establishment
JF-Expert Member
- Jun 27, 2015
- 1,632
- 2,435
- Thread starter
- #301
wake zetu sometimes mnatafutaga ugomvi kwa lazima, yaani mpo kinamna fulani hivi amazing!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hapo ni bora tu talaka ihusike kila mtu achukue 50 zakeMimi ukinitafutia mwenzangu na mm natafuta mwenzio ngoja droo
Haswaaaaadaaah laiti wanawake wote wangekuwa na akili kama zako tungekuwa na raha
Oa kwanza ndo uje hukuMe ndo naogopaaa mnapoyaweka bayana haya .Mungu wangu nitaoa kwl mie?
Nianze kwa kusema mimi ni kijana wa miaka 35 sasa, nimeoa mwaka wa 6 huu, na nina watoto wawili, ila ujumbe wangu wa leo vijana mnapoamua kuoa muwe mmemaanisha hawa wake zetu unahitaji akili ya ziada kuishi nao wengi wana upeo wa chini sana na wasahaulifu kupitiliza.
Hivyo kijana usipokuwa muelewa unaweza kuwa unagombana nao kwa sababu ambazo unaweza kuziepuka.
NB: Binafsi katika miaka hiyo ya ndoa nimejifunza na kushuhudia mengi upo wakati nilitaka kuachana na mke wangu kwa kelele zake na kutofuata ninachotaka mimi. Ila baadae nikaamua kumpotezea nimeamua kuwa kimya kama mjinga flani hivi ila akili kumkichwa.
UPDATE: 22 Novemba 2016
Wake zetu tunawapenda sana ila mnaongea mno kupitiliza. Binafsi situmii kilevi, wala si mtu outgoing kivile isipokuwa mara chache nikiwa na pesa kidogo tunatafuta outing na familia ufukweni au nje ya mji Bagamoyo ama Lushoto au Arusha. Lakini sasa huyu mke wangu yeye hataki nifanye kazi na mwanamke yeyote, duuh! Hili kwangu haliwezekani maana kwa kazi yangu nakutana na wengi (wanaume & wanawake).
Pia usafi chumbani ni ovyo ovyo si usafi wa kitanda wala nguo za ndani, nimezungumza mpaka nimechoka, kuna wakati fulani dada wa kazi eti alikuwa anafanya usafi chumbani kwetu, bila kuingilia kati huenda angepewa na cchuup afue.
Nimeamua kuwa mhanga nafua nguo za ndani ninazozikuta kwenye tenga (zikiwemo zake) na kufanya usafi chumbani.
**Ila akili kichwani asee hapa nimechamba nimeibuka na nnyaa
Mmmhhh...makubwa!!Isee yani ni zaidi ya uvumilivu,mi mke wangu wa ndoa isee akinipa malavidav usiku asubuhi ananidai hela,ukimuuliza anakwambia jana si nimekupa!isee
Umetaja kono, umesahau guu la kinyaki....guu kama gogo!Haha walituonea tu. Wakisema wanyaki ni wakorofi/wababe ntawaelewa. In fact sisi sio wakorofi, ni tuna misimamo yetu, hatupelekeshwi kidwanzi, tutakurudisha tu mstarini. Afu na miili yetu nayo bana, kitu kimepanda kule, mwili jumba, kono hiloo teh. Kuhusu kurestisha wanaume, haijawahi kuwa sifa yetu honestly,
SureKuishi na mwanamke kunahitaji akili..na hapo ndo uanaume wako unapotakiwa kuonekana
Sasa jukwaa la MMU unategemea upate habari za Trump?Hv nyie wanaume humu mnakosaga vya kuongea kila siku wanawake hivi mara vile khe hamuon haya? Wote tabia zetu sawa hata nyinyi ni pasua kichwa ila tu tunanyamaza hatupendi karaha za moyo kifupi hakyna alietimia kwenden hukoo
Yaaan we dada kwa andika lako ili nashawishika kuamini adi sasa ushaachika au unakaribia kuachika au ndoa yako iko motoo.hebu mtupishe, kuna watu wanavumilia kwenye ndoa kama wanawake? tena sio kumvumilia mume tu, unamvumilia mume, wakwe, mawifi na mashemji, tatizo lenu wanaume mnapenda kuabudiwa na hizo zama za mama zetu na bibi zetu zilishapita na wao walikuwa na haki ya kuwanyeyekea sababu walikuwa wanakaa tu nyumbani kazi kuu ni kuzaa na kulea na kumuhudumia mume, sasahv nimwendo wa sawa kwa sawa, haiwezekani wote tunatoka asubuhi kila siku tunarudi wote jioni mwisho wa mwenzi wote tunaleta mezani mishahara, alafu utake kujifanya mfalme wa nyumba. Maisha ya sasa ni kusikilizana na kuelewana kiustaarabu tu nyumba itaenda ila ukileta ubabe kweli ndoa utaiona chungu
Hahaha umenifanya niangalie mlonjo wangu lolUmetaja kono, umesahau guu la kinyaki....guu kama gogo!
Labda jamaa ni kichecheHv mnajua Kua wanaume mnatubadilisha, ,?tunakua nA roho mbaya Kwa yale mnayotufanyia mkiwa wazima...hapo mtalaumu mke..je mnajua huyo baba alipokua mZima aliishije nA mke wake? ?yani from no whre mke asimuhudumie tu??kuna sababu....we braza kazini mfwate shem wako muulize sababu ulete mrejesho wa upande WA 2..
Umenichekesha sana Shemeji.Hv mtu umuoe kama Sepenga, Wolpa au Babbra si kujitafutia ugonjwa wa moyo aisee.
Hata huo mkeka ukifika makaburini nnarudi nao na kwenda kulalia mliopo haikuna vitu nawakubali waislamu, ikiwemo;
1. Sherehe ya kuoa (Harusi) - Huitaji mamilioni kufanya harusi ukiwa na laki moja (100,000/= TSH) unafanya harusi ya maandazi na chai, shughuli imeisha. Tofauti na Wagalatia harusi inafika mpaka 100m Tsh.
2. KUOA WAKE mpaka WANNE kwa mkupuo (na upo uwezekano wa kuwaacha kwa talaka wote kwa mpigo na ukaanza upya mchakato).
3. Utaratibu wa MAZISHI gharama ni sanda tu mbwembwe za makemera, jeneza sijui T-shirt, miwani, kuaga/kutoa salama za unafiki mara ya mwisho hakuna, ni kukamuliwa kisha kuwekwa kwenye mkeka na kwenda kuzikwa.