisee Yale sio maisha
N.A Kubwa... Taja Particular state/province ili hata nijue nabishana na mtu wa kariba gani..😅😅.... Isijekua unaishi Haiti Mzee halafu tunabishana ... Au upo Jamaica... Maana kote ni N.A na ukiwa Jamaica basi muda huu upo 'jani'😅
Dar ni mkusanyiko mkubwa wa matapeli. Tuliotembea majiji ya maana hatushtuki na dar.Dar ni Jiji la kwanza kwa maendeleo Tanzania na yamkini Afrika Mashariki.
Dar imejaa Fursa mbalimbali za kujikwamua Kiuchumi kwa kijana mtafutaji na mpambanaji hasa ambae ana lengo la kutoboa maishani. Lakini kijana huyu awe tayari kufanya kazi ya namna yoyote Mradi mkono uende kinywani.
Dar imejaa starehe na anasa za Kila namna ambazo asilimia kubwa sana zinawatoa kwenye reli vijana waliokuja kwa ajili ya kupambana, sababu damu inachemka hivyo starehe kwake inakua muhimu Sana kwa muda huo, changamoto vijana wengi wanashindwa kufikia malengo kwa kushindwa kubalance kati ya mapato na matumizi.
Dar ni sehemu hatari Sana kwa kijana ambae amekuja kiupambanaji lakini akawa mvivu wa mwili na akili akataka Kutumia short cut ili atoboe. Huyu ataangukia kwenye mikono ya ushoga, kubebeshwa madawa au kua jambazi/kibaka au utapeli. Maana ukubwa wa starehe uliopo utampeleka resi Apate pesa nyingi kwa haraka ili kumudu matumizi.
Dar ni sehemu sahihi sana kielimu kwa mtu aliyekuja kusoma, lakini kwa wanafunzi wa elimu ya juu ni sehemu hatarishi pia hasa Kwa wale ambao hawakua na malezi sahihi toka kwao. Mtoto anakuja kusoma anarudi na ukimwi. Utashangaa mtoto wa first year ana iPhone 15 pro max ambayo hata mzazi wake Hana uwezo wa kumiliki. So kaipataje, KATOA MZIGO kwa wadau.
Dar ni njiapanda ya ndoto za vijana wengi wanaotaka kwenda kuishi ughaibuni. Hapa nipo michongo yote na connection huanzia. Ukiwa hapa utajua Nini maana ya green card na unaipataje, utajua balozi zote zilipo na Fursa zao.
Dar ndio sehemu ambayo mtu anakaa anatunga kamradi tu kwa hovyo hovyo na kanaitika anapiga hela. Yamkini aliyeanzisha marathon hakujua kama Utakua mchongo Mkubwa wa watu kupiga hela either binafsi au kupitia mashirika...
HIYO NDIO DAR, ONGEZEA YA KWAKO..
KARIBUNI SANA DAR ES SALAAM ILA MUWE NA PASSPORT (kidding)
Uwekezaji wa kitalii huko umefanya kuwe ni sehemu nzuri ya kustarehe kwa matajiri
Mfano Arusha ndo jiji lenye hoteli nyingi za nyota 5 tz
Sijui kama zenji ni Jiji sasa😅kuliko zenj?
Napenda nauli yangu kuliwasitanii
bila shaka unajua jinsi ya kushughulika na wala nauliNapenda nauli yangu kuliwa
Sir.Makonda aliwai kunukuliwa aki waambia enzi mkuu wa mkoa dar es salaam aliwai kunukuliwa akisema UKIJA DAR ES SALAM KUTEMBEA KWA NDUGU USIKAE SANAAHuku ulikomalizia Ndio ulikuwa ujumbe wako
Sasa suala la passport hapo limekujaje
Una Maneno Sana wewe. Unataka kuchafua tena Hali ya hewa na ilishatulia.
Tafuta hela Mkuu, hata Dubai Kuna joto Kali... Ila wanaishi!!!Hali ya hewa ya dar+ mazingira haijawahi nishawishi hata niishi tu kwa mwaka hapo...jiji Lina harufu kama janaba....joto kila sehemu hadi mtu unaweza pandwa na uazimu...Mimi hapana aysee ....usiniweke kweny list