Kuishi Dar ni ndoto ya Kila Mtanzania Kijana

Dar es salaam ni nzuri kwa mtu mwenye kazi nzuri yenye mshahara mnono au mtu mwenye biashara kubwa zinazojiendesha zenyewe ,mtu mwenye nyumba nzuri ya kukaa na usafiri binafsi. Njee ya hapo ni mji wenye mateso makubwa.
Nakubali, ur speaking from experience. Kipindi napiga umachinga kariakoo mvua ikija inalowesha sabuni nilizobeba, nashangaa mkonon nimebakiwa na povu tu!!! Dadeq hapo njaa inauma kama nn
 
Mimi sitaki hata kukisikia hicho kijiji cha uvuvi.

Na ni ulimbukeni mkubwa kujivunia et kuishi kijiji cha uvuvi
 
Labda ndoto ya wajinga.Bora ungesema kufika Dar.

Naweza ishi Dar Kwa kulazimika sio kupenda.

Ingekuwa mambo ni simple hivyo Dar isingejaa watu wanaolala Nje,ma slums,kunuka Kila sehemu na umaskini uliotopea.

Mwisho population ya Dar inazidi kuoungua in favour of other places,Sasa hiyo ndoto Yako ni vipi? πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Dar es salaam ni nzuri kwa mtu mwenye kazi nzuri yenye mshahara mnono au mtu mwenye biashara kubwa zinazojiendesha zenyewe ,mtu mwenye nyumba nzuri ya kukaa na usafiri binafsi. Njee ya hapo ni mji wenye mateso makubwa.
Hii ndo the Best comment, Mkuu ume Sum up hakuna nyongeza katika hili
 
Dar es salaam ni nzuri kwa mtu mwenye kazi nzuri yenye mshahara mnono au mtu mwenye biashara kubwa zinazojiendesha zenyewe ,mtu mwenye nyumba nzuri ya kukaa na usafiri binafsi. Njee ya hapo ni mji wenye mateso makubwa.
Ni wapi huko kuzuri kwa mtu asiye na kazi yenye mshahara mnono, asiye na biashara kubwa inayojiendesha,asiye na nyumba nzuri na usafiri binafsi? Maanake naona kama hivi ni vigezo vya maisha mazuri popote pale duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…