Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

Hata wanaume inahitaji moyo wa jiwe tena jiwe gumuuuuu
 
Nianze kwa kusema mimi ni kijana wa miaka 35 sasa, nimeoa mwaka wa 6 huu, na nina watoto wawili, ila ujumbe wangu wa leo vijana mnapoamua kuoa muwe mmemaanisha hawa wake zetu unahitaji akili ya ziada kuishi nao wengi wana upeo wa chini sana na wasahaulifu kupitiliza.

Hivyo kijana usipokuwa muelewa unaweza kuwa unagombana nao kwa sababu ambazo unaweza kuziepuka.

NB: Binafsi katika miaka hiyo ya ndoa nimejifunza na kushuhudia mengi upo wakati nilitaka kuachana na mke wangu kwa kelele zake na kutofuata ninachotaka mimi. Ila baadae nikaamua kumpotezea nimeamua kuwa kimya kama mjinga flani hivi ila akili kumkichwa.

UPDATE: 22 Novemba 2016
Wake zetu tunawapenda sana ila mnaongea mno kupitiliza. Binafsi situmii kilevi, wala si mtu outgoing kivile isipokuwa mara chache nikiwa na pesa kidogo tunatafuta outing na familia ufukweni au nje ya mji Bagamoyo ama Lushoto au Arusha. Lakini sasa huyu mke wangu yeye hataki nifanye kazi na mwanamke yeyote, duuh! Hili kwangu haliwezekani maana kwa kazi yangu nakutana na wengi (wanaume & wanawake).

Pia usafi chumbani ni ovyo ovyo si usafi wa kitanda wala nguo za ndani, nimezungumza mpaka nimechoka, kuna wakati fulani dada wa kazi eti alikuwa anafanya usafi chumbani kwetu, bila kuingilia kati huenda angepewa na cchuup afue.

Nimeamua kuwa mhanga nafua nguo za ndani ninazozikuta kwenye tenga (zikiwemo zake) na kufanya usafi chumbani.
**Ila akili kichwani asee hapa nimechamba nimeibuka na nnyaa.

27 Januari, 2017
Miaka kadhaa ya NDOA, nina USHUHUDA


Kiukweli hawa watu ni shida, unaweza kulala kwa raha Ile asubuhi tu unaamka akakuharibia siku, either utashinda na full shangwe Ile inaingia nyumbani hata hujapoa ushakuwa kero.
 
ila imani yao ya kuruhusu kuoa mpaka wake wanne kwa pamoja na ruhusa ya talaka (kwa wote wanne) na kuruhusiwa kuanza upya ni jambo zuri. Halipaswi kupuuzwa hata kidogo.
Mimi Kinachonifurahisha Ni Kwamba Kama Umempenda Demu, Unatafuta Mshenga, Anapeleka Posa Hata Tsh 50,000 Na Pesa Ya Miwani Ya Msomaji Wa Barua Tsh 15,000. Then Baada Ya Hapo Unatambulika Kama Mume Kwao Na Unaweza Kwenda Kwao Siku Yoyote Muda Wowote Kula Mzigo Na Kumzalisha Kabisa For Only Tsh 65,000/=

Kwetu Kishika Uchumba Tu Kuanzia Tsh 100,000 Wala Hata Hawakuruhusu Kumgusa Na Hakirudishwi. Mahari Sasa Rafiki Yangu Kaoa Ng'ombe 25 !
 
(mtoto wa mjini) huko kyela ni majanga kimombo wanawaita "power monger" na hili linaanzia kwao kwa wazazi wake, kila kitu chako wazazi watajua. chunguza kuanzia wakati wa mahari, send off na harusi. ningekushauri kama kuna ulazima wa kuoa mkoa wa mbeya japo uje TUKUYU au maeneo ya SONGWE ukielekea TUNDUMA ndo kuna afadhali kidogo. Vinginevyo Mbeya unaenda kununua Ugonjwa wa Moyo.
Mkuu nimekupm
 
Mwanamke siku zote hakosei, mkosefu ni wewe tu mwanaume. Ukiona kasoro kwa Mkeo ujue wewe ndiye ambaye ulipaswa kuirekebisha hiyo kasoro mapema kabla hujaiona. na kuirekebisha kasoro sio lazima kwa fimbo ama adhabu ya aina yoyote bali vile uwezavyo kulingana ya uelewa na malezi ya mke mwenyewe.
 
Back
Top Bottom