[emoji109]Mimi nadhani kuishi pamoja kama mume na mke ndo kunahitaji uvumilivu.
Wote mvumiliane na sio uvumilivu uwe wa upande mmoja tu.
Kumwona mwenzio ndiye mwenye mapungufu na wewe kujiona uko timilifu nayo ni mapungufu.
Unashindana nae ili iweje? Huyo mumeo kweli!!!!!Mimi ukinitafutia mwenzangu na mm natafuta mwenzio ngoja droo
Msishangae kusikia wanamwagiwa Maji ya moto,ni sikio LA kufa.Unashindana nae ili iweje? Huyo mumeo kweli!!!!!
Hamuwezi kuishi kwa kukomoana hata kidogo, mmoja akitetereka basi chukua nafasi yako kumsaidia arudi kwenye mstari.
Braza ndoa haitakiwi iwe ya mateso,eti kuvumiliana,ndoa haitaki uvumilivu bali upendo wa dhati!!Kumbuka upendo hubeba yote ila uvumilivu ni kuahirisha tu matatizo uliyonayo and u wish for better days to come pia uvumilivu huwa na kikomo!!Kuna wakati mapenzi huwa yanaisha baina ya wanandoa na hii huzalisha dharau,kiburi na mambo mengine kama hayo!!Unapogundua mapenzi yamekwisha na mnaishi kwa mazoea tu,jiongeze usikae kimya eti kwa kufunika kombe mwanaharamu apite,huko ni kulea ujinga!!Jiongeze angalia usife kwa presha!Nianze kwa kusema mimi ni kijana wa miaka 35 sasa, nimeoa mwaka wa 6 huu, na nina watoto wawili, ila ujumbe wangu wa leo vijana mnapoamua kuoa muwe mmemaanisha hawa wake zetu unahitaji akili ya ziada kuishi nao wengi wana upeo wa chini sana na wasahaulifu kupitiliza.
Hivyo kijana usipokuwa muelewa unaweza kuwa unagombana nao kwa sababu ambazo unaweza kuziepuka.
NB: Binafsi katika miaka hiyo ya ndoa nimejifunza na kushuhudia mengi upo wakati nilitaka kuachana na mke wangu kwa kelele zake na kutofuata ninachotaka mimi. Ila baadae nikaamua kumpotezea nimeamua kuwa kimya kama mjinga flani hivi ila akili kumkichwa.
cc. Sekretarieti ya Ndoa Mkoa wa KILIMANJARO.
Duuuuh!!! Yakikushinda kabisa kuliko ufikie huko kwa kumwagiana maji ya moto au nawe kuchepuka ni bora tu ujitoe.Msishangae kusikia wanamwagiwa Maji ya moto,ni sikio LA kufa.
Cha ajabu kipi hapoHehehehehe eti fiesta
Isee yani ni zaidi ya uvumilivu,mi mke wangu wa ndoa isee akinipa malavidav usiku asubuhi ananidai hela,ukimuuliza anakwambia jana si nimekupa!iseeNianze kwa kusema mimi ni kijana wa miaka 35 sasa, nimeoa mwaka wa 6 huu, na nina watoto wawili, ila ujumbe wangu wa leo vijana mnapoamua kuoa muwe mmemaanisha hawa wake zetu unahitaji akili ya ziada kuishi nao wengi wana upeo wa chini sana na wasahaulifu kupitiliza.
Hivyo kijana usipokuwa muelewa unaweza kuwa unagombana nao kwa sababu ambazo unaweza kuziepuka.
NB: Binafsi katika miaka hiyo ya ndoa nimejifunza na kushuhudia mengi upo wakati nilitaka kuachana na mke wangu kwa kelele zake na kutofuata ninachotaka mimi. Ila baadae nikaamua kumpotezea nimeamua kuwa kimya kama mjinga flani hivi ila akili kumkichwa.
cc. Sekretarieti ya Ndoa Mkoa wa KILIMANJARO.
Hahaha hakunihusu kwa kweli, me ni mke mwemaHeaven Sent dota, hivi hakukuhusu huku kweli?
Kwa kweli toka tu. Kisa cha kuuana muache watoto wanataabika?Duuuuh!!! Yaikushinda kabisa kuliko ufikie huko kwa kumwagiana maji ya moto au nawe kuchepuka ni bora tu ujitoe.
Maybe sie tunajiona wavumilivu nao wanajiona wavumilivu zaidi, kila mmoja anavutia kamba kwake.Hahaha hakunihusu kwa kweli, me ni mke mwema
Hivi jamani kuna watu wavumilivu kwenye ndoa kama wanawake. Na ile slogan yetu "For the sake of my kids? ?????. So far ndoa ni kuvumiliana coz no one is perfect
Exactly. Kumbe wote ni tunavumiliana. Ila ni rahisi sana kuona mapungufu ya mwenzio kuliko ya kwakoMaybe sie tunajiona wavumilivu nao wanajiona wavumilivu zaidi, kila mmoja anavutia kamba kwake.
Kuvumiliana muhimu, lasivyo mambo hayaendi.Exactly. Kumbe wote ni tunavumiliana
Infact kunamuhusu...Heaven Sent dota, hivi hakukuhusu huku kweli?
Acha uzembe mwanamke hawezi kukushinda dume weweNianze kwa kusema mimi ni kijana wa miaka 35 sasa, nimeoa mwaka wa 6 huu, na nina watoto wawili, ila ujumbe wangu wa leo vijana mnapoamua kuoa muwe mmemaanisha hawa wake zetu unahitaji akili ya ziada kuishi nao wengi wana upeo wa chini sana na wasahaulifu kupitiliza.
Hivyo kijana usipokuwa muelewa unaweza kuwa unagombana nao kwa sababu ambazo unaweza kuziepuka.
NB: Binafsi katika miaka hiyo ya ndoa nimejifunza na kushuhudia mengi upo wakati nilitaka kuachana na mke wangu kwa kelele zake na kutofuata ninachotaka mimi. Ila baadae nikaamua kumpotezea nimeamua kuwa kimya kama mjinga flani hivi ila akili kumkichwa.
cc. Sekretarieti ya Ndoa Mkoa wa KILIMANJARO.
Mwnamke akiwa na wanaume zaidi ya mmoja huyo ni malaya...na maana ndo maana hamna ndoa ya mke kuwa na wanaume wawili bt mwanaume kuoa ni hialiMimi ukinitafutia mwenzangu na mm natafuta mwenzio ngoja droo
Haha walituonea tu. Wakisema wanyaki ni wakorofi/wababe ntawaelewa. In fact sisi sio wakorofi, ni tuna misimamo yetu, hatupelekeshwi kidwanzi, tutakurudisha tu mstarini. Afu na miili yetu nayo bana, kitu kimepanda kule, mwili jumba, kono hiloo teh. Kuhusu kurestisha wanaume, haijawahi kuwa sifa yetu honestly,Infact kunamuhusu...
kuna member humu wana chama cha wanaume walio oa Machame na Unyakyusani..
Wanataka wafahamiane ili mmojawao akirestishwa in peace members wenzake wakazikomboe mali zake kwenye mikono ya warestishaji..
Teh
Your conclusion is too general...Vijana msifikir ndoa ni kucheza kwaito na kutuma picha instagram. Kwa wale waliooa kabila lililopo pembezoni mwa mlima mrefu Afrika na kule Kyela moto tunauona!