Kuishi kwingi kuona mengi: Soma kisa nilichokiona Kawe

Nimesoma comments za juu zote kumbe makanisani kuna vioja vikubwa sana
Ndio maana kuna rafiki zangu wakiristo ukiwambia waende kanisani wanakataa sijui kiliwakuta nini kutoka kwa wachungaji
Eti wanakataa. Sasa nao wameangushwa?
 
Bora yetu sisi Waislamu huwa tukishuka chini labda ni kwenye sujutu tunasujudu na ufahamu wetu juu ya Allah S.W, kipitia Mtume wa Allah Muhammad S.A.W

Ikitokea ufahamu umemtoka yeyote basi akiamka sharti akashike udhu upya na matendo yote aliyokuwa akiyafanya muda ule yanakuwa si dhima yake...Allah S.W. anakuwa ameshamsamehe tayari...

Waislamu Takbeer!
 
Hata Wakristu unaomba ukiamini unapona.
 
Umenikumbusha mchizi wangu mmoja aliwahi nambia alienda kuombewa wote wana dondoka yeye kakaza tu. yule bwana anamsukuma kwa nguvu yeye kakausha tu

alipozidi sukumwa akaona yaishe tu akaanguka na yeye.

wanamaombi watakuja na ufafanuzi.
Mimi nilishasukumwa nikang'ang'ania shati la mchungaji tukaanguka wote na maombi yakaishia pale pale.
 
Chai
 
Manabii wa uongo wako wengi sana,wanatumia mbinu nyingi sana kuwarubuni watu na shida zao kupitia miujiza,just imagine mtu anakuwekea mkono halafu anaanza kukusukuma ili uanguke apate kuwasadikisha watu kuwa una pepo,kwanini unisukume.Hizi ni siku za mwisho inatakiwa tuwe waangalifu sana,kwani walishatabiriwa hata kwenye maandiko ya dini siku nyingi kuwa watatokea...
 
Huu ulimwengu hatujauumba sisi tumezaliwa tumeukuta. Kama unatambua uwepo wa uchawi naamini utaamini kuna Mungu. Wewe jiulize tu maswali rahisi tu kwanini hakuna siti namba 13 kwenye Ndege, Wewe jiuliza tu unaambiwa mtu kafa hivi nini kinaondoka mwilini maana kila kitu ukikagua vipo mwilini lakini hapumui. Jiulize vijiswali vyepesi tu inakuaje Mtu anatoa kafara familia yake kisha anakuwa Tajiri,Hivi nini kinamkuta mtu tunayeambiwa anayo Mapepo unakuta Mtu anapiga kelele anapiga ukuta vichwa, anazama kwenye maji masaa mpaka mawili akiwa Hana mtungi wa gesi pamoja na yote akiombewa na Sheikh au Mchungaji anapona na anaendelea na Shughuli zake, Jiulize nini dhumuni la wewe kuwepo duniani, Natakua kujua kwanini haujiulizi Dunia imetengenezwa na nani na ni Fundi wa aina gani.Jichunguze mwenyewe kisha jiulize tu kwanini Daktari wa Macho kwanini hawezi kutibu moyo halafu jiulize ni nani anaweza kutibu vyote. Umewahi kufikiri kwanini Madaktari nguli lakini bado wanakwenda Ibadan. Umewahi kuona watu wanapasua Nazi njia panda? Au kuchinja Mbuzi njia panda, Leo fikiria kwa upana zaidi Hivi walioandika vitabu vitKatifu walikuwa na upeo gani wa kufikiri?. Jiulize vijiswali vidogo hivyo kisha njoo utujibu..
 
Daah, umenikumbusha mdau mmoja alikua anakubalika sana home. Kila baada ya mda alikua anakuja kusali na sisi. One day ilikua siku ya maombezi family nzima. Inafika zamu yangu kuombewa, daaah, jamaa vile vifundo vya rozari ndio kanibania sikio plus mkono mwingine anapush kwa nguvu kwenye paji la uso. Nilikomaa kuwa stable cz nilijua lengo lake anataka nipige "yowe" kwa maumivu ya sikio na nidondoke kwa ile pulling. Mpk leo haziivi hata akija kuwaombea hapo home
 
Ungeuliza wenyewe maana ya kuanguka nini; labda ndio utaratibu wakati wa kuombewa. Sasa wewe uliamua kutoka na tafsiri yako. "Don't apply saliva as your writing tool while the pen is there there!"
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]...there there...hapo hapo
 
Ungeuliza, jamani. They who ask, remain fool for five minutes; they who don't ask, remain fool forever. ~ Chinese Proverb
Samahani mkuu... Usipojua unawauliza waujuao... Je nikwanini HUA wanaanguka?... Kumuombea mtu na kuanguka kunauhusiano gani
 
Hebu toa sababu , ulienda kufanya nn?
Mkuuu.... Sikwenda kufanya research ya Watu kuanguka .. Ndugu Yangu aliniona hali Yangu..akanishauri niende huko... Imani Yangu ilikua haba Kama SI hamna.

Tena nishawai kwenda na kanisa Moja pale posta PSSF TOWER sijui saiv linaitwaje....wale hawakuanguka ..Ila miss ilikua ya kiingereza SIKUELEWA KITU.
 
Shida Sio kuomba kwa Imani...shida ni kuanguka .... Anguka
Mkuu,

Kuanguka ishara ya kufunguliwa ("maombi ni ya deliverance"), ile nguvu ya mauzauza ambayo siyo halisi inayokutesa inakuwa imekemewa kwa mamlaka na inaondoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…