Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

Hata wanaume inahitaji moyo wa jiwe tena jiwe gumuuuuu
 
Kiukweli hawa watu ni shida, unaweza kulala kwa raha Ile asubuhi tu unaamka akakuharibia siku, either utashinda na full shangwe Ile inaingia nyumbani hata hujapoa ushakuwa kero.
 
ila imani yao ya kuruhusu kuoa mpaka wake wanne kwa pamoja na ruhusa ya talaka (kwa wote wanne) na kuruhusiwa kuanza upya ni jambo zuri. Halipaswi kupuuzwa hata kidogo.
Mimi Kinachonifurahisha Ni Kwamba Kama Umempenda Demu, Unatafuta Mshenga, Anapeleka Posa Hata Tsh 50,000 Na Pesa Ya Miwani Ya Msomaji Wa Barua Tsh 15,000. Then Baada Ya Hapo Unatambulika Kama Mume Kwao Na Unaweza Kwenda Kwao Siku Yoyote Muda Wowote Kula Mzigo Na Kumzalisha Kabisa For Only Tsh 65,000/=

Kwetu Kishika Uchumba Tu Kuanzia Tsh 100,000 Wala Hata Hawakuruhusu Kumgusa Na Hakirudishwi. Mahari Sasa Rafiki Yangu Kaoa Ng'ombe 25 !
 
Mkuu nimekupm
 
Mwanamke siku zote hakosei, mkosefu ni wewe tu mwanaume. Ukiona kasoro kwa Mkeo ujue wewe ndiye ambaye ulipaswa kuirekebisha hiyo kasoro mapema kabla hujaiona. na kuirekebisha kasoro sio lazima kwa fimbo ama adhabu ya aina yoyote bali vile uwezavyo kulingana ya uelewa na malezi ya mke mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…