Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

Nimeipenda hiyo sentensi ya mwisho! Ndio mkome mnajitiaga wajuaji sana nyie kuchezea akili za mabinti wa watu mwisho wa siku kamba hukatikia pabovu, unakua umeruka mkojo umekanyaga nnyaaa! Mpo wengi wala hauko pekeako! Anyway, poleni!
 
Umetaja kono, umesahau guu la kinyaki....guu kama gogo!
 
Hv nyie wanaume humu mnakosaga vya kuongea kila siku wanawake hivi mara vile khe hamuon haya? Wote tabia zetu sawa hata nyinyi ni pasua kichwa ila tu tunanyamaza hatupendi karaha za moyo kifupi hakyna alietimia kwenden hukoo
 
Hv nyie wanaume humu mnakosaga vya kuongea kila siku wanawake hivi mara vile khe hamuon haya? Wote tabia zetu sawa hata nyinyi ni pasua kichwa ila tu tunanyamaza hatupendi karaha za moyo kifupi hakyna alietimia kwenden hukoo
Sasa jukwaa la MMU unategemea upate habari za Trump?

Panuwa akili, usipanuwe mapaja tu.
 
Yaaan we dada kwa andika lako ili nashawishika kuamini adi sasa ushaachika au unakaribia kuachika au ndoa yako iko motoo.
 
aisee hawa viumbe ukiwaendekeza unaibuka na ugonjwa wa MOYO, na punde unakuwa mgeni wa Hospitali ya APOLLO, INDIA.
 
hawa viumbe unapaswa kuwa na busara, vinginevyo unaweza kumchakaza ghafla makonde mfululizo.
 
Hv mnajua Kua wanaume mnatubadilisha, ,?tunakua nA roho mbaya Kwa yale mnayotufanyia mkiwa wazima...hapo mtalaumu mke..je mnajua huyo baba alipokua mZima aliishije nA mke wake? ?yani from no whre mke asimuhudumie tu??kuna sababu....we braza kazini mfwate shem wako muulize sababu ulete mrejesho wa upande WA 2..
 
Laiti hao wanaitwa "WAKE" wangejua maisha tuliyoishi mpaka wanatuona tumependeza mijini kwa umaridadi na magari/assets tulizo nazo. Leo hii jitu limeolewa tu linaleta mdomo na uvivu reja reja.
 
Labda jamaa ni kicheche
 
Hata huo mkeka ukifika makaburini nnarudi nao na kwenda kulalia mliopo hai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…